mhandisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    GE2025 Mhandisi Jafari Hegga achukua na kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki

    Mhandisi na kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Jafari Hegga amechukua na kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki. Hegga amechukua na kurejesha fomu hiyo leo Jumapili, Juni 29, 2025.
  2. LESIRIAMU

    PreGE2025 Mhandisi Jumbe Katala aingia kwenye kinyanganyiro

    IRAMBA KUMEKUCHA, ENG. JUMBE KATALA ACHUKUA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA IRAMBA MAGHARIBI. Wakati ambapo joto la watia Nia katika majimbo na kata mbalimbali nchini likiendelea kuongezeka kwa upande wa Mkoa wa Singida Hali ni Shwari kabisa ikitajwa kuwa Leo Juni 28,2025 wamejitokeza watia nia wengi...
  3. Just Pray

    PreGE2025 Aliyekuwa Mkurugenzi wa NEMC Mhandisi Dkt. Gwamaka Mafwenga Achukua fomu kutia nia ubunge jimbo la Rungwe

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na Kada wa muda mrefu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhandisi Dkt. Gwamaka Samwel Mafwenga leo, Jumamosi Juni 28.2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho kuwania nafasi ya Ubunge wa jimbo la Rungwe...
  4. Wizara ya Ardhi

    Mhandisi Sanga akutana na kuwapongeza mawakili wa kujitegemea kwa kuongeza kasi katika kumaliza mashauri katika mabaraza ya ardhi na nyumba

    . Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhandisi Anthony Sanga amewapongeza Mawakili wa Kujitegemea kwa ushirikiano wao, hatua iliyosaidia kuongeza kasi ya kumaliza mlundikano wa mashauri katika Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Dodoma. Mhandisi Sanga ametoa pongezi...
  5. R

    Natafuta mhandisi mwenye sifa kuandaa michoro ya plumbing kulingana na house plan ya vyumba vitatu. Plan imeshapata kibali cha ujenzi.

    Kama una huo ujuzi tuongee. Hata kama huna degree ya engineering ili mradi una uzoefu wa kutosha
  6. W

    Mhandisi Kamando: Fanyeni ukaguzi kwa weledi bila ya kumwonea mchimbaji yoyote

    WAKAGUZI wa Migodi ya Madini na Baruti wametakiwa kufanya kazi kwa weledi, kuongeza ufanisi na kufuata taratibu na sheria za nchi katika utoaji wa huduma. Hayo yamesemwa leo Mei 29, 2025 na Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Migodi na Mazingira, Mhandisi Hamisi Kamando jijini Mwanza wakati akifunga...
  7. Waufukweni

    Mhandisi Leo Magomba: Wanaotumia internet ya uhakika Afrika ni asilimia 38 ya watumiaji wote, hili ni pengo kubwa

    Mhandisi wa Miundombinu ya Mawasiliano kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Leo Magomba amesema kwamba katika bara la Afrika wanaotumia internet ya uhakika ni asilimia 38 kati ya watumiaji wote, ambapo amedai kuwa zinahitajika juhudi za pamoja kuchochea...
  8. Roving Journalist

    Mhandisi Emmanuel Shija: Utafiti umebaini uwepo wa kiasi kikubwa cha madini eneo la Ruangwa, Mkoani Lindi

    Mkoa wa Lindi unatarajiwa kuwa lango kuu la uchimbaji wa madini kutokana na kuonekana kuwa na aina zaidi ya 10 za madini mbalimbali yanayopatikana kwa wingi ikiwemo madini ya kimkakati kama Kinywe (Graphite) na Nickel. Akizungumza katika mahojiano maalum, Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Lindi...
  9. Samia atosha tukutane2030

    Pasi na shaka nimeamini kuwa Mhandisi wa Kitanzania anaweza kuzidiwa maarifa na Mchina mwenye astashahada ya uhandisi au ufundi

    Mimi nafanya kazi kwenye ofisi moja ya umma. Niko upande wa utawala. Ofisi yetu mostly imeegemea zaidi kwenye mambo ya kitechnical au Engineering. Waajiriwa wengi ni mafundi na wasimamizi wao ni wahandisi. Hawa wahandisi sijui tatizo liko wapi. Mimi nahisi kwakuwa wanamezeshwa vitu vingi sana...
  10. Just Pray

    Mhandisi Bwire: Tunairudisha DAWASA iwe ya wananchi tukishirikiana kupitia Wenyeviti wa mitaa changamoto zitaisha

    Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam DAWASA Mhandisi Mkama Bwire amesema wanakusudia kurejesha Mamlaka hiyo kwa wananchi ili kutoa fursa na na nafasi ya kufikisha mrejesho wa huduma na kutatua changamoto za Maji ili kusaidiwa kwa haraka. Mhandisi...
  11. Mkongwe Mzoefu

    TARURA Ilemela Ivunjwe, DED na Mhandisi wa Barabara nao Waondolewe kwa kushindwa kazi

