Ndugu zangu,
Baada la tukio la mauaji ya mwanafunzi kawe, nimeona leo nililete hili!
Ukiangalia matukio haya ya Panya Road sehemu ambazo huwa zinatajwa kuathirika mara kwa mara ni maeneo ambayo sisi kitanzania tunaita "uswahilini".
Huku uswahilini ndipo wanaishi wananchi wa hali za chini sana...