mgongo

Mgongo is an administrative ward in the Iramba district of the Singida Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 13,041.

View More On Wikipedia.org
  1. amarina

    Maafisa Idara za elimu anapostaafu Kiinua mgongo ni Wastani wa Tsh ngapi kwenye TGTS H au I?

    Igweeee! wanajukwaa wkwa wenye experience na kiinua mgongo katika sekta tajwa anabeba ngapi?? Na je kila mwezi wanapokea Pesa sijui inaitwa pension? kitu kama hicho. Je ni bei gani. kwa wajuzi tu, kama hujui comment fupi fupi
  2. Pakome

    Extortion au a protection racket kwa kutumia mgongo wa Shetani, ni mbinu wanayotumia Wachungaji kujipatia fedha

    Extortion au a protection racket kwa kutumia mgongo wa Shetani, ni mbinu wanayotumia Wachungaji kujipatia fedha kutoka kwa Waumini wao Je wanafanyaje? Kwasababu imeshazoeleka kuwa Shetani ni mbaya na wakutisha basi wanapita kwenye mgongo huo wa hofu kujipatia fedha Wanapokuwa katika Ibada...
  3. BigTall

    Deus Kibamba: Mbunge akimaliza miaka mitano Bungeni anapewa kiinua mgongo Sh Milioni 380+

    Msikilize Deus Kibamba ambaye ni Mchambuzi wa Mambo ya Siasa na Mhadhiri wa Chuo cha Diplomasia na Mkurugenzi Mtendaji Kituo Cha Taarifa Kwa Umma akifafanua kuhusu faida za Mbunge anazopata ndani ya Miaka mitano. Ndio maana Watu wanapambana kwa nguvu zote kuupata Ubunge kama mambo yenyewe ni...
  4. G TARIMO

    Mzigo Mkubwa wa Madaftari kwa Wanafunzi Je, Hii Haileti Madhara ya Kiafya Kwenye matatizo ya mgongo

    Wadau wote wa Wajamvini habari za muda huu Mara nyingi nikiwa kwenye daladala, hukutana na wanafunzi wadogo wa shule za msingi na sekondari wakiwa wamebeba mabegi mazito sana yenye madaftari na vitabu vingi. Hali hii hunisikitisha hasa nikifikiria umri wao mdogo na namna wanavyobeba mizigo...
  5. DR HAYA LAND

    Gambo usipoteze kiinua Mgongo chako , hauwezi kutoboa hapo Arusha

    Ulipozuia kutokujengwa hosptali ya mama na Mtoto kisa Lema ndo alileta wafadhili basi hiyo karma haiwezi kukuacha salama utafutwa katika ulimwengu wa siasa https://www.facebook.com/share/r/16zAdR6ndf/
  6. Knock life

    Mrisho Gambo jitahidi hii utakayopata ya kiinua mgongo uitumie vizuri kwakuwa haurudi Bungeni umeumiza sana watu

    Mrisho Gambo kwa jinsi ulivyoumiza watu Sana , nakupa huu ushauri huu usiharibu kiinua Mg on go chako kugombea. I hope you gonna shine with another way Nigga.
  7. Doto12

    Ni kada gani unastaafu ukiwa na cheo Cha juu kiinua mgongo mil 80-100?

    SoMo hapo juu husika. Kuna hizi kada 1. Ualimu prim and secondary 2. Nurse and or Dr medicine 3. Police or Jw ? Msaada kwa wale waliostaafu? Tupeni experience. Ni kada gani unastaafu ukiwa na cheo Cha juu kiinua mgongo mil 80-100?
  8. Komeo Lachuma

    PreGE2025 Video: Je, G55 walitapeli wenzao? Mzee Rungwe ameamua kupata kiinua Mgongo? Movie inaanza kuharibika

    Kwenye video wanaonekana wanachama wawili wa CHAEma wanaosema waliambiwa wanaenda kuhudhuria mkutano wa CHADEMA Dar lakini walipofika wakashangaa kukuta ni mkutano wa CHAUMMA. Wanasema wao si CHAUMMA, bali ni CHADEMA japokuwa walihudhuria mkutano huo?
  9. M

    Mtoto miaka9 pingili za mgongo zimenyooka

    Habari wakuu kijana wangu wa miaka 9 alikua analalamika maumivu ya mgongo sana,nkaenda hospital mbili tofaut nkakutana na daktari wa mifupa Akafanyiwa x ray ya mgongo ikaonekana pingili za mgongo zimenyooka,kikawaida zinatakiwa ziwe zime bend,akaandikiwa dawa ya neuroton na declofenac jel...
  10. Carlos The Jackal

    Bashungwa, Makonda Vijana wa Dola wanaoandaliwa Urais , wakataliwe na KANISA ,yoyote anayehubiri Uminywaji wa HAKI Kwa mgongo wa Aman, akataliwe !!

