miaka minne

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    Sasa! Siku hazigandi Samia anakaribia kubakiza miaka minne IKULU

    Leo tarehe 28/12/2025 Dr Samia atakuwa kabakiza miaka 4 na miezi TU kuendelea kuwa IKULU MLIO nae msituringie 🤣😂mkiongozwa na Bashite
  2. Mashamba Makubwa Nalima

    Miaka minne ya Sir Richard Gordon Turnbull: Utamkumbuka kwalipi huyu ndugu yetu

    1958 to 1961: British governor December 9, 1961 to December 9, 1962: first and only governor-general Mtanisamehe nimechomekea kizungu hapo juu kidogo
  3. Victor Mlaki

    Miaka minne na nusu ya Utawala wa Rais, Samia Suluhu Hassan: Wilaya ya Mbogwe imepiga hatua gani?

    Leseni 41 za utafiti wa madini zimetolewa Leseni 548 za wachimbaji zimetolewa Leseni 147 za maeneo tengefu Vituo vya afya vimeongezeka mara mbili zaidi kutoka 14 wakati anaingia madarakani na kufikia 28 vilivyopo sasa. Ongezeko la wataalamu wa afya kutoka 181 kufikia 283 Ongezeko la Shule za...
  4. P

    Miaka minne ya Rais Samia katika sekta ya elimu

    Miaka Minne Ya Mama Nyumba 159 za walimu wa shule za msingi zimejengwa katika Mkoa wa Songwe. Ujenzi wa nyumba hizo umewezesha walimu kukaa karibu na shuleni hivyo kutumia muda mwingi kufundisha wanafunzi. #kurayakwanzakwasamia #haijapatakutokea
  5. P

    Miaka Minne Ya Mama Nyumba 159 za walimu wa shule za msingi zimejengwa.

    Miaka Minne Ya Mama Nyumba 159 za walimu wa shule za msingi zimejengwa katika Mkoa wa Songwe. Ujenzi wa nyumba hizo umewezesha walimu kukaa karibu na shuleni hivyo kutumia muda mwingi kufundisha wanafunzi. #kurayakwanzakwasamia #haijapatakutokea
  6. Analogia Malenga

    Exports za Tanzania kwa nchi za SADC zaongezeka kwa zaidi ya mara mbili kwa kipindi cha miaka minne

    Mauzo ya Tanzania katika Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) yameongezeka mara mbili kati ya mwaka 2021 na 2024, yakichochewa na maboresho ya miundombinu ya biashara, juhudi za kiserikali katika kukuza biashara, ujumuishaji wa kikanda, na upanuzi wa wigo wa bidhaa zinazouzwa nje...
  7. Waufukweni

    GE2025 Samia: Tumeimarisha CAG na TAKUKURU, Hati Chafu zimepungua kutoka 10 mwaka 2021 hadi 1 kwa Miaka Minne

    Mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM, Samia Suluhu, amesema, "Kwa upande wa mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi, Serikali imejitahidi kuimarisha taasisi za mdhibiti, Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ili ziweze kufanya kazi zake...
  8. Parabolic

    TIRA wataja mafanikio ya soko la Bima Tanzania kwa miaka minne

    Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), Dk Baghayo Saqware amesema kutokana na utekelezaji wa Sera nzuri chini ya uongozi mahiri wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, Sekta ya Bima imeendelea kuimarika na kupata mafanikio katika kipindi cha...
  9. J

    Uchumi wa Simiyu umefikia shiling trilioni 3.5 ndani ya miaka minne

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anamringi Macha, ameeleza kuwa hali ya uchumi ya mkoa imeendelea kuimarika ambapo Pato la Mkoa limeongezeka kutoka shilingi Trilioni 2.5 mwaka 2020 hadi shilingi Trilioni 3.5 mwaka 2024, sawa na ongezeko la asilimia 40%. Aidha, pato la mtu mmoja mmoja limeongezeka...
  10. J

    RC TABORA: Mkoa umepokea kiasi cha TZS226bn kwa ajili ya barabara tayari kilometa mpya 100 za lami zimejenjwa ndani ya miaka minne ya Rais Samia

    Katika ripoti yake kwa waandishi wa habari Mkuu wa Mkoa wa Tabora amesema yafuatayo namnukuu Katika kipindi cha 2021|25 Serikali ya Rais Samia imetumia TZS225.993bn kwa mchanganuo ufuatao TANROADS TZS124.277bilioni, TARURA TZS101.716bilioni kuimarisha mtandao wa barabara wa kilometa 10,592...
  11. CM 1774858

    RECORD: Jumla ya Digital X-Ray Mpya 400, CT-Scans mpya 33, MRI mpya 9 na PET Scan moja kwaaji ya Saratani zimenunuliwa ndani ya miaka minne tu

    Rais Samia anunua Digital X-Ray Mpya 400, CT-Scans mpya 33, MRI mpya 9 na PET Scan kama msingi wa Dira2050. Rais Samia katika kuimarisha kwa upatikanaji wa dawa, vifaa, vifaa tiba, na vitendanishi ambapo upatikanaji wa dawa umeongezeka kutoka asilimia 73 hadi asilimia 86; kuongeza mitambo ya...
  12. CM 1774858