    Katika halmashauri za manispaa za hovyo hapa nchini nadhani ile Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza. Nilikuwa huko kwa mapumziko ya sikukuu na nimejiuliza jee huko TARURA wapo kweli? Na jee Mkurugenzi na mhandisi wake wapo na wanalipwa mishahara? Hata ukienda juu zaidi jee RC Mtanda naye...
  12. JanguKamaJangu

    Mhandisi Mwijage: Wananchi Bukombe tumieni Nishati Safi ya Kupikia ili kuimarisha afya na kutunza mazingira

    Wananchi kote Nchini wametakiwa kuendelea kutumia Nishati Safi ya Kupikia ili kuimarisha afya zao sambamba na kutunza mazingira. Wito huo umetolewa Oktoba 10, 2024 Wilayani Bukombe Mkoani Geita na Mkurugenzi wa Teknolojia za Nishati Jadidifu na Mbadala kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA)...
  13. JanguKamaJangu

    Mhandisi Deogratius: Tsh. Bilioni 16.7 kusambaza umeme Vitongoji 150, kunufaisha Kaya 4,950

    Baada ya kukamilisha usambazaji wa umeme katika vijiji vyote 785 Mkoani Mtwara, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleza mradi wa shilingi bilioni 16.7 wa kusambaza umeme kwenye vitongoji 150 utakaonufaisha kaya 4,950 mkoani humo. Mhandisi Msimamizi wa Miradi ya Umeme REA...
  14. Roving Journalist

    Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema suala la usalama wa kimtandao ni muhimu ili kuhakikisha upatikanaji wa taarifa, huduma na bidhaa za mtandaoni

    USALAMA WA MTANDAO NI MUHIMU KWA TAIFA – NAIBU WAZIRI MAHUNDI Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Dar es Salaam NAIBU Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema suala la usalama wa kimtandao ni muhimu ili kuhakikisha upatikanaji wa taarifa, huduma na...
  15. JanguKamaJangu

    Waziri Mkuu Majaliwa: Mhandisi, Afisa Elimu Sekondari, Mkurugenzi nawasimamisha kazi, mnapelekwa Mahakamani

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambana Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo kushindwa kusimamia matumizi ya Fedha ujenzi wa Bwalo shule ya Sekondari ya Wasichana Lugalo. Ashangazwa kutumika kwa fedha yote ya ujenzi wa Bwalo lakini mpaka sasa halijakamilika. Bwalo hilo lilipangiwa sh...
  16. Roving Journalist

    Tume ya Madini yajipanga kukusanya Sh Trilioni 1, Mhandisi Samamba ataka kuongeza weledi na umoja katika utendaji kazi

    Wakati Bajeti Kuu ya Serikali ikitarajiwa kuwasilishwa kesho, Menejimenti ya Tume ya Madini imetakiwa kufanya kazi kwa weledi, umoja na mshikamano ili kufikia lengo la Serikali la makusanyo ya shilingi Trilioni moja kutoka Sekta ya Madini kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Hayo yamesemwa leo Juni...
  17. Roving Journalist

    Mhandisi Innocent Luoga: Serikali inajiandaa kuzindua Mkakati na Mpango Kazi wa Kitaifa wa Nishati Jadidifu

    Wizara ya Nishati imeshiriki Kongamano la Kitaifa la Nishati Jadidifu kwa mafanikio ambapo imetumia kongamano hilo kueleza juhudi zinazofanywa na Serikali katika uendelezaji wa Nishati Jadidifu nchini na hii ikijumuisha utekelezaji wa Mkakati wa Kitaifa wa Nishati Safi ya Kupikia. Akifungua...
  18. The Sheriff

    Kilimanjaro: Mhandisi wa Kilimo apewa usimamizi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Mwanga

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amesikitishwa na kitendo cha Mhandisi wa kilimo (agricultural engineer) kapewa usimamizi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro. Kisingizio alichopewa ni eti kumekosekana mhandisi hivyo wakaona ni bora Mhandisi wa Kilimo angalau alete...
  19. Stephano Mgendanyi

    Maneno Mazito aliyoyasema Mhandisi Zena Ahmed Said, Katibu Mkuu Kiongozi wa SMZ Katika Siku ya Wanawake Duniani

    "Kauli Mbiu ya Wekeza kwa Mwanamke Kuharakisha Maendeleo ya Taifa na Ustawi wa Jamii. Huwezi kutoa usichokuwanacho. Wanawake ndiyo watoaji wakubwa wa mambo mengi kuanzia watoto wanavyozaliwa" - Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Mhandisi Zena Ahmed Said "Kama tutakuwa...
  20. DodomaTZ

    Mhandisi Ndolezi Petro atangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti Ngome ya Vijana ACT Wazalendo Taifa

    Hili hapa andiko la Mhandisi Ndolezi Petro ambaye ametangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti Ngome ya Vijana ACT Wazalendo Taifa katika uchaguzi utakaofanyika tarehe 29 Februari, 2024: UONGOZI NI VIJITI VYA KUPOKEZANA NAMI NAJIANDAA KWENDA KUCHUKUA KIJITI Mhandisi Ndolezi Petro, Waziri...
Back
Top Bottom