miaka 5

This article lists the major characters from the manga series Fushigi Yûgi, its anime adaptation, and the prequels Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden and Fushigi Yûgi: Byakko Senki.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sheikh apigwa miaka 5 baada ya kuua nguruwe

    Bila shaka sheikh alidhani yuko Riyadh Saudi Arabia. Tiririka nayo. Mtu mmoja nchini .Rwanda amehukumiwa kifungo cha miaka 5 baada ya kuua nguruwe Mashahidi watatu wamedai kumuona imam sadate Musengiana akimpiga nguruwe na kumuua hapohapo. Wakili amedai mteja wake alimuua kwa bahati mbaya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kim Jon-Un: Ktk miaka 5 North Korea itarusha na kuweka angani setilaiti nyingi za kijeshi ili kuchunguza shughuli za kijeshi za Marekani

    Rais wa North Korea, Kim Jong-Un, ameweka wazi kuwa ndani ya miaka 5 North Korea itafunga angani setilaiti nyingi za upelelezi ili kukukasanya na kupata taarifa ndani ya muda muafaka zihusuzo vitendo vya kijeshi vya Marekani na washirika wake wawili, South Korea na Japan. North Korea imefanya...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Hili ndilo andiko lililopelekea kufungiwa kwa Shafii Dauda aka DIGALa kujihusisha na soka kwa kipindi cha miaka 5

    Kwa wale ambao hamkupata wasaa wa kusoma andiko la DIGALA lililomfanya afungiwe na TFF nimewawekea hapa ulisome halafu tuone kama kaonewa au ukweli mchungu umewauma "Tifua Tifua"
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania ya enzi hizo katika picha

    Hapa Ni Tanzania Elimu Supply(TES) Enzi Hizo 1947 Mabasi ya Ekarusi Kumbakumba kwa nyuma Azania Front Tanganyika Parkers Enzi Hizo 60s Salender Bridge 1960s Dar-Es-Salaaam 1975 Hiyooooo!!! Seaview-Mawingu House 1960 Arusha-Clock Tower 1966 Dodoma City Center 1974 Bukoba City...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna mkopo mzuri wa Serikali wa miaka 5

    Nimesikitiswa sana na wale wasomi wanao jaribu kuaminisha Watanzania kwamba kuna mikopo ya bank za biashara mizuri kwa serikali. Mikopo yenyewe mingi ni ya miaka 5 na riba zinakuwa 8%~10%. Hii mikopo sio mizuri kwa serikali hasa ukizingatia uwezo wetu. Serikali kwa ushauri wangu 1. Wasikope...
  6. JamiiForums Tanzania Salamu za Mwaka Mpya kwa Rais Samia; Wakumbushe Mawaziri kuandaa Mipango Mikakati ya miaka 5 na mwaka mmoja mmoja

    Picha ya Rais Samia Suuhu Hassan akihutubia Taifa usiku wa 31 Desemba 2021 Mheshmwa Rais Samia Suluhu Hassan, Hotuba yako kwa Taifa wakati tunauaga mwaka 2021 na kuingia mwaka Mpya wa 2022 nimeisoma yote. Ni nzuri, inaleta matumaini, kuondoa taharuki na kuonyesha ndoto yako kwa ajili ya...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi unaishi vipi na mwanaume miaka 2 bila ndoa?

    Ujue kuna mambo mengine tunajitakia wenyewe. Hivi mwanamke unaanzaje kuishi na mwanaume miaka mi2 bila ndoa hata Pete ya uchumba tu hajakuvisha mnaishi pamoja miaka yote mi2. Hamtaki kuoana basi zaeni lakin ata kuzaa mmegoma. Unachezewa. Unapotezewa mda. Mtu uko nae toka uko mdogo mpk unazeeka...
  8. JamiiForums Tanzania Dkt. Antony Dialo: Wizi na ukosefu auminifu chanzo cha biashara nyingi Tanzania kufa chini ya miaka 5 tangu kuanza

    Nimemsikiliza asubuhi. Mkurugenzi wa Saharama media wakati akitoa mada katika club house moja iitwayo Mindset transformation. Akidai kuwa kwa uzoefu wake katika biashara na ujasirimali amebaini kuwa biashara nyingi zinakufa kwa sababu watazania wengi siyo waaminifu. Amekwenda mbali na kusema...
  9. JamiiForums Tanzania Ni wapi ulipotoka, ulipo sasa na unategemea kuwa wapi baada ya miaka 5?

    Uzi huu unalenga kuwasaidia vijana ambao hawajui wapite wapi na wapi ili wafikie ndoto zao, jieleze kwa kina toka mwanzo ulipoanza haso zako, kipindi ambacho ulikuwa huna hata pesa ya kula, haso ulizopitia, huku ukionyesha njia na biashara unayofanya sasa, changamoto zake, ilikuwasaidia wengi...
  10. JamiiForums Tanzania Pfizer yathibitisha kuwa salama kwa watoto wa miaka 5 hadi 11

    Kampuni ya utengenezaji chanjo ya #COVID19 ya #Marekeni ya Pfizer imesema chanjo yake ni salama kwa watoto wa umri wa miaka 5 hadi 11 baada ya kuonesha ufanisi mkubwa katika majaribio Majaribio yalifanyika kwa watoto 2,268 wa umri wa miaka 5 hadi 11 ambapo dozi mbili ziligawiwa kwa kila mmoja...
  11. JamiiForums Tanzania Ukomo wa ubunge uwe miaka mitano tu

    Nilikua naomba sana Ukomo wa ubunge uwe miaka mitano tu ili kupisha wengine wenye mawazo na mitazamo tofauti kuingia bungeni. Saa nyingine tunachelewa kuendelea kwa kuwa na wabunge walewale miaka nenda rudi. Nini maoni yako katika hili. Soma, Pia Olengurumwa: Ubunge uwe na ukomo wa miaka 15...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…