migogoro

  1. D

    Madhara ya joto kisaikolojia! Ni moja ya cha chanzo cha migogoro na ukatili usiotarajiwa

    Joto ni moja ya kichocheo kikubwa sana kinachoweza kuharibu mfumo wa kufikiri. Wataalam wa saikolojia wanathibitisha kupokea migogoro mingi sana ya ndoa kipindi cha joto Kali la hali ya hewa! Ukiachilia mbali wanasaikolojia! Taarifa za kipolisi zinaeleza matukio mengi ya kikatili huongezeka...
  2. Spika Ndugai ni mzigo kisiasa, CCM wasikubali kuubeba mzigo huu, amesababisha migogoro mingi sana, hana mvuto tena

    Sasa ni wazi kabisa kwamba Ndugai ni mzigo kisiasa kwa CCM, amekuwa akiichafua CCM na viongozi wake Kila mara. Ametumia vijana wake akina Humphrey lakini wakachemka, wengine akina Mangula na Bashiru wanaichafua CCM kichinichini. Wanaunda kundi la warundi wa Geita wanawaita sukuma gang wakiwa...
  3. Wizara ya ardhi tatueni hii migogoro kabla hajafa mtu kwa mapanga au kulogwa

    Habari wadau..! Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi la 9 September kwamba muda si mrefu lile eneo lote la Kurasini-Temeke lilitwaliwa miaka kibao ya nyuma enzi za JK sasa litaanza kufanyiwa kazi kwa kugeuzwa kituo cha biashara. Pia maeneo ya karibu yote na hapo kama Machungwa na Mivinjeni...
  4. Kihongosi asema tatizo la Migogoro ya Ardhi kwa wakulima na wafugaji limepungua Nchini

    ZIARA TUNDURU Kihongosi asema tatizo la Migogoro ya Ardhi kwa wakulima na wafugaji limepungua Nchini. Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Kenani Laban Kihongosi (MNEC) amesema tatizo la Migogoro ya Ardhi Sasa limepungua kwa Kasi hivyo niwaombe wananchi wenzangu wale wafugaji ambao wanavamia...
  5. DC Mwenda awahakikishia Wanairamba kutafuta suluhu ya migogoro ya mipaka

    MHE MWENDA AWAHAKIKISHIA WANA-IRAMBA KUTAFUTA SULUHU YA MIGOGORO YA MIPAKA. Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda amewahakikishia wananchi wa kata ya Ntwike kuwa Serikali wilayani humo inaendelea kutafuta Suluhu ya mgogoro wa mpaka kati ya wilaya za kishapu, Igunga...
  6. K

    Hongera CMA kwa kuendesha kesi na Migogoro Makazini kwa weledi

    Leo tarehe 19 Agosti, 2021 nimeweza kusikiliza kipindi cha CMA - Commission for Mediation and Arbitration kilichorushwa na TBC. Katika mahojiano hayo yaliyoendeshwa na Lusekelege Mpula wa CMA ambae ni Afisa Mfawidhi wa CMA Kanda ya Dar, ameweza kueleza ni jinsi gani CMA imejikita kuhakikisha...
  7. Uwepo wa COVID-19 umesababisha migogoro ya ajira kuongezeka

    Tumeya Usuluhishi na Uamuzi wa Migogoro ya Ajira imesema baada ya kuibuka kwa mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 imepokea migogoro inayofi kia 18,222 kuanzia mwaka jana hadi mwaka huu. Kaimu Msemaji wa tume hiyo, Nahshon Mpula alisema hayo alipozungumza na televisheni ya Azam. Alisema ongezeko la...
  8. D

    Tetesi: Viwanja vyenye migogoro vimeanza kuwa dili, na utoaji wa hati mbili umeanza tena (double allocation)

    Kuweka record sawa! Vile viwanja vilivyokuwa haviuziki kwa sababu ya migogoro utawala wa jpm, sasa vimeanza kuwa dili tena awamu ya sita!. Double allocation imeanza kurudi tena! Nashauri Inchi yetu ipitishe sheria ya kunyonga watumishi wa umma/hususani Ardhi wanaosaini na kuidhisha hati Mara...
  9. SoC01 Migogoro ya Wafugaji na Wakulima, kweli ni Donda ndugu lisilopona mbele ya Serikali na wasomi?

