Chadema Wana ideas zilizopangika na zinazofanikiwa bila kuhitaji nguvu ya ziada wala dola. Kitendo Cha kutumia mitandao iliyounganishwa na screen za TV zilizopo majumbani kumetoa fursa watu kutambua nguvu ya technology.
Ubunifu huu unaendelea kufanya CCM ionekane dhaifu na chama Cha wazee...
Waenda kwa miguu jijini Dar es Salaam hudiriki kuvuka njia zenye msongamano wa magari barabarani licha ya kuwepo kwa madaraja yanayopita juu, huku wengi wao wakisema madaraja hayo ni marefu mno kuvuka, utafiti umebaini. Utafiti huo umefanywa na wanasayansi kutoka Chuo cha Taifa cha Usafirishaji...
Kumbe hawa wanaCCM wana makundi maana sasa kundi linalotamalaki kwa ubabe wa kugawana nyadhifa ni kundi la wahuni au wenye chama chao.
Waliowekwa kando wamechukia na watalipa kisasi japokuwa sio mapa sana. Ila watalipa kisasi
Sisi wapinzani tujipange maana sasa ndio muda muafaka.
ACT ndicho chama chenye viongozi wenye akili na uwezo wa kuchanganua mambo kama wanasiasa na wasomi. Mambo haya ndiyo yalifanya manguli kama Maalim Seif (RIP) wakajiunga huko maana walikielewa sana.
MASHINJI utavikwa taji na Mungu kwa kuwaambia akina Seif wasije SACCOS watajuta...
Mataifa yote hayo kuunga kwenye reli moja kutokea Mombasa, mazungumzo yameanza na mikakati kupangwa......
Nairobi. China is proposing a grand infrastructure plan for the Horn of Africa that would involve expanding the two major railroads and developing ports on the Red Sea and the Indian Ocean...
Picha ya Rais Samia Suuhu Hassan akihutubia Taifa usiku wa 31 Desemba 2021
Mheshmwa Rais Samia Suluhu Hassan,
Hotuba yako kwa Taifa wakati tunauaga mwaka 2021 na kuingia mwaka Mpya wa 2022 nimeisoma yote.
Ni nzuri, inaleta matumaini, kuondoa taharuki na kuonyesha ndoto yako kwa ajili ya...
Dalili ya mvua ni Mawingu, na ukweli usiposemwa adharani utasema sirini. Hali ni ngumu, miyoyo ya watu imekunjamana, wanacheka na wewe ukiondoka wanakung'ong'a. Inshort huna watu nyuma yako na hakutatokea miujiza ukawa na watu nyuma yako Hadi pale utakaruhusu maridhiano ndani ya chama.
Ni...
Habari za asubuhi ndugu zang wa JF,
Ama baada ya salam naomba nielekee sasa kwenye mada yangu. Ndugu zangu wakati nchi yetu inalazimishwa kuingia katika mfumo wa vyama vingi na nchi za magharibi, serikali ya Tanzania chini ya raisi wa wakati huo mzee Rukhsa ilikataa mfumo huu kwa kuona kwamba...
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amesema kuna chanjo 15,000 za Uviko-19 hazijatumika mkoani humo huku kukiwa na changamoto kwa kuwa baada ya mwezi mmoja kuanzia leo Jumamosi Septemba 25, 2021 zitafikia mwisho wa matumizi yake.
Ameeleza kuwa mkoa umepata dozi 15,000 za chanjo ya...
Kuona ni kuamini, think globally and act locally. Tunaomba viongozi wetu wa bara la Afrika tuliowasafirisha kwenda New York kwa kodi zetu kuhudhuria mkutano mkuu wa Baraza la Dunia, UN mrudi nyumbani na mipango mkakati ya kuboresha maisha ya watu wenu.
Sina shaka kila kiongozi aliyekwenda New...
Ndugu zangu wapinzani nawaomba tuweke itikadi zetu mfukoni na tuendeshe Operesheni Ondoa CCM 2025.
Katika operesheni hii siyo mbumbumbu kuzunguka wakiwatangazia watu ondoa ccm 2025 bali ni kwetu sisi kutazama ili tuwaondoe hawa tunahitaji kufanya nini?
mkakati uko hivi
1. Tutazame makundi ya...
Siku zote Taikon ni mtu asiye na unafiki, mapema ukweli mara nyingi. Hivyo ndivyo ninavyojitambulisha.
Mimi sio Mfuasi wala mwanachama wa Chama chochote au mtu yeyote Yule. Kumaanisha nipo huru kusema ukweli.
Wazazi wangu, ndugu, jamaa na marafiki zangu karibu wote ni CCM.
Kipindi cha JPM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.