Kama kuna mahali serikali hii imekosea ni kuhusu hii tozo ya miamala ya simu, madhara yake yatakuwa makubwa sana kwa biashara za watu wa chini. Wafanyabiashara wadogo wengi hawatumii bank kufanya manunuzi na malipo mbalimbali.
Tozo iliyowekwa ni kubwa kuliko faida tarajiwa katika muamala...