migodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chibike

    Tujadiliane hapa kuhusu kufungua kampuni ya kuchimba madini, taratibu zake zipo vipi? Na pia wadau tushirikishane migodi mipya

    Navutiwa sana na biashara zinazohusu madini, kuanzia uchimbaji Hadi uuzaji. Tupeane uzoefu kwa walioko kwenye sekta hii , mfano nikitaka kufungua kampuni ya kuchimba madini taratibu zipi nifuate? Je mgawanyo wa faida Kati yangu na serikali Iko vipi ? Na pia sio vibaya wadau Waka share hapa...
  2. Mhaya

    Issue sio Madini, Migodi, Rasilimali, Je vinasaidia nini Wananchi?

    Mdau mmoja akiwa nchi za nje ameshangazwa na namna ubora wa miundo mbinu ilivyo huko Ulaya, licha ya kwamba hakuna Rasilimali za kutosha ukilinganisha na nchi za Africa. Amesema kuwa nchi nyingi za Afrika zinatabia ya kujigamba kuwa na madini na Rasilimali nyinginezo, lakini hakuna...
  3. Common Folk

    Rostam Aziz: Mimi bado sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe, Ngaka kuna migodi 16

    PS: Huyu mwamba anaposema "Mimi sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe" ni dharau kubwa kwa nchi, anaongelea rasilimali ya nchi as if ni mali yake binafsi, wakati yeye ni muwekezaji tu. Na watu wanachohoji siyo nani amewekeza, bali wanahoji yeye kama muwekezaji kununua rasilimali yenye thamani...
  4. Lord Denning

    Migodi na Rasilimali za Taifa Wanapewa kina Rostam na CCM, halafu wao wanajengewa Hospitali na Wajerumani

    Mandondocha kwenye hii nchi wapo wengi sana. Mkoani Ruvuma rasilimali adhimu ya Makaa ya Mawe imehodhiwa na Wanamtandao wa CCM chini ya Rostam pamoja na Chama cha Mapinduzi kupitia kampuni yao ya Tujitegemee ambapo wanaiba na kupiga wapendavyo. Haya yakifanyika na Wananchi tukizidi kuwa...
  5. Hismastersvoice

    Zimamoto kufanya kazi ya uokoaji kwenye migodi ni mzaha, uachwe

    Tanzania ina migodi mingi sana lakini hakuna kikosi cha wataalamu wa uokoaji migodini! Tanzania inauhusiano wa miaka mingi, cha kushangaza imeshindwa kutumia uhusiano huo kwa kuwaomba watoe mafunzo kwa watanzania kuhusu uokoaji migodini. Afrika Kusini inao uzoefu wa uokoaji migodini kwa miaka...
  6. R

    Maporomoko yafukia Wachimbaji dhahabu DRC Congo, hofu watu kupoteza Maisha

    Wakazi wa eneo la machimbo ya dhahabu Lomera, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), wamekuwa wakitumia mikono yao na vifaa vya kawaida kuwaokoa wachimbaji waliokwama chini ya ardhi baada ya mashimo kadhaa kuporomoka alfajiri ya Julai 20, 2025. Hadi sasa, watu sita wameokolewa...
  7. Roving Journalist

    Mkurugenzi wa Idara ya Leseni wa Tume ya Madini: Zaidi ya Migodi 13,279 na Bohari za Baruti 164 imekaguliwa

    Jumla ya migodi 13,279 pamoja na bohari za baruti 164 zimekaguliwa nchini kuanzia Julai 2024 hadi Machi 2025. Hayo yameelezwa Mei 28, 2025 jijini Mwanza na Mkurugenzi wa Idara ya Leseni wa Tume ya Madini, Mhandisi Aziza Swedi, akizungumza kwa niaba ya Katibu Mtendaji wa Tume hiyo, Mhandisi...
  8. B

    LIVE: DIRA YETU: SEKTA YA MADINI NCHINI RWANDA: Je ni kweli Rwanda Haina Migodi ya uchimbaji?

    11 March 2025 Dira Yetu : SEKTA YA MADINI NCHINI RWANDA : Je ni kweli Rwanda Haina M8godi ya Uchimbaji ? https://m.youtube.com/watch?v=T2NW4_-B6-4 Muongoza kipindi ndugu Masantura amewakaribisha studio wageni kujadili sekta ya madini nchini Rwanda. Kipindi hiki kitawafahamisha je ni dhana...
  9. S

    Urusi yachukua udhibiti wa mojawapo ya migodi mikubwa ya Lithium Barani Ulaya

    Urusi imechukua udhibiti wa mgodi wa Lithium wa Shevchenko baada ya kutwaa eneo unapopatikana mgodi huo. Hii ni mwendelezo wa Urusi kutwaa maeneo yaliyoko mashariki mwa Ukraine tangu kuanza kwa vita kati ya Urusi na Ukraine. Mgodi huu ni miongoni mwa migodi migodi mikubwa zaidi ya Lithium...
  10. mr pipa

    DOKEZO Serikali wamulikeni wamiliki wa migodi ya dhahabu mkoani Mbeya. Hawawalipi mishahara wafanyakazi wao

    Wanafanyisha kazi kwa makubaliano ya baada ya miezi minne wanapofikisha miezi hiyo wanaishia kudhulumiwa na hawana pa kulalamika. Hawa vijana ni watanzania na wanajitafutia ridhiki ili wajikimu kimaisha. Huu ni uonevu na dhuluma kwa kweli. Uongozi husika waangalieni hawa wamiliki wa migodi.
  11. N

    Wamiliki wa Migodi ya Shanta ni WaTanzania lakini wanayanyasaji sana

    WaAfrika sisi ni wajanja wajanja tu. Wamiliki wa Mgodi wa Shanta (WaChaga) ambao wana sites zao Singida, Mbeya na kwingineko wamekuwa miungu watu. Hawa jamaa wametuajiri bila kufuata taratibu za kisheria kwa kotokuruhusu sisi wafanyakazi tuwe na wenza wetu mahali pa kazi lakini pia hawatoi...
  12. ELI COHEN

    Inakuwaje France ina akiba ya dhahabu tani 2436 bila kuwa na mgodi wakati nchi kama Senegal haina akiba angali kuwa na migodi 860.

    Najua wengi wenu mtakuja na majibu ya wazungu ni wezi mara mabeberu wanaonea Waafrika. Ila mnasahau adui na mwizi wenu namba moja ni yule aliyeko pembeni yako na licha ya kukuibia bado anakutoza kodi ya kidogo kilichobakia. Hata kama wazungu ni wezi wa rasilimali zetu unafikiri ni nani ana...
  13. Kadodo1

    Judith Kapinga amesema Serikali imetenga takribani shilingi bilioni 4.6 kupeleka umeme kwenye maeneo ya migodi mkoani Ruvuma

    SHILINGI BILIONI 4.6 KUPELEKA UMEME MAENEO YA MIGODI RUVUMA - KAPINGA 📌 Asema Serikali itaendelea kupeleka umeme maeneo ya uwekezaji 📌 Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali imetenga takribani shilingi bilioni 4.6...
  14. Roving Journalist

    Tume ya Madini yatoa elimu ya fursa za uwekezaji katika Sekta ya Madini kwenye migodi ya madini

    Tume ya Madini inaendelea kutoa Elimu kwa Wadau wa madini na Wananchi wote kutoka katika Mkoa wa Dodoma kwenye Wiki ya Maonesho ya Madini inayoambatana na Kongamano la Wachimbaji wa Madini yanayoendelea katika Viwanja vya Jakaya Kikwete, leo tarehe 22 Juni 2024, Dodoma. Elimu inatolewa katika...
  15. Roving Journalist

    Jumla Migodi ya Madini 21,686 yakaguliwa katika kipindi cha Julai, 2023 hadi Aprili 2024

    Kati ya migodi hiyo, migodi mikubwa ni nane, migodi ya kati 56 na migodi midogo 21,622. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Msafiri Mbibo akimwakilisha Waziri wa Madini, Anthony Mavunde katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wakaguzi wa Migodi kutoka Tume ya Madini uliofanyika...
  16. Roving Journalist

    Mbunge Festo Sanga: Tutumie fedha za Migodi kujenga na kuboresha viwanja

    Akichangia Hotuba ya Bunge la Bajeti ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, leo Mei 23, 2024, Mbunge wa Makete, Festo Sanga ameishauri Serikali kutumia fedha zinazotolewa na kampuni zinazojihusisha na uchimbaji migodi Nchini kwa ajili ya maendeleo ya jamii kutumika kujenga na kuboresha...
  17. G

    Kwanini migodi ya mkoa wa Mara watu wanauliwa sana kuzidi migodi ya mikoa mingine ?

    Imekuwa kawaida sana kusikia vijana wanauliwa na polisi kwenye migodi ya mkoa wa Mara wilaya ya Tarime. Kwanini hatusikii haya migodi ya Geita, Chunya, Kahama, n.k.
  18. TODAYS

    Tukio la Kikatili Lililowakuta Wanajeshi wa Kirusi Waliokuwa Wakisafisha Uwanja wa Vita

    Walidhani ni madini kwa jinsi yalivyoonekana kwa nje kumbe ulikuwa no mtego. Never trust anything on walking around.
  19. Isiaka 98

    Suluhisho Kubwa za Kemikali kwa Viwanda na Migodi

    Kuwezesha Ukuaji na Ufanisi: Suluhisho Bora za Kemikali na Huduma Zetu kutoka ISMANI COMPANY LTD! Tunatoa kemikali za hali ya juu kwa bei ya jumla na rejareja, zilizotengenezwa kwa viwango vya kimataifa. Tumejitolea kuleta ubora, usalama, na ufanisi katika shughuli zako za viwandani na...
  20. BigWallet

    Nisome 'short courses' zipi ili kuweza kufanya kazi (managerial position) kwenye migodi mikubwa ya uchimbaji madini?

    Hello wanajukwaa, Kichwa cha habari chahusika. Mining industry. Ninapenda sana kazi za migodini, at management level. Shauku yangu na ndoto yangu kubwa ni kufanya kazi (managerial position) kwenye migodi mikubwa ya big/giant investors (foreigners or local) nchini Tanzania, specifically...
Back
Top Bottom