mikono

Mykonos Airport (IATA: JMK, ICAO: LGMK) is the international airport of the Greek island of Mykonos, located 4 kilometers from the town of Mykonos. It serves flights to domestic and European metropolitan destinations due to the island being a popular leisure destination.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je Ni kweli Wanaume au Wanawake watu wazima wenye vidonda/vipele kwenye Miguu au mikono kuwa % kubwa yao wameathirika na HIV?.

    Leo ni Weekend ndefu. Mipira kama Yote, na kesho ni off day. Burudani kabisa. Ila kuna tetesi nazisikiaga siku nyingi.. Na sina uhakika nazo, ingawa pia ni code huwa naitumia kwa miaka na miaka. Hivi ni kweli. Mtu mzima akiwa na vipele ambavyo haviponi au kuwa na makovu mengi ya mara kwa mara...
  2. JamiiForums Tanzania FUNGUA AKILI YAKO KIJANA ACHA KUZUNGUSHA MIKONO NA CHADEMA!,JAMAA WAPO KAZINI KWAO!,WEWE UNAZUNGUSHA TU.

    #Tanzania Kozi 8 Zinazolipa kwa Dola leo hii Bongo hakuna vyeti! 1. FUNDI WA MIGODINI (Mining Technician) - Geita, North Mara, Bulyanhulu wanalipa Dola 4,000 - 12,000 Watanzania tuna madereva tu. 2. URUBANI WA BALLOON - Dola 600 KWA SAA 1 (Hii ndiyo fursa kali zaidi!). 3. TOUR OPERATOR WA...
  3. JamiiForums Tanzania Amani, utulivu na usalama wa uhakika Tanzania ndio kichocheo na kivutio kikuu cha utalii, biashara na uwekezaji wote mkubwa unaoendelea nchini.

    Hongera serikali sikivu ya CCM, chini ya Rais shupavu na mchapakazi hodari, Dr.Samia Suluhu Hassan, kwa kazi kubwa na nzuri sana ya kudumisha umoja, amani na usalama wa waTanzania, na kutengeneza mazingira mazuri, rafiki na bora zaidi ya kuchochea na kuvutia watalii, wafanyibiashara na...
  4. JamiiForums Tanzania Kijana aliye Piga Base Guitar ya Wimbo wa Lango Nimemnyoshea Mikono

    Wakuu, Moja kwa moja kwenye mada. Nina amini wengi wenu mmeshakutana na ule wimbo mpya wa Lango (Liko Lango Moja Wazi) uliorudiwa upya kwa namna ya kipekee kabisa na kwaya maarufu ya Neema Gospel Choir. Wimbo wenyewe asili yake ni Tenzi za Rohoni, lakini hawa jamaa wameupa uhai mpya wa aina...
  5. JamiiForums Tanzania Emmanuel Elisante Mariki mbaroni ,ni yule house boy aliyefyeka viganja vya mikono yote vya House girl,Marangu Moshi

    Asanteni jeshi la polisi mkoa wa Kilimanjaro kwa kazi nzuri iliyotukuka kwa kufanikiwa kumtia mbaroni Emmanuel Elisante Mariki kijana aliyefanya ukatiri dhidi ya ubinadamu kwa kufyeka viganja vya mikono yote miwili ya Scola Bernad binti wa miaka 23 mfanyakazi wa kazi za ndani house girl . Tukio...
  6. JamiiForums Tanzania Ni kweli Professor Palamagamba Kabudi yupo kwenye mikono salama?

    britanicca na Ex Spy nikweli mnamshikilia huyu mzee kwa kinachosemwa kuwa kula njama za kumpindua mama yetu kipenzi?
  7. JamiiForums Tanzania Je, siku ya hukumu, ataangua kilio au atapiga mayowe na kurusha mikono hewani tu na makelele yake juu?

    Maana siku za hukumu huwa kuna vimbwanga vituko na taharuki za za kila aina. Kwa mtazamo wako huru, unadhani siku ya hukumu ya uhaini, hali itakuaje kizimbani wakati au baada ya hukumu kusomwa? Tutarajie mayowe na makelele?🐒 Mungu Ibariki Tanzania.
  8. JamiiForums Tanzania Vijana waliochoka kukaa mjini na wanatamani kurudi vijijini, nyoosheni mikono juu

    Inawezekana umekaa mjini muda mrefu, lakini maisha bado yanakuchapa tu, mpaka kujikuta unafanya kazi ambazo zinapoteza uelekeo wako na utu. Kupitia uzi huu, kama unatamni kurudi kijijini ukaishi maisha ya edeni kwa kujituma kufanya kazi za mikono yako, mfano; kulima mashamba, kung'oa visiki...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Duchu: Jina ni langu natamba nao, suala hili lipo kwenye mikono ya sheria, kazini wamechukua hatua

