mikoani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Mabasi ya Mikoani yameanza kutoza nauli zaidi ya kiwango kilichowekwa. Mamlaka husika fuatilieni

    Sasa kumekuwa na uhuni wa MABASI yote ya MIKOANI kutoza nauli kubwa bila nauli husika kwendana na viwango vya huduma. Basi linatangazwa kama VVIP ila nje ya Bus kuwa jipya na choo ndani hamna jipya zaidi. Viti vimebanana mno wala havipo comfortable. Juzi nimelipia ticket 2 kwaajili ya wazazi...
  2. M

    Orodha ya majiji na watu walioyashikilia kiuchumi,

    DAR - Watu wa Kilimanjaro, Pemba, Njombe, Kigoma, Mara, Mwanza, n.k. MWANZA - Watu wa Simiyu na Mara. ARUSHA - watu wa Kilimanjaro wamedominate sana Mbeya - Watu wa Njombe Dodoma na Tanga sijajua
  3. ChekoFagia

    Kihongosi: Wanaohoji kwanini nazunguka mikoani 'ni wajibu wangu'

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa kuna watu wanaohoji sababu za yeye kutembelea mikoa mbalimbali nchini, akasisitiza kuwa jukumu hilo lipo wazi kikatiba. Akihutubia wananchi wa Ikungi, Kata ya Puma, Mkoani Singida leo Januari 22, 2026, amesisitiza...
  4. A

    KERO Baadhi ya Mabasi ya Mikoani yanasimama sehemu zisizosalama wakati wa 'kuchimba dawa'

    Naomba kutoa changamoto yangu kwa Wahudumu wa mabasi hasa ya mikoani, kuna baadhi ya sehemu za mapumziko mafupi kwa ajili ya Watu kujisaidia maarufu kama “chimba dawa” mabasi yao yamekuwa yakiingia sehemu ambazo usalama wa mizigo ni mdogo ndani ya mabasi. Kwani maeneo mengi kuna wezi ambao...
  5. M

    Kuna gari za kuanzia mwaka 2013 hadi 2020 kwa bajeti zisizozidi milioni 28 zenye urahisi wa kuzitunza na matengenezo pamoja na ulaji mzuri wa mafuta?

    Gari itatumika mazingira ya Tanga, matumizi ya lami na barabara za vumbi kidogo Engine iwe inasifika kwa uimara na ikipata hitilafu mafundi wameizoea Iwe na mifumo mingine ambayo imezoeleka na mafundi, sio kufunga safari hadi Dar au Kenya kurekebisha Isizidi cc 2000 Ulaji mzuri wa mafuta Umbo...
  6. Fbn

    Manispaa ya kahama,Ina stendi nyingi na benki nyingi kuliko wilaya zote zilizopo mikoani ambazo sio majiji

    Leo nipo kikazi hapa ila nimeangalia mji ulivyo hapa kama mjini. Una stendi nyingi za kwenda sehemu nyengine na cha kushangaza ndio yenye benk nyingi na zengine zinakuja.
  7. M

    Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali mikoani, serikali inajali usawa kulingana na uhitaji katika kutekeleza miradi l?

    Ni muhimu kuangalia kama rasilimali zinagawanywa kwa haki, zikihakikisha mikoa yote inapata fursa sawa ya maendeleo, bila upendeleo wowote. Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali atika kila mkoa ? Je, serikali inazingatia usawa kulingana na uhitaji halisi wa wananchi katika...
  8. MLIMAWANYOKA

    PostGE2025 Ni lini Rais Samia atazunguka tena mikoani kuwashukuru wananchi kwa ushindi mzito?

    Baada ya uchaguzi ulioangaliwa kwa karibu na kukosolewa na wengi,.. ambapo "tume huru" ya uchaguzi ilimtangaza na kumrudisha madarakani Rais Samia kwa kura takribani asilimia 98, Watanzania wengi wamekuwa wakijiuliza jambo moja: Ni lini kiongozi mkuu wa nchi atarejea mikoani kuwashukuru...
  9. Tumpara Dudu

    Ratiba ya minada/gulio mikoani

    Wakuu,mm ni mfanyabiashara mdogo na biashara zangu Huwa mara nyingi natoa Dar napeleka Kijiji Cha Komkonga wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga. Sasa nataka kupanua soko nihamie mikoa mingine kwakua Komkonga Nina wateja wa oda wa uhakika. Naomba Kila mmoja wenu anisaidie ratiba ya MINADA ya Mkoba...
  10. Mashamba Makubwa Nalima

    "Ooh mimi nawajua watanzania.." kibao. Unamjua nani???Hakuna unayemjua mkuu, na mikoani tutadai haki zetu zaidi

    Wewe ni nani ujifanye unamjua mTanzania na uvumilivu wake? Yani mimi nivumilie watu wanauwawa nchini kwangu? Watu wanatekwa kila siku, alafu nitulie tu kisa sio familia yangu? Ripoti za CAG ufisadi wa kutisha,, nitulie tu??? We pokea hiyo hela kale, hizo propaganda hazifanyi kazi tena
  11. M

    Hii tabia ya akina mama wazee kuwa na uhusiano wa mapenzi na vijana wadogo imekithiri hadi mikoani

    Zamani nilikuwa nasikia kuwa Dar ni jambo la kawaida Lakini sasa hadi mikoa ya kanda ya ziwa ambayo ilisadikika kuwa vijana wanamaadili Kuna nini? Kwa nini wanapenda wanawake wazee?
  12. DR HAYA LAND

    Naomba Tundulissu aachiwe mara moja na bila mashariti yoyote nimeongea mimi na nikiongea huwa sirudii.

