Victor Mhagama amepitishwa na chama chake (ccm) kugombea Ubunge Jimbo la Peramiho Mkoani Ruvuma.
Ni baada ya kifo cha Mama yake mzazi ambaye alikuwa Mbunge wa Jimbo hilo hilo la Peramiho kufariki dunia.
Tumepita wakati wa kulazimisha mgombea mweza kutoka upande wa bara au visiwani.
Tuweke uhuru wa wagombea kuchagua mgombea mwenza bila ubaguzi wowote au kulazimishwa na sheria.
Hakuna sababu yeyote tena ya msingi baada ya miaka 60 hatuhitaji upendeleo wowote tena tunahitaji watu makini bila...
Wasira alisema CCM ilifanya uchaguzi wa mgombea wao na wakafanikiwa kumpata na kumsimamisha huku wakiwa wanasubiri mgombea wa CHADEMA
Badala yake CHADEMA haikupeleka mgombea wake ilikuwa ikitukanana kwa muda wa siku 31
Ilikuwa ikimtukana Mbowe na Wasira akashangaa sana kuona nguvu yao ya...
Aliyekuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Makini, Coaster Jimmy Kibonde ameomba Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kumpatia Gari ambalo alipewa kama mmoja wa wagombea wa nafasi ya Urais Tanzania kwakuwa amelitendea haki kwa Kufanya kampeni karibu mikoa yote...
"Ndugu mgombea mheshimiwa Zungu ningependa kufahamu katika bunge utakaloliongoza iwapo utachaguliwa kuwa spika litakuwa na mchango gani katika kuboresha demokrasia nchini Tanzania hasa katika muktadha wakujenga mwafaka wa kitaifa na kuhakikisha Tanzania inapata katiba mpya?".
Mbunge mteule wa...
Mbunge wa Tarime Mjini Esther Matiko alipata nafasi ya kumuuliza swali Mgombea nafasi ya Uspika wa bunge la Jamuhuri la Muungano wa Tanzania, Anitha Alfan Mgaya kutoka chama cha National League for Democracy (NLD) ataje aina ya makundi manne ya wabunge wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania lakini...
Mgombea nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamuhuri la Muungano wa Tanzania, Veronica Charles Tyeah kutoka chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) akizungumza kuomba ridhaa kutoka kwa wabunge kumuunga mkono kupata nafasi hiyo leo Novemba 11, 2025 amempongeza Rais Samia kuwa Mwanamke kinara na...
Majalio Kyara aliyekuwa Mgombea Urais kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU) amesema mchakato wa uchaguzi umeisha, na sasa jambo ambalo linatakiwa kufanyika ili kutuweka pamoja ni mazungumzo ili kumaliza tofauti zilizojitokeza.
Amesema Watanzania wanapaswa kuacha vurugu, badala yake watafute...
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi tayari amepiga kura katika kituo cha kupigia kura Kariakoo viwanja vya michezo ya watoto Jimbo la Kwahani.
Dk Mwinyi amefika katika kituo hicho saa 2:10 asubuhi ya leo Jumatano, Oktoba 29, 2025 akiwa ameongozana na...
Kuna watu wanaitwa kwa kimombo 'opportunist' ama kwa kikwetu wasaka/ waotea fursa! Mfano halisi ni bashite wa Kolomije! Wao huwa hawajali kingine chochote lakini wanaweza kufanya chochote kibaya ama kizuri ili waikamatie fursa waliyoiotea
Kwa unyonge na udhaifu wa taasisi ya juu yenye mamlaka...
Mgombea urais wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Wilson Elias amesema endapo chama chake kitapata ridhaa ya kuongoza nchi, kitaweka satelaiti angani ili kudhibiti uhalifu unaofanyika katika maziwa ya Victoria na Tanganyika pamoja na mipaka ya nchi kwa ujumla.
Ahadi hiyo ameitoa...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Glory Tausi Shayo, ameahidi kufanya mabadiliko makubwa katika sekta za afya, elimu, na miundombinu ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge.
Akizungumza katika kampeni zake, Tausi amesisitiza kuwa atahakikisha wananchi wengi wanapata...
Wanabodi
Mimi ni Mzee wa trends and analysis, trends and analysis ya kwanza ya uchaguzi huu ni hii Thread 'Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!' PreGE2025 - Mwana JF, Be The First to...
Salaam!
Hivi Mwananchi aliyehudhuria mkutano wa kisiasa kusikizwa sera za wagombea Ili azichambue na kuchagua wa kumpa kura kuridhia kuongozwa na chama na mgombea husika,
Swali no 1.
Mwananchi akisikia mgombea akijinadi kuwa Yeye ni Amiri J Mkuu, atapata picha gani kichwani? Kura yake yaweza...
Pamoja na mawimbi makali bado ccm imezidi kua imara, ccm imezidi kukubalika sana!
Tazama hapa katika video WATU WAZIMA mbali mbali wakienda kusikiliza sera za mgombea wa ccm.
Ama hakika CCM inakubalika sana.
08 October 202
Zanzibar, Tanzania
KESI YA CUF DHIDI YA TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR YAENDELEA KUSOTA MAHAKAMANI
Wakili wa Bw. Hamad Masoud anayewania kiti cha urais wa serikali ya Zanzibar azungumza, hata ya mwanzo ya mapingamizi kuwa mahakama haiwezi kusikiliza kesi hiyo yaliyoletwa mahakamani...
JamiiForums ipo kwa ajili ya mambo mbalimbali, nje ya yote inawaunua vijana kufanya biashara zao humu na kupunguza ugumu wa maisha.
Lakini wote mashahidi september 06 mwaka huu JF ilifungwa rasmi na kuacha usumbufu mkubwa kwa watumiaji hasa wafanyabiashara,
Hoja yangu kwanini zile...
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Gairo Ahmed Shabiby amefanya kampeni za kuomba kura kwa kutumia helikopta ambapo amehaidi kuendelea kuboresha sekta ya kilimo cha umwagiliaji. Akiwa katika kampeni zake Shabiby amesema kuwa atahakikisha wananchi wananufaika na kilimo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.