Habari ya majukumu ya kulijenga taifa wazalendo
Mimi kama mwananchi wa Tanzania, niliyezoea taifa lenye umoja, mshikamano na utulivu
nimepigwa na butwaa kilichotokea nchini kwetu.
Kumekuwa na kauli nyingi na nyingine zenye mkanganyiko wa makusudi tu kutetea ama kujisitiri pasipo kujua nchi hii...
Ukaaji wako pichani unadhihirisha una aibu, umejipeleka kuomba msamaha, umewasilisha barua kimagumashi.
Kuna wataalam wa kusoma wa picha na kuna ukaaji wa kiprotocal wa kiongozi kama wewe.
Sijafuatilia kabisa ile barua uliyotumwa kupeleka ila kuna maneno fulani huea yanasema "MIMI TU...
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limefanya uchaguzi wa kumchagua Spika wa Bunge la 13. Kikao hicho kinaendeshwa na Spika wa muda William Lukuvi, akisaidiwa na Katibu wa Bunge Baraka Leonard. Jumla ya Wabunge 383 wanapiga kura.
Katika uchaguzi huu tutakumbuka kuwa Spika wa Bunge...
azzan zungu
baada
bunge
bunge la 13
bungeni
jamhuri
jamhuri ya muungano
kikao
kuongoza
kwanza
mara
mheshimiwa
mkutano
mussa azzan zungu
muungano
novemba
spika
spika wa bunge
tanzania
uchaguzi wa spika
ukumbini
zungu
Wana Segerea mpewe nini? Yaani pesa mmekula ila Kura hapana? Why? Inafaa basi angalau Mheshimiwa akumbukwe kwenye uteuzi ili angalau Ile 1.8bn irudi. Inauma haswa
Mheshimiwa rais,
Nakusalimu kwa unyenyekevu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Mheshimiwa rais, nafupisha sana nisikupotezee muda wako adhimu.
Mheshimiwa rais, yafuatayo ni mambo niliyoyatafiti na hivyo nimeona vema kukushirikisha kwa njia hii:
1. Nchi haijakushinda kama baadhi ya...
Ombi la Kuruhusiwa Kuomba Nafasi ya Kazi – Vocational Teacher II (Plumbing and Pipe Fitting)
Ndugu Mkurugenzi Mkuu,
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA),
Kwa heshima kubwa, mimi naandikia barua hii kwa niaba ya wahitimu wa Diploma in Pipe Works Engineering nikiwa na lengo la...
TAARIFA YA MAKUBALIANO
Kati ya
Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS)
Na
Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. George M. Masaju
Tarehe: 11 Agosti 2025
Kufuatia ahadi iliyotolewa mnamo Aprili 2025 ya kufika mbele ya Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, uongozi wa TLS...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche amesema viongozi wa chama hicho wanaheshimu uamuzi wa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kuwa kimya na kwamba wanamheshimu kama mwasisi wa chama na mjumbe wa kudumu wa kudumu wa Kamati kuu.
Ameyasema hayo leo Julai 21 katika...
DAARUL MAARIFA DAY 2025
Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuber Bin Ally anawaalika Waislam wote kuhudhuria katika Maulid ya Daarul Maarif, itakayofanyika Viwanja vya Msikiti wa Mfalme Mohammad VI Bakwata Makao Makuu.
Mufti amewataka Mashekhe wote wa Mikoa, Wilaya, Kata...
Mheshimiwa Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda,
Kwa heshima na taadhima, tunapenda kutoa maoni yetu kuhusu mwelekeo wa elimu ya juu nchini, hususan uamuzi na ufafanuniz wako kwenye hotuba ya jana wa kusimamisha baadhi ya kozi katika vyuo vikuu kama Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
Tunaamini...
Wabaya wako au wabaya chama chenu wapo humohumo chamani.Nadhani ushalijua hilo kitambo.Wakati mnaendelea kugombana,naomba mtoe tu baba wa watu,usijitafutie dhambi za nyongeza tu.
Kwa kuzingatia masuala kadhaa aliyozungumza Ndugu Pole Pole hasa suala la inefficiency in Government na hasa hoja kuwa nyumba haina mwenyewe. Naomba Special Branch inajijua ifanye special life style audit ya mawaziri wafuatao kwa kuangalia na kazi walizopewa na kisha wamkabidhi Mhe. Rais.
1...
Kitendo cha Sheikh kusimama na kusema mtu yaani Lissu anyongwe halafu ukakaa kimya bila kukemea pale pale inaleta picha mbaya
1. Rais ni National comforter
2. Rais ni Miezi wa nchi
3. Rais anapaswa kuunganisha watu si kuachia chuki zikaenea,
Mheshimiwa Mwenyekiti wa CCM pale Kawe ilikuwa ni...
Nimewafuatilia vizuri, na umesikia. Habari ya Hisia na Mihemko haina nafasi. Pambano limeisha ila Vita inaendelea. Kila la Heri. Thread imekamilika endeleeni kusema
Nakumbuka maneno yako kwao, kwenye video clip hii:
https://youtu.be/SKQJpYmUTyM?si=WrB0APIKPuuRAP9z
Leo hii tukipiga simu tanesco emergency majibu tunayopata yanachafua roho, uzembe ni ule ule uliokuwa ukiwaasa unajirudia rudia kila kukicha.
Mheshimiwa Profesa Mbobezi wa Sayansi ya Siasa Duniani na Balozi (Mstaafu) Benson Bana (PhD) anafaa kwa Nafasi za juu katika Chama.
Tafadhali, Mkutano Mkuu mfikirieni ikiwapendeza, mpeni kazi akasaidiane na Mzee wetu Stephen Masatu Wassira a.k.a Tyson wakaimarishe chama nchi nzima.