    Binafsi Mimi Leo nimetoa angalizo kuwa TAL wamuachie bila mashariti yoyote , akaungane na familia yake haraka. Mimi nafikiri kwa nilivyobarikiwa sifikirii Kama mtakubali nikasirike. Mimi Kama MTU wa haki na Mtumishi ambaye huwa siingiliwi katika mamlaka zangu . Nimesema TAL aachiliwe haraka...
  13. Mr Beach Boy

    Ni sawa kuacha biashara ya Bajaji, kuingia kwenye biashara ya kuuza kanga, madera na vijora minadani mikoani hasa mkoa wa mwanza?

    Wakuuu naombeni ushauri, Naona kazi ya barabarani sio nyota yangu mambo hayaendi risk haziishi Napitia wakati Mgumu kufanya maamuzi kuacha hii biashara ya bajaji na kuanza biashara nyingine ya kuuza madela, vijora na kanga maan pia sina uhakika Hivi ni sawa kweli niuze hii Bajaji alafu niingie...
  14. ndege JOHN

    Monchwari za mikoani kuna siku hazipokei maiti ila sio kwa Arusha aiseee

    Unajua kwa mfano kwa mikoa kama ya kwetu midogo Lindi,SINGIDA n.k huenda kuna siku inaweza kupita mtu hajafariki dunia monchwari nyeupe ila kwa matukio ya kusikitisha tunayosikia Arusha sidhani kama kwa siku kunalala dry.Aisee serikali tunaomba muongeze nguvu muanzishe operesheni maalum ya miezi...
  15. mwehu ndama

    Kero mabasi ya mikoani: Wahudumu hawatulii sehemu moja, kila wakati wanajipitisha pitisha

    Nyie mnaojiita wahudumu wa hayo MABASI ya VVIP ,pamoja na baadhi ya abiria wenu mnakosa ustarabu. Inakuaje muhudumu wa basi hutulii sehemu moja, Kila muda unajipitisha pitisha na kuleta migusano isiyo ya lazima kwenye gari ?Tena baadhi yenu mnanuka kienyeji sana, kwanin usitembee ndani ya basi...
  16. A

    KERO RITA Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma hawajibu wananchi mitandaoni wala kusuluhisha changamoto zetu

    Taaisis ya Rita kitengo cha mtandao na Habari kinakabiliwa na tuhuma za kutojibu wateja wao mitandaoni hasa wale wanao omba usaidizi kwenye mitandao ya kijamii. Kwa sasa nchini Taasisi ambazo ziko chini ya serikali zimekuwa zikitoa huduma mbovu kwa wateja wake kwa kiasi ambacho kinakatisha...
  17. Revolution

    Ushauri kwa wenye mabasi ya mikoani

    Ninapenda kuwaeleza watoa huduma za usafiri wa mabasi ya mikoani kwamba sisi abiria tunapenda kusafiri kwa raha na kufika salama. 1. Hatujawahi kuwaambia kwamba tuna haraka ya kufika hivyo acheni speed zisizokuwa na ulazima. 2. Kutokana na sisi kutokuwa na haraka huu mtindo wa kusimama dakika...
  18. W

    Usijiroge kununua gari isiyo brand ya Toyota kama unaishi mikoani, maji utayaita Mma !

    Uwe mkoani halafu uige watu wa kwenye majiji ununue mazda cx5. Range Rover, Ford, Volks-Wagen na gari nyingezo nje ya Toyota, jiandae maumivu !! Wenzako ukiwaona wapo mikoani na wana push hizo brand mara nyingi huwa zinaenda kufanyiwa matengenezo na service Dsm na kwa mbali kidogo Mwanza na...
  19. kiredio Jr

    Nahitaji Msaada: Kuunganishwa na Fursa za Kazi za Kusafiri na Mabasi ya Mikoani

    .
  20. Ommy 7

    Phone4Sale Nauza nokia 106 rejareja na jumla

    Nauza nokia 106 kwa tsh24,000 bei ya rejareja na jumla tsh18,000 tupapatikana dar mikoani tunatuma pia +255682697124 Tunapatikana Dar-Mikocheni. Mikoani tunatuma na Dar delivery pia ipo ni juu ya mteja. Karibuni
Back
Top Bottom