GT
Kwa ufupi sana
1. Ni kweli ludovick ni mkatoliki lakini ni msaliti kama yuda
2.Alisoma mpaka ngazi ya frateri ambayo ni ngazi ya juu kabisa kuelekea upadri.
3. Alifukuzwa na kushindwa kupata daraja takatifu la upadre.
4 Ludovick ana kisasi na kanisa kisa kufukuzwa kwa utovu wa nidhamu...
Aliyekuwa Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye sasa ni mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ezekiel Wenje, akizungumza katika mahojiano maalum na Televisheni ya Kenya, TV47, amezungumzia kuhusu machafuko yaliyoikumba Tanzania wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29...
https://youtu.be/H1nHdmCnduI
Video iliyosambaa mitandaoni ikumuonesha mwanajeshi aliejitambulisha kama Kapteni John Charles Tesha kutoka kikosi cha anga cha JWTZ, akihamasisha jeshi hilo kuchukua udhibiti wa nchi, huku akidai kuwa nchi inakoelekea ni kubaya.
Utangulizi
Jumamosi ya tarehe 4...
Ahadi za CCM na rais kuhusu huduma bure za Afya, kuruhusu maiti, kununua matrekta nk ni ahadi nzuri sana.
Lakini ahadi zote hazina maneno kwa namna gani tutapata fedha za kuweza kuwezesha ahadi zote hizi. Aidha ahadi ya kuepuka kupunguza mikopo mikubwa ya nje, inaenda kuwa supported na nini...
Kwanza Nikiri kuwa mimi ni mnufaika wa Mfuko wa Bima ya Afya NHIF,
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umekuwa nguzo muhimu ya ustawi wa afya nchini, lakini kwa sasa unakabiliwa na changamoto kubwa ya kuongezeka kwa gharama za matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) kama shinikizo la damu...
Gazeti la The Washington Post limechapisha makala ikisema, sera ya ushuru ya Marekani inasababisha ‘hali ya maafa’ barani Afrika. Kutoka sekta ya nguo nchini Lesotho, tasnia ya sanaa nchini Tunisia, hadi viwanda vya utengenezaji magari Afrika Kusini, hakuna nchi au sekta yoyote inayonusurika...
Mheshimiwa Waziri wa Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu,
Kwa heshima na taadhima, napenda kuwasilisha malalamiko na ushauri kuhusu hali halisi ya wafanyakazi wengi hususan katika sekta binafsi hapa nchini.
Wapo Watanzania wengi wanaofanya kazi mashuleni, viwandani, hotelini, mashirika ya kimataifa...
Assalaaam alykum.
Ndugu yangu, hakuna shaka siku moja watu watakusanyika kwa ajili ya kifo chako.
Na tambua kuwa kaburi lako ndo kituo cha kwanza katika maisha ya akhera, maisha yenye tabu na mashaka kama hukuwa na maandalizi mema na yatakuwa ya raha na amani kama ulijiandaa vyema.
Kwa hiyo...
Iwe isiwe Tanzania viongozi hawatotusikiliza bila sisi kuingia barabarani na kuwawajibisha na hii ndio njia pekee kiongozi wa Africa anakusikiliza.
Ila mpaka sasa hatuna mbinu za kufanikisha hili. Huu mwaka tusikubali uishe kizembe aisee Kama sio Leo Ni lini. No Reforms, No Election.
Kwa mujibu wa AI ya Grok;
Idadi ya Watanzania kwa Ujumla: Kulingana na sensa ya 2022, idadi ya Watanzania ilikuwa milioni 61.7, na inakadiriwa kuwa itaongezeka hadi milioni 77.9 ifikapo 2030, ikiwa na ongezeko la takriban watu milioni 1.6 kila mwaka. Hii inamaanisha kuwa mnamo 2025, idadi ya...
Iran leo ilitangaza kuwa ilifanikiwa kukusanya taarifa nyingi juu ya program za nyuklia na mikakati ya ulinzi ya israel kwa kuwatumia waisrael
Iran inesema nyaraka hizo ni nyingi zikiwa na picha mnato na mjongeo(video)
Mwezi April bwana Mizrah na atio, wayahudi wa israel,walidakwa na idara za...
Katika miezi na siku za karibuni, uwanja wa kisiasa nchini Tanzania umeendelea kubadilika kwa kasi, huku vyama vya upinzani vikionyesha mabadiliko ya kimkakati ambayo yanaweza kubeba athari kubwa kwa mustakabali wa demokrasia nchini. Mojawapo ya mwenendo unaoibua maswali mengi ni Uhamaji wa Kasi...
Serikali imesema inaendelea kutekeleza mkakati mahsusi wa kuhakikisha wagonjwa wa afya ya akili wanapata dawa bure au kwa gharama nafuu, kwa kuzingatia Sera ya Afya ya Mwaka 2007, sura ya 5, sehemu ya 4, ibara ya 1 hadi 3, inayotoa mwongozo wa utoaji wa huduma kwa watu wenye magonjwa ya muda...
Juzi kati hapa kulikuwa na mjadala niliokutana nao humu mtandaoni kuhusiana na Air Tanzania kufanya safari za moja kwa moja ulaya hadi hapa Tz. Kiukweli mjadala ule ulinivutia kwa kiasi chake ,lakini binafsinikagundua ili shirika hili liweze kupenya soko la ulaya itahitaji mipango,ubunifu na...
Hawa ni baadhi ya waheshimiwa wa G-55 wakiwa wanapanga miakakati mizito namna ya kushinda majimbo waliyotia nia.
Kwa karibu hapa namuona mrembo Sirgada na mzee wa jimbo la Kawe mheshimiwa Kileo. Kule namuona mzee wa jimbo la Mwanga mheshimiwa Mchome na waheshimiwa wengine.
Mambo ni mengi muda...
Mwanzoni nilidhani labda ni hisia zangu lakini baada ya kuwasikiliza nikagundua nilikuwa sahihi kwa 100% kuhusu kundi la watia nia wa ubunge 55 kupitia CHADEMA maarufu kama G55 ama Mpox ambao wameamua kuja kinyume na msimamo wa Chama chao kuhusu agenda ya No reform, No election.
Hapa chini ni...
CHADEMA na siasa za kususia: Mikakati au kujimaliza kisiasa?
Kwa kipindi kirefu sasa, CHADEMA wamekuwa wakisusia chaguzi mbalimbali kwa madai kuwa mazingira hayaruhusu ushindani wa haki. Hoja yao kuu ni kupinga mfumo usio wa kidemokrasia, lakini swali kubwa linabaki: wanasusia kwa faida ya...
Mada hii itakuwa inakuletea updates zote zinazopangwa na US akishirikiana na Israel dhidi ya Iran Hadi siku ambayo Iran itaenda kupigwa......
Toka juzi kuna zaidi ndege 6 hatari za kivita za B-2 bomber zimewasili tayari Huko DIEGO GARCIA AIR BASE.
Tukumbuke DIEGO GARCIA ni kisiwa kilichopo...
Utangulizi
Biashara ndogo na za kati (SMEs) ni uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania, lakini changamoto kuu inayowakabili ni jinsi ya kufanikisha masoko yao na kuvutia wateja. Ili kufanikisha hilo, kuna haja ya kuwa na mikakati bora ya uuzaji inayozingatia mazingira ya kibiashara ya Tanzania...