    Athari za Migogoro ya Wafugaji na Wakulima. Migogro hii imekuwa ikisababisha upotevu wa rasilimali kwa raia, jamii na serikali kwa ujumla, uharibifu wa mali, uhai wa raia na mifugo kwa ujumla. Kwa miaka mingi katika nchi yetu tumekuwa tukiishi na jamii za kifugaji (pastoralists) kama wamasai na...
  10. Rais Samia, tufuate utaratibu huu; migogoro yote itaisha nchini

    Naam, jamaa ni yule yule sijui ni wale wale I don't know. Namna ya kutatua migogoro ya Ardhi nchini. Jisomee mwenyewe. Halafu, wapinzani njooni kosoeni tuone hoja zenu na CCM tuchukue ========== MIGOGORO YA ARDHI – TANZANIA (Kumradhi Mama, naomba niandike kwa lugha za vijana wa...
  11. Viwango vya migogoro kote duniani vimeongezeka tangu kuzuka kwa janga la virusi vya corona

    Viwango vya migogoro kote duniani vimeongezeka tangu kuzuka kwa janga la virusi vya corona. Hii ni kulingana na ripoti ya kila mwaka ya faharasi ya amani duniani iliyochapishwa Alhamisi na taasisi ya uchumi na amani. Ripoti hiyo, inayotathmini hali ya mwaka 2020, inaonyesha kwamba mizozo...
  12. Maeneo ya Magereza na Majeshi yanaongoza kwa migogoro na Wananchi

    Serikali imesema ni ukweli usiopingika kuwa maeneo mengi yenye magereza pamoja na majeshi yamekuwa na migogoro na wananchi wanaoishi jirani kuhusiana na umiliki wa ardhi. Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. George Simbachawene amesema hayo bungeni mkoani Dodoma wakati akijibu maswali yaliyoelekezwa...
  13. J

    Dkt. Mpango: Serikali imechoshwa na migogoro ndani ya Makanisa

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema Serikali imechoshwa ma migogoro ndani ya makanisa. Dkt. Mpango amesema hayo katika ibada ya kumsimika kitini Askofu Zephania wa Kanisa Anglikana Dayosisi ya ziwa Victoria. Amesema ni vema Kanisani pakawa ni mahali pa watu kumuabudu Mungu na kamwe pasiwe...
  14. Pendekezo: Francis Mutungi na Sisty Nyahyoza waondolewe Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, wametumika kupandikiza migogoro kwenye vyama vya siasa

    Maadam sasa tumeamua kufanya mabadiliko basi ni vema Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ikaletewa watu wapya ili kuondoa manung'uniko. Mutungi ametumika mara kadhaa kupandikiza migogoro kwenye vyama vya siasa kwa kuyalinda makundi ya wahalifu , huku akisimamia kugawa ruzuku halali ya Cuf kwa...
  15. Ni kwanini kila migogoro ikitokea Dangote Cement lazima Obasanjo atue nchini?

    Wasalaam Wakuu, Hivi ni kwanini kila kunapotokea changamoto/ mgogoro kwenye kiwanda cha Dangote Cement Mtwara basi ndani ya siku chache tu lazima Rais Mstaafu wa Nigeria Obasanjo atue nchini na kuzungumza na Mkuu wa Nchi? Ilitokea hili mara mbili wakati wa Rais Hayati Magufuli, na hivi majuzi...
  16. Migogoro inayoendelea soko la Mawenzi mkoani Morogoro hakuna mtetezi wa kupaza sauti, wafanyabiashara wananyanyasika mkuu wa mkoa uko wapi?

    Mimi ni moja kati ya wafanyabiashara wa soko la Mawenzi lipo Morogoro mjini kata ya uwanja wa Taifa ili soko lina miundombinu mibovu kume kuwa na migogoro baina ya Manispaa na wafanyabiashara wanataka kutuamisha pasipo kufuata taratibu Tumeshapeleka sana malalamiko kwa mbunge na mkuu wa...
  17. Magufuli na Kenyatta walimaliza migogoro haya mengine yanatoka wapi?

    Nakumbuka marais hawa wawili waliwahi kuzungumza kwa simu hata kabla ya uchaguzi wa mwaka jana 2020 .Rais Magufuli alisema amezungungumza na Rais mwenzake wa Kenya mh Kenyatta na kuweka mambo sawa na kumwagiza waziri wa mambo ya nje wa Tanzania na wa Kenya kukutana mara moja Ili kusawazisha...
  18. Serikali ndo chanzo cha migogoro ya ardhi

    Nimeona tangazo waziri Lukuvi anasema wanakuja na utaratibu mpya .. Viwanja ambavyo wenyewe hawapo kwenye sijui vitambulisho vya Taifa..watanyang'anywa na vitapigwa mnada... Toka serikali ianzishe utaratibu wa kubadili policy zinazohusu ardhi na sheria zake karibu kila mwaka .. migogoro...
  19. Samia Suluhu: Amani ya kweli haimaanishi kutokuwepo kwa fukuto au migogoro bali ni kuwepo kwa Haki kwa jamii

    Mama Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Tanzania amesema, amani inatokana na haki. Akizungumza wakati wa kufungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake (TAWJA) tarehe 24 Januari 2021, jijini Mwanza amesema, haki ndio msingi wa amani. “Mheshimiwa Jaji Mkuu sote unatambua...
  20. J

    Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

    Hii sasa ni kali. Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi" Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini Francis Ndulane ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…