mgogoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwanaume, unachopaswa kufanya ukiwa kwenye Mgogoro wa ulezi wa Watoto na Mwanamke

    Mwanaume, NDOA ikishafeli, na Wakati tu mgogoro wa kugombania watoto utapoanza na wewe ukakomaa nao, hapo kaa ukijua tayari umeshindwa kabla hujaanza. Yaani hapo Mwanamke tayari anakuwa amekushinda. Mkienda Mahakamani, utashindwa. Ukienda Kanisani, huko pia utashindwa. Ukienda Ustawi wa...
  2. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika kumaliza mgogoro wa mkataba wa bandari nchini Tanzania

    UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA KUMALIZA MGOGORO WA MKATABA WA BANDARI NCHINI TANZANIA Utangulizi Katika juhudi za kukuza maendeleo ya kiuchumi na kijamii, serikali na taasisi za umma hufanya mikataba na wawekezaji ili kuvutia uwekezaji na kuleta maendeleo katika nchi. Hata hivyo, mikataba...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga: Rais Samia alikuja Kenya kutusuluhisha mgogoro lakini Rais Ruto akaingia mitini

    Akizungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya, Waziri Mkuu wa Zamani wa Nchi hiyo na Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga amesema jitihada za kutafuta suluhu ya mgogoro unaoendelea kulitafuna taifa zilifanywa sio tu na jamii wa Wakenya peke yao bali hata Matifa jirani ambapo...
  4. JamiiForums Tanzania Turudi nyuma kidogo mgogoro wa DP World

    Unganisha Dots, utagundua Uteuzi wa Kitila Mkumbo una maana gani, taifa lilianza kutengenezwa na kuwambwa tangu tulipotangaza mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Zingati tarehe ya mkutano huu, mipango ilipikwa miaka mingi nyuma... Kwamsiojua hawa ndio walimtengeneza Magufuli akakataa mradi...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali: Iandae mikakati ya kudhibiti soko la silaha na uingizaji silaha baada ya mgogoro wa Ukraine

    Mgogoro wa Russia na Ukraine umepita mwaka mmoja sasa na huenda usiishe hivi karibuni. Nchini Ukraine hivi sasa wapo watu ambao wafanya kitu chaitwa mavuno yaani kuokota silaha kwa ajili ya kuzifanyia matengenezo, kuzisafisha kwa ajli ya kuziuza baadae. Mara nyingi silaha hizi kupitia wauzaji...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwenye mkataba wa kuuza bandari hakuna sahihi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali?

    Rais anashauriwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwenye kila jambo la mikataba na sheria, sasa mkataba huu baina ya Tanzania na Dubai unaosambaa kwenye mitandaoni hauna sahihi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Suala la Bandari sio la Wizara moja ni suala la nchi haliwezi kuamuliwa kiwizara...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Ardhi katika vijiji vya Nyatwali na Utegi mkoani Mara

    Binafsi nichukue nafasi hii kuwashukuru Halima Mdee na Jafari Chege kwa kuwasemea Wananchi wa maeneo haya kuhusu manyanyaso ya Serikali dhidi yao. Nianza na Kata ya Nyatwali. Kata hii ina vijiji vitatu Tamau, Nyatwali na Serengeti. Vijiji vyote viko kisheria na vilianzishwa tangu mwaka 1972...
  8. JamiiForums Tanzania Viongozi sita wa Afrika kusuluhisha mgogoro wa Ukraine na Urusi

    Ujumbe wa viongozi hao wa Nchi 6 za Afrika unatarajiwa kufanya mazungumzo na pande mbili wenye lengo la "kuanzisha mchakato wa amani." Rais wa Urusi, Vladimir Putin na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy wote wamekubali kuwa wenyeji wa ujumbe huo kutoka Afrika Kusini, Senegal, Misri, Jamhuri...
  9. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Kariakoo sio rahisi kuumaliza, bado yataendelea

    Mimi ni mnunuzi bidhaa mbalimbali hapo kariakoo ukweli ni kwamba asilimia 90 ya wafanyabiara hawatoi risiti halali yani ukinunua mzigo wa mil 1 unapewa risiti ya laki 5 wafanyabiasha wa wahindi wao watakuomba wakutolee risiti ya laki 7 wanaouza bidhaa bila risiti ni asilimia 1 wanaotoa risiti...
  10. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo, leo Mei 17, 2023. Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kimataifa la Kariakoo wametoa malalamiko mbele ya Waziri Mkuu ambapo wameilaimu TRA kwa kutokufuata taratibu sahihi za...
  11. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Israeli na Wapalestina unapima akili ya Mzungu

