Habarini wadau na wazazi wote katika jukwaa hili...
Ukizungumza na watoto wadogo waliopo madarasa ya awali, utakutana na wengi wao wakiwa na hulka au ushawishi wa kujua mambo mengi ya kisayansi na mazingira.
Na wanauliza maswali muhimu, wanauliza " ndoto ni nini, kwanini tunalala usingizi...