    "Ai see, hilo swala bwana... Kwanza ningetamani sana kukujibu lakini sasa ha- hili jambo pia lipo kwenye... kwenye mikono ya sheria kwa hiyo sasa kila... Kwa upande wa ambao wanalilalamikia jina... wanaosema wamepotezea jina nao wana... wana mashtaka yao, lakini na mimi pia nina mashtaka yangu...
  10. JamiiForums Tanzania Unasumbuliwa na maumivu ya magoti ,mgongo au ganzi kwa mikono na miguu

  11. JamiiForums Tanzania Guinea; Miili ya watu sita yapatikana imefungwa mikono na kufunikwa macho

    Kupatikana kwa kaburi la pamoja lenye miili sita iliyofungwa na kufunikwa macho kusini magharibi mwa Guinea kumezua hofu na maswali mengi. Mashirika 20 ya kiraia barani Afrika yanaitaka serikali kufanya uchunguzi huru na kuwahusisha wataalamu wa ndani na wa kimataifa. Tukio hilo linakuja...
  12. JamiiForums Tanzania Sioni dalili ya Lissu na CHADEMA kunyoosha mikono, Serikali iangalie njia nyingine

    Laiti kama serikali ingekuwa inamfuatilia Tundu Lissu na kuisoma akili yake ingegundua siyo mtu wa kumtishia na kesi. Siyo mtu wa kumtishia na jela, mahabusu wala hukumu ya kunyongwa. Upo msemo kwamba ukimjua adui yako ndiyo unaweza kumshinda. Njia ya kesi na jela ilizaa matunda kwa Freeman...
  13. JamiiForums Tanzania Rachel Dangwa yuko 'kwenye Mikono Salama'

    Rasmi yule dada anayetukana matusi Rasmi yuko kwenye mikono Salama taangu tarehe 30/07/2026 soon atapandishwa kujibu Yanayomkabili au anaweza asionekane kabisa Save huu Uzi serikali ina mkono mrefu.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nimewaona Ma RAIS 5 Baada Ya Rais Samia. Wote Wamepikwa na Wamepitia Mikono Mwake ,Uwezo Wao na Uzalendo Wao Ni Mkubwa Sanaa Kwa Taifa letu. Tuwaombee

    Ndugu zangu Watanzania, Nimewaona na kuonyeshwa Ma Rais 5 Watakaofuatia na kuongoza Taifa letu baada ya Kumaliza Muhula wake Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Hapo 2030. Ni viongozi Wachapakazi ,wazalendo ,waadilifu ,wacha Mungu na wenye Dhamira ya kweli na Dhati...
  15. JamiiForums Tanzania Acha kutumia mikono kama pambo la mwili

    Kazi ya mikono ni kulima, kufuga, kujenga, kutengeneza vitu n.k We mikono yako, unaitumia kwa kazi zipi?
  16. JamiiForums Tanzania Macho, mikono na miguu yako katika tafsiri ya kiroho

    Kwako vinaweza kuwa viungo vya kawaida vya mwili Ulimwengu wa kiroho unatambua viungo hivi kama nyenzo kuu za hatimiliki ya mwanadamu, ambapo 1. Macho yanawakilisha ufunuo na maono 2. Miguu inaashiria hatua na maendeleo 3. Mikono inabeba mamlaka ya uzalishaji. Kwa maana hiyo basi .Macho ya...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada wa kimalezi na kisaikolojia kwa mtoto huyu anayezunguka na Mama yake anayetembea kwa miguu na mikono barabara ya Uhuru Kariakoo.

    Huyu mtoto anaharibikiwa kisaikolojia,mtoto anayetakiwa kushikwa mkono anamshika Mama yake mgongoni,kwa sababu Mama yake anatembea kwa magoti na mikono,yule mtoto anatazama watu anaogopa anahisi labda yeye ni kiumbe kingine,mtoto mdogo lakini kichwani kwake inaweza kuwa anawaza mambo mengi akiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Namba moja na mbili hawapeani mikono; Ndio kama inavyosemwa AU ni dini?

    Kama ni dini mbona alimpa mkonio Putin?ZILONGFA NA ZITENDA
  19. JamiiForums Tanzania Kama ukikaa halafu unajikuta unafanya hivi mikono basi tambua una spirit ya utajiri wa mali ndani yako

  20. D

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Boss wa Wasiojulikana kamnyoshea mikono juu Askofu Gwajima?

    Kwanza nianze kumpongeza Askofu Gwajima, ukimsikiliza kwenye YouTube akiwa Kanisani kwake leo tarehe 04 June 2026, amempa makavu Boss wa Wasiojulikana Kwamba Hampati. Hii Ina maana Boss huyo kamnyoshea mikono juu Askofu Gwajima Kwamba mwamba ni Jasusi wa Mbinguni hakuna anayeweza kumfanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…