    Waarabu wanapima kuwajua wazungu kama ni watu kamili kama wao au wana uhalifu kidogo kuwa binadamu kamili kama wao. Hata nguruwe ukiwapa kichapo na jambia TU kila mara wanageuka kuwa rafiki zako kwa njia ya conditioning (ushawishi) tu bila kutumia akili zao. Waarabu wanajua kuwa rafiki mkubwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Ukraine na Urusi unapima akili za Waafrika

    Wazungu wanapima kutujua waafrika kama ni watu kamili kama wao au tuna uhalifu kidogo kuwa binadamu kamili kama wao. Hata nyani na tumbili ukiwapa ndizi TU kila mara wanageuka kuwa rafiki zako kwa njia ya conditioning (ushawishi) TU bila kutumia akili zao. Wazungu wanajua kuwa rafiki mkubwa...
  13. JamiiForums Tanzania mgogoro wa sudani sasa ni mafahari wawili zizi moja

    sudani si shwari tena. sio mzuri wa makala ila kiukweli uwezi kuwa na fisi wawili kwenye zizi moja.tatizo lilianza kwa bashiri . ARF NA JESHI LA SUDANI ndio mwendo wa simba na yanga
  14. JamiiForums Tanzania Macron aitaka Ulaya isijihusishe kwenye mgogoro wa China na Marekani kuhusu Taiwan

    Macron amesema ulaya lazima ipunguze utegemezi wake kwa Marekani pia iepuke kuingizwa kwenye mzozo kati ya China na Marekani kuhusu Taiwan, "Ulaya lazima isiingie kwenye makabiliano kati ya Marekani na China kuhusu Taiwan, Wazungu lazima waamke na kuepuka kufuata mdundo wa Marekani", Prez...
  15. JamiiForums Tanzania Fahamu juu ya mgogoro wa Cuba na Marekani 1962

    1962 uliibuka mgogoro ambao ulitaka kupelekea vita kati ya nchi ya Cuba na Marekani mara baada nchi ya Marekani kugundua kuwa USSR inaweka makombora ya Nuklia nchini Cuba, Nchi ya Cuba chini Fidel castro ilikuwa ni mshirika wa karibu sana wa Umoja wa Kisovieti (USSR). Chanzo hasa kilichopelekea...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Vikwazo zaidi vilivyowekwa na nchi za Magharibi dhidi ya Russia vyaondoa uwezekano wa suluhisho la amani la mgogoro

    Wataalam wa China wamesema, hatua za karibuni za nchi za Magharibi za kuendelea kuitenga na kuongezea vikwazo Russia zinaondoa uwezekano wa mazungumzo ya amani, na badala yake, zitasababisha umwagaji damu zaidi katika mgogoro kati ya Russia na Ukraine. Wataalam hao wametoa kauli hiyo baada ya...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa wawekezaji na wananchi umepelekea kifo cha Katibu wa CCM Luturo, Muleba

    Siku kadhaa zilizopita, katibu wa CCM Lutoro Muleba ameuaawa kwa kupigwa risasi na walinzi wa ranch za wawekezaji Lutoro mpakani mwa wilaya ya Muleba na Karagwe-Kagera. Hapa chini ni kipande cha video wakati wa mazishi ya huyo kijana. Mbuge wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage alionekana...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Simba bado kuna mgogoro, usipotatuliwa Horoya watatutia aibu kwa Mkapa kama tulivyofanyiwa kwa Galaxy Gwaneng

    Dah, we acha t
  19. JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Shoo amaliza mgogoro wa Dayosisi ya Kusini Mashariki

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Fredrick Shoo amefanya ziara ya siku tatu mkoani Mtwara kwa ajili ya kutatua mgogoro uliodumu kwa zaidi ya miaka sita. Akizungumza jana Jumatano Machi Mosi, 2023 baada ya kumaliza kwa vikao vinne vilivyofanyika kwa siku mbili...
  20. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa ndoa ya Dkt. Mwaka na mkewe kufikishwa Mahakamani

    Sakata la ndoa ya mtaalamu wa tiba mbadala, Juma Mwaka maarufu Dk Mwaka na mkewe Queen Masanja, limechukua sura mpya baada ya shauri hilo kutua kwa wanasheria ambao wamepanga kulipeleka mahakamani. Shauri hilo tayari limepita kwenye Baraza la Usuluhishi chini ya Ustawi wa Jamii na wakati wowote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…