miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Nishati

    Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Nishati
  2. Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sanaa, Utamaduni na Michezo

    Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sanaa, Utamaduni na Michezo
  3. Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)

    Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
  4. Kama una miaka chini ya 40, pambana ufike Japan

    Japani kuna fursa nyingi za ajira (zisizo rasmi) ila zenye kipato kikubwa ukilinganisha na Tanzania. Maisha ya Japani hayana gharama kubwa ukilinganisha na nchi nyingine zilizo endelea Japani hali ya ubaguzi kwa Waafrika sio kubwa ukilinganisha na mataifa mwngine. Visa ya Kufika Japani ni...
  5. Tujikumbushe; je ulipanda haya mabasi miaka hiyo?

    Kama ulipanda haya mabasi jione kuwa hivi sasa upo kwenye dakika za majeruhi refa anaweza kumaliza mpira wakati wowote. Kipindi hiki kutoka Bukoba kuelekea Mzizima ilikuwa ni safari ya siku ngapi? Je kutoka Mbeya kwenda Mwanza ilikuwa ni siku ngapi?
  6. Mwanzilishi wa katuni miaka ya 90 zilizotamba Courage the Cowardly kupitia cartoon network

    TAARIFA YA KIFO: DAVID - Mwandishi na Mzalishaji wa Kazi za katuni. Kwa huzuni kubwa, tunapenda kutoa taarifa ya kifo cha David, aliyejulikana kwa mchango wake mkubwa katika ulimwengu wa uandishi na uundaji wa michoro, hususan kupitia kazi ya Courage the Cowardly Dog. David alileta kwa...
  7. Hivi huyu Lilian Mwasha nae ni Mchungaji? Haya wale Wanawake ambao bado hamjatupata wa Kuwaoeni mwenzenu kasema Umri sahihi wa Kuolewa ni miaka 40

    Mchungaji lilian_mwasha alipoulizwa kuhusu umri sahihi wa binti kuolewa ni umri gani. Kwa upande wake amesema kuwa umri sahihi wa mwanamke kuolewa ni miaka 40. Chanzo Taarifa: officialmkaliwenu Ninavyojua tu ni kwamba Wanawake wa huu Umri wa 40 Idara zao zote huwa tayari zimeanza Kuchoka na...
  8. Kobe aweza kuishi miaka 191

    Nimeiona hii huko mtandaoni nikadhani ni vema kushea
  9. Mchungaji Mashimo ahukumiwa kwenda jela miaka 2 na miezi 6

    Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni chini ya Hakimu Rugemalila imemhukumu Daudi Mashimo kifungo cha miaka miwili na miezi sita jela baada ya kumkuta na hatia katika mashtaka mawili kati ya matatu yaliyokuwa yakimkabili. Mashimo alikuwa akikabiliwa na mashitaka ya kuvamia na kuishi kwenye eneo la...
  10. U

    Nashauri Salamu ya “Shikamoo” watoe watoto chini ya Miaka 16. Inaonekana wakubwa wengi hawaipendi

    Hili Suala la Hii Salam ya Shikamoo limekuwa na Ukakasi Kidogo, watu wengi katika makundi ya watu wazima, wazee, na vijana wa makamo wamekuwa hawapendi salamu hii zaidi na zaidi , makundi haya ya watu huwa hawapendi kusalimiwa na makundi ya watu wakubwa wenzao mfanyo mzee kusalimiwa na mtu wa...
  11. Miaka 10 ya Ndoa

    Weka neno moja kwa Kaka mkubwa katika miaka yake 10 ya ndoa! Hajawahi kumpiga mke wake, na amekuwa akifanya kazi zote za nyumbani.
  12. Nahisi nilikuwa naanza kuchanganyikiwa

    Habari za wakati huu ndugu zangu poleni na mfungo wa Ramadhani ndugu zangu waislamu na wakristo poleni na mfungo wa Kwaresma. Kama kawaida yetu hapa jukwaani ni kushea mawili matatu uliyonayo kama kuna ushauri upatiwe au kujufunza watu wajifunze. Sasa ndugu zangu mimi kipindi nipo single...
  13. Vodacom nimekuwa mteja mwaminifu kwa miaka 14 - Sasa inatosha

    Sasa ifike sehemu mseme kama mnashida kwenye mtandao wenu ama mnyamaze tu na sisi tuondoke. Internet shida sana. Mpesa shida kiasi, kupida simu shida pia.
  14. Tukiwa tunaadhimisha miaka minne ya kifo cha hayati Magufuli, huyu mlinzi wake nilikuwa namkubali, yuko wapi siku hizi?

    Tukiwa tunaadhimisha miaka minne ya kifo cha Magufuli, aliyepata kuwa Rais wa awamu ya tano. Leo naomba nifahamishwe kuhusu huyu mlinzi wake, nilikuwa namkubali sana, yuko makini na hana papara kama yule bonge. Jamaa alikuwa mrefu na anaonekana ni mtu wa mazoezi, mtulivu sana, yuko wapi siku hizi?
  15. Tuendelee kuwa na subra kuna mtu kahitimu chuo 2001 na ajira kapata 2025miaka 24 kitaa

    Tuendelee kuwa na subra kuna mtu kahitimu chuo 2001 na ajira kapata 2025miaka 24 kitaa
  16. Hoja ya Waziri Majaliwa haina mgogoro, amekosea tu kuwataja degree holders, VETA ishauriwe kwa vijana wote chini ya miaka 26

    Kwasababu huyu wajina wangu Majaliwa katupatia hoja mezani, lazima tuijadili, kwa akili za wazi kabisa Nchi yetu sasa ina watu kama milioni 70 ambao asilimia 50 (Milioni 35) wana umri chini ya miaka 24, na Milioni 8 kati ya hao ni vijana wa miaka 15 mpaka 24. Soma Pia: Waziri Mkuu Majaliwa...
  17. Miaka Minne bila Magufuli

    Tutakukumbuka daima Baba. 1.SGR ( Dar-Moro-Dom-Dar), 2. Mwl Nyerere HEP, 3. ATC, 4. Rushwa (imerudi upya).
  18. W

    Kim Soo Hyun kikabiliwa na hasara ya Tsh. Bilion 34,madai ni mahusiano na Kim Sae Ron akiwa na miaka 15

    Muigizaji maarufu wa Korea Kusini, Kim Soo Hyun, yuko katika hatari ya kupoteza zaidi ya dola milioni 13 baada ya madai kuibuka kwamba aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji Kim Sae Ron alipokuwa na umri wa miaka 15, pamoja na madai ya kumlazimisha kifedha Kwa mujibu wa ripoti ya...
  19. M

    Ukipata mtoto ukiwa na miaka 40, mpaka anamaliza chuo utakuwa na umri gani?

    Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani? Najaribu kutaka kujua ili nifanye MAAMUZI. Naamini Majibu yenu yatawasaidia Watu wengi kupanga Umri...
  20. Mlinzi wa Kanisa (Sinza, Dar) aliyeshtakiwa kwa kumlawiti mtoto kwenye vyoo vya Kanisa, atupwa jela Miaka 30

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni imemuhukumu Baraka Benedicto (23) kifungo cha Miaka 30 jela ikiwa ni baada ya kumtia hatiani kwa kosa la ulawiti. Akisoma hukumu hiyo leo Machi 14, 2025, Hakimu Nabwike Mbaba amesema ushahidi ambao umetolewa kwenye kesi hiyo umetosha kumtia hatiani mshtakiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…