mgogoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Hili la Aloyce Nyanda kuanzisha mazungumzo ya mgogoro wa Ethiopia na Misri akiwa na balozi wa Ethiopia tu limekaaje kidiplomasia wadau?

    Habarini! Tusameheane kwa michango yetu inayotofautiana katika mada zingine, lakini sina jinsi lazima niendelee kuwepo jf....nalipenda mno hili jukwaa! Kwenye hoja; Ni huyu mngazaji wa star TV, aloyce nyanda, namuona leo akiwa na balozi (kama sikosei) wa Ethiopia katika kipindi chake...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Aliyeanzisha uzi wa “Yanayojiri mgogoro wa Ukraine na Russia” yupo hai au vita vimeondoka naye maana hakuna updates

    Mada yangu hii, imekaa Kwa mtindo wa swali, Nauliza tuu, na kama yupo, Mingy ampe maisha marefu zaidi, Imekuwa ni muda mrefu sasa tokea Julay huko hajawahi tena kuapdate tarifa ya Uzi wake Mimi kila nikiingia Jukwaan, lazima nianze kusoma Uzi wake kwanza, maana huwa ninaamini kuwa yeye ndiye...
  3. JamiiForums Tanzania Putin ashinda Vita ya kiuchumi kati yake na Ulaya: CEO wa kampuni ya mambo ya uchumi Ulaya asema Ulaya inaelekea kwenye mgogoro mkubwa wa kiuchumi

    Hatimaye Putin ameshinda Vita ya kiuchumi kati yake na Ulaya.C.E.O wa kampuni kubwa kabisa ya mambo ya uchumi Ulaya asema,"Ulaya hatimaye inaelekea katika mgogoro wa kibenki, kuanguka kwa viwanda, kaya na uchumi.Hii ni katika "wiki chache tu zijazo" amesema. 07 SEPTEMBA 2022  Tuomas Malinen...
  4. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Shell: Mgogoro wa nishati utakuwa kipimo cha umoja wanachama EU. Bei yapanda mara 30(3,000%)

    Mkurugenzi wa Shell, Ben Van Beurden ameitahadharisha Ulaya inaweza kuhitaji kugawanya nishati kwa miaka kadhaa kwani mgogoro uliopo una kila dalili ya kudumu zaidi ya kipindi kimoja cha baridi. Maoni ya Mkurugenzi huyo anaeongoza kampuni kubwa zaidi barani Ulaya ya mafuta na gesi yanafatia...
  5. JamiiForums Tanzania Yanayotokea katika mgogoro wa Taiwan, China na Marekani. Chanzo na hatima ya mgogoro

    Kwa mara nyingine tena Marekani imetuma wajumbe wa Baraza la Congress kwa ndege ya kijeshi hadi Taiwan tarehe 14 Agosti 2022. Kwa kitendo hiki,Marekani inafanya uchokozi wa wazi kwa China. Ujumbe huu mwingine wa Bunge la Congress ulikwenda Taiwan kwa kutumia ndege ya kijeshi, moja kwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Tanga; Rais Samia ingilia mgogoro wa ardhi shamba la kilapula (Geiglizy farm)

    Enzi za magufuli alitoa ardhi kwa wanaomiliki ardhi katika shamba tajwa. Aliosema kuwa hata eka 5 wapewe bure. Leo hii Mkurugenzi wa Muheza anawatoza wananchi kulipia ardhi kinyume na tamko la Maguuli. Kuna dhuluma kubwa, tunaomba uingilie kati.
  7. JamiiForums Tanzania Nacy Pelosi na Kampuni yake ya NVIDIA na mgogoro ndani ya USA ni upenyo kwa China

    Hapa China ka win pakubwa sana kwenye international diplomacy. Wajinga wasiojua wanaangalia upade wa ubabe na primitive thinkig ya imperialists. China ameonesha namna mkubwa anvyotakiwa ku behave ili kuweka dunia iwe salama. Nchi nