mifupa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Taliban yaruhusu wanawake kupigwa ila wasivunjwe mifupa au kupata majeraha

    Kiongozi mkuu wa Taliban, Hibatullah Akhundzada amesaini sheria mpya ya adhabu nchini Afghanistan ambayo inaruhusu wanaume kuwapiga wake na watoto wao, isipo kuwa vipigo hivyo havisababishi kuvunjika kwa mifupa kwenye miili yao. Aidha mazingira ya kisheria kwa wanawake yamezidi kuwa magumu...
  2. SARCOPENIA: Hali ya afya ya kupoteza misuli katika mwili

    Sarcopenia ni hali ya kupoteza misuli, nguvu, na uwezo wa mwili kufanya kazi kulingana na umri. Kitaalamu, kuanzia umri wa miaka 30 hadi 40, mwanadamu huanza kupoteza wastani wa asilimia 3 hadi 8 ya misuli yake kila baada ya miaka kumi. Hali hii isipodhibitiwa, husababisha udhaifu mkubwa...
  3. MOI yaendelea kuwa kinara wa tiba ya mifupa Duniani

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeendelea kung’ara katika utoaji wa huduma za matibabu ya mifupa katika ukanda wa nchi zinazoendelea na zinazopokea ufadhili wa vifaa tiba vya upasuaji wa mivunjiko ya mifupa kutoka shirika lisilo la kiserikali la nchini Marekani, Surgical...
  4. MOI yaendelea kung'ara katika matibabu ya mifupa barani Afrika

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeemdelea kung’ara katika matibabu ya kibingwa na kibobezi za mifupa barani Afrika baada ya kuendelea kuandaa mafunzo ya 10 kuhusu mbinu mpya na za kisasa za matibabu ya majeraha na mifupa kwa wataalam barani Afrika kwa kushirikiana na Taasisi...
  5. Mamlaka angalieni Changamoto ya Gharana za Upasuaji wa wagonjwa wa mifupa kwenye Hospitali za Umma.

    Nina utamaduni wa kutembelea wagonjwa Hospitalini na katika jamii inayonizunguka. Katika hali iyo nimekuwa nakutana na wagonjwa wenye Changamoto mbalimbali. Changamoto ya hivi punde ni Gharana za Upasuaji kwa wagonjwa waliopata ajali Na kuvunjika viungo Hospotari ya Rufaa Dodoma (General...
  6. B

    Nafuta mtaalamu wa mifupa au mishipa niwe nafanyiwa masaji

    Wakuu heshima yenu Kwa anayejua sehemu nzuri ya kufanyia masaji ya low back kwenye mgongo na miguu misuli inakaza sana kwa hapa Dar penye gharama nafuu naomba kuelekezwa mambo ya kuenda muhimbili siwezi gharama
  7. Kinachotisha ni nyama na damu sio mifupa

    Nadhani si mara moja au mbili umepata kuona onyo la picha au picha mjengeo kwamba zinatisha.. Tulisoma na kijana mmoja aliyenusurika mauaji ya kimbari Rwanda mwaka 1994.. Alikuwa amepata trauma ya kuweweseka kila wakati... Simulizi yake inatisha sana Kipindi kile cha mauaji alishuhudia watoto...
  8. PreGE2025 Serikali yatoa bilioni 10.8 kwa MOI kwa ajili ya ujenzi wa jengo jipya la kuhudumia wagonjwa wa nje (OPD)

    Serikali ya Awamu ya Sita imetoa jumla ya shilingi bilioni 10.8 kwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) kwa ajili ya kugharamia ujenzi wa jengo jipya la kuhudumia wagonjwa wa nje (OPD). Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Mhe. Balozi, Dkt. Mpoki Ulisubisya ameyasema...
  9. Q

    Wabunge watatu waliopata ajali wahamishiwa kitengo cha mifupa MOI.

    Wabunge watatu wa ajali ya Dodoma wahamishiwa MOI. Wabunge hao ni Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Zanzibar, Mwanakhamis Kassim Said, Mwakilishi wa Jimbo la Amani Zanzibar, Abdul Yusufu Maalim pamoja na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Furaha Matondo.
  10. Nakupa chimbo la sahani za mifupa! Kariakoo Livingstone n Aggrey

    Yesss! Kama ada yangu wazee sina nongwa ila cha ajabu Lamomy ana nongwa na mm! Sio kes... Kuna sahan nzito kali tu za mifupa kwa wafanyabiashara. Duka la mchina liko kariakok aggrey na livingstone. Hesabu ya boksi ni pisi 72, na bei ya mjumuisho pia inaainishwa. Kwa bei ya mchina kila pis ni...
  11. Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) yasema Wagonjwa 40 watabadilishwa nyonga

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) Prof. Abel Makubi amewapokea madaktari bingwa wabobezi wa upasuaji wa nyonga Watatu kutoka nchi ya Pakistan watakaoendesha kambi ya siku tano ya upasuaji wa nyonga kwa wagonjwa 40 kwa kushirikiana na madaktari bingwa wa...
  12. Taasisi ya MOI yawafanyia upasuaji wa kurekebisha Kibiongo Watoto 10 baada ya mafunzo ya madaktari wa nje

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imewafanyia upasuaji wa kurekebisha kibiongo watoto 10 kwa mafanikio makubwa katika kambi maalum iliyoendeshwa na madaktari bingwa wa MOI kwa kushirikiana na Madaktari bingwa kutoka Marekani , Italia, Palestina na Umoja wa Falme za Kiarabu...
  13. SI KWELI Kila Bodaboda anayepata Ajali akipelekwa Taasisi ya Mifupa MOI hukatwa Miguu

    Nimekuwa nasikia tangu zamani kuwa ukipata ajali ya bodaboda kisha ukapelekwa MOI ni lazima ukatwe miguu yako. Hii ni kweli?
  14. Je, unajua sauti inayotokea unapobinya maungio (joints/knuckes) ya vidole hasa vya mikono haitokani na misuguano ya mifupa?

    Habari za Usubuhi! Kwa wale tuliozoea tukiamka au tukiwa tunajiandaa kubeba kitu kizito au tunaojiandaa na mazoezi au tuliozoea kubinya tu joint/knuckles za mikono yetu na Tunafurahi au tunapenda ile sauti inayolia 'Ta' 'Ta' na wengi huamini Kwamba Sauti ile inatokana na msuguano wa mifupa...
  15. Huduma ya Kipimo cha MRI katika Taasisi ya Mifupa MOI ni kero kwa Wagonjwa

    Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu. Oktoba 9, 2023 nilikwenda kumpeleka Ndugu yangu pale MOI kwaajili ya kupata vipimo kutokana na hali yake kiafya kusumbua kwa muda mrefu. Kufika pale Daktari akamwandikia kipimo cha Magnetic Resonance Imaging (MRI) ili kubaini tatizo lake. Balaa likaanza...
  16. MOI yaendesha Mafunzo ya Kimataifa ya Saratani ya Mifupa na Misuli, Madaktari 200 wanashiriki

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imezindua mafunzo ya kimataifa ya matibabu ya Saratani ya Mifupa na Misuli yanayofanyika kwa siku tatu ambapo zaidi ya madaktari 200 kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Uingereza, Australia, Malaysia wanashiriki. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt. Lemeri...
  17. Wananchi wa Mbagala wapelekewa huduma za kibingwa za mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imeendelea kusogeza huduma zake za kibingwa kwa Wananchi katika maeneo mbalimbali hapa nchini, ambapo wagonjwa 150 wamehudumiwa katika Hospitali ya Epiphany Mbagala iliyotolewa Machi 31, 2023. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt. Anthony Assey amesema...
  18. Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) yapeleka kliniki maalum Mbagala

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Wilaya ya Epiphany inatarajia kuendesha kliniki maalum (MOI Mobile clinic) kwa wa kazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam. Kliniki hiyo itahusisha huduma za kibingwa na kibobezi za mifupa, Ubongo, Mgongo na mishipa ya...
  19. Tanzania ya mifupa mikavu inawadia

    Peace be upon you Ni miaka 61 imepita sasa, tangu Tanganyika kujipatia uhuru wake kutoka kwa mkoloni. Nchi iliyobarikiwa bahari, madini, mito, maziwa, ardhi nzuri ya kilimo, maliasili, hali ya hewa safi na uoto mzuri wa kiasili wa kitropiko (Tropical type of vegetation). Lakini bado mali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…