    Katika Jambo ambalo Dola inataka kuwachezea watanzania, ni kuwaandaa Hawa wahuni wawili kama possible successors wa Urais endapo Huu upuuzi wa Uchafuzi Mkuu 2025 wataendelea kuulazimisha Kwa Bunduki ,utekaji na mauaji uendelee kama ulivyopangwa !!. Dola ambayo ndio inayowaongoza CCM Kwa...
  11. R

    Hawa mawaziri na wabunge vijana, kiinua mgongo wanalipwa Ili iweje?

    Nijibiwe, Vijana( baro baro), wabunge na mawaziri ambao mwaka huu wana miaka 45, chini ya miaka 50, wanainuliwa mgongo upi ambao hata hauna dalili ya kupinda? Yaani mtu ambaye anagombea Tena, Kwanini asitunziwe mafao yake na alipwe akifikisha umri wa kustaafu, na iwe mara moja tu, SI Kila...
  12. M

    Mrejesho: Kijana wangu wa miaka 9 kuwa na maumivu ya mgongo

    Habari wakuu, nilileta Uzi humu juu ya kijana wangu kuwa na maumivu ya mgongo kayapata akiwa shule bweni darasa la 4, yamemuanza tarehe 1/4/2025 hakupigwa, hakuanguka, zaidi alikuwa akibebeshwa ndoo ya maji asubuhi na jioni Majibu ya vipimo Imeonekana pigili zake za mgongo zimenyooka kama...
  13. Just Pray

    PreGE2025 Serikali yatoa bilioni 10.8 kwa MOI kwa ajili ya ujenzi wa jengo jipya la kuhudumia wagonjwa wa nje (OPD)

    Serikali ya Awamu ya Sita imetoa jumla ya shilingi bilioni 10.8 kwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) kwa ajili ya kugharamia ujenzi wa jengo jipya la kuhudumia wagonjwa wa nje (OPD). Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Mhe. Balozi, Dkt. Mpoki Ulisubisya ameyasema...
  14. T

    Ipo siku wa Tanzania watapanga kwenye ardhi yao kwa mgongo wa uwekezaji

    Hakuna wa kumfunga paka kengele! Sasa ni mwendo wa kuchukua ardhi na kuwapa wawekezaji, huku wazawa wakilipwa fidia kwenye ardhi ya mababu zao na kuhamishiwa maeneo yasiyo na rutuba. Kwa mwendo huu, ipo siku Watanzania watapanga kwenye ardhi yao wenyewe kwa sababu ardhi yote imepewa wawekezaji...
  15. C

    Mtoto wa 2years na nusu anakalia mgongo

    Wakuu habari.. mtoto wa miaka miwili na nusu anakalia mgongo kulingana na changamoto za ukuaji anazopitia kama nilivowahi kueleza hapo awali. Ombi langu wataalamu hasa physiotherapist hii hali itabadilika baadae ama laa maana bado hajaweza kusimamia'kutambaa Wala kutembea.😭 #Ahsanteni
  16. M

    Msaada tafadhali: Maumivu makali ya mgongo ninapoinamisha Kichwa chini au kuangalia juu

    Habari wanajf, Nimekuwa na maumivu ya mgongo kwa siku tano sasa, hasa katikati ya mgongo upande wa kushoto. Maumivu huongezeka ninapokaa, kusimama, au nikiinamisha kichwa chini au kuangalia juu. Pia, maumivu hujitokeza hata ninapolala au kukaa. Naomba ushauri, je, hali hii inahitaji matibabu...
  17. M

    Nasumbuliwa na mgongo na kiuno

    Mgongo na kiuno vinanisumbua x ray nimepiga nimeambiwa sina tatizo ila napata maumivu kwenye pingili ya mgongo na kiunoni haswa nikiinama au nikikaa muda mrefu nimefanya matibabu ya pyhixio lakini bado mwenye kujua dawa yeyote iwe ya dukani au asili anielekeze
  18. TIASSA

    Maumivu makali ya mgongo mara baada ya tendo la ndoa

    Kwema Jf Doctors? Mpenzi wangu analalamika kuwa Kila akikutana na Mimi , baadaye hupata maumivu makali ya mgongo. Na anasema huwa inatokea kwangu Tu kabla ya hapo hakuwahi kupata shida hiyo husababishwa na nini?
  19. J

    Naomba ushauri nifanyeje, Kutatua tatizo?

    Habari za Leo wanajamii forum, naombeni nisaidiwe kwa hili. Nina kazi ya kukaa muda mrefu kwenye kompyuta (Coding Developer), na katika kipindi kifupi kilichopita, nimeanza kusumbuka na maumivu ya mgongo upande wa kushoto, chini kidogo. Hali hii inanipelekea kutoshika vizuri kwa muda mrefu...
  20. M

    Kuna watu wanatumia madhaifu yako kujinufaisha kwa mgongo wa kukusaidia

    Ushindi mwingine ni kufahamu udhaifu wako ni upi na uimara wako uko wapi ukijua hilo kwa sehemu wewe ni mshindi na itakusaidia kujua nani anataka kutumia udhaifu wako kwa manufaa yake. Kuna watu ni wajanja sana wanachokifanya ni kukusoma tu kujua eneo lako dhaifu na kufuatilia je unafahamu...
Back
Top Bottom