    RECORD: Majengo ya huduma kwa wagonjwa wa dharula kama ajali, kujifungua yameongezeka kutoka majengo7 mpaka majengo 125 ndani ya miaka minne

    === Rais Samia ameongeza hospitali zenye majengo ya kutolea huduma za dharura ( EMD) kutoka 7 mwaka 2020 hadi 128 mwaka 2025. Aidha, Kukamilika kwa ujenzi wa majengo ya kutolea huduma za dharura kumepunguza vifo na kuokoa maisha kwa wagonjwa wa dharura hasa wa ajali na Wajawazito bila kujali...
  13. J

    Rais Samia anunua ambulance mpya 700 tofauti na ambulance 540 za tangu uhuru

    Rais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia. Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540, Ameyaongeza magari haya mpaka kufikia jumla ya magari 1,267 sawa na tofauti ya magari mapya 727 ambayo ni...
  14. R

    Ripoti ya UNAIDS 2025, Maambukizi ya UKIMWI kuongezeka hadi Millioni 6 na Vifo millioni 4 kwa Miaka minne ijayo

    Julai 10, 2025, kupitia ripoti ya UNAIDS iliyozinduliwa nchini Afrika Kusini, Mkurugenzi Mtendaji wa UNAIDS, Winnie Byanyima, alieleza hatua ya Marekani kusitisha ghafla ufadhili kupitia mpango wa PEPFAR imeacha pengo kubwa, na ikiwa dunia haitachukua hatua, watu milioni sita zaidi wanaweza...
  15. S

    Mwigulu atutajie miradi iliyotekelezwa kwa trilioni 50 zilizokopwa ndani ya miaka minne!

    "Tanzania haikopi fedha kwa ajili ya matumizi ya kawaida. Hatujawahi kukopa fedha ili tulipe mishahara, hatujawahi kukopa ili tuendeshee magari, tulipe posho. Fedha inapotoka inakwenda kwenye mradi mahsusi." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha Naomba waziri Mwigulu aainishe miradi ya kodi...
  16. The Burning Spear

    Nionyeshe Mradi Mmoja wa maana wa Samia nikuonyeshe Nane ya Magufuli ndani ya miaka minne ya utawala wao

    Tukimsema vibaya mama wa kizimkazi mnatuona wabaya kafanya nini cha maana hii miaka 4 ya utawala wake Magufuli 1 .GEP Ali centralised Malipo yote ya serikali na kuokoa upotevu.mkubwa wa pesa 2. Bwana la Nyerere. Limemaliza kabisa mgao wa umeme na kuchochea uchumi mara dufu. 3.Toto Afya kadi...
  17. Nipe Maji

    Wizara ya maliasili yataja mafanikio 10 iliyopata katika kipindi cha miaka minne

    Wizara ya Maliasili na Utalii imetaja mafanikio 10 iliyopata katika kipindi cha miaka minne ikiwemo kuongeza mapato yatokanayo na shughuli za utalii ambapo Serikali imeingiza Dola za Marekani bilioni 1.3 Mwaka 2021 hadi kufikia Dola za Marekani bilioni 3.9 Mwaka 2024 sawa na ongezeko la...
  18. Nipe Maji

    Idadi ya watalii wa kimataifa yaongezeka kwa kipindi cha miaka minne kutoka 922,692 hadi 2,141,895

    Wizara ya Maliasili na Utalii imesema Idadi ya watalii wa kimataifa imeongezeka kwa asilimia 132.1 kutoka watalii 922,692 Mwaka 2021 hadi watalii 2,141,895 10 Mwaka 2024. Hayo yameelezwa leo Mei 19,2025 bungeni Dodoma na Waziri wa Wizara hiyo,Blaozi Dk Pindi Chana wakati akiwasilisha...
  19. Nipe Maji

    Wizara ya viwanda na biashara yataja mafanikio miaka minne ya serikali ya awamu ya sita

    Wizara ya Viwanda na Biashara imepata mafanikio makubwa katika maeneo mbalimbali yakiwemo uendelezaji wa miradi ya kielezo na kimkakati; upanuzi na ujenzi wa viwanda; uendelezaji wa teknolojia mbalimbali; atamizi na ubunifu; utafutaji wa masoko ya bidhaa za Tanzania ndani na nje ya nchi; ubora...
  20. Dalton elijah

    Afanyiwa upasuaji na kuondolewa mimba Iliyodumu kwa miaka minne

    Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga imefanikiwa kumfanyia upasuaji na kumtoa mwanamke mwenye miaka 55 ujauzito aliodumu nao kwa miaka minne. Kwa mujibu wa Daktari Bingwa wa Magonjwa ya akina Mama na Uzazi wa hospitali Augustino Maufi amesema ujauzito huo uliokuwa na uzito wa kilogramu 1.6...
Back
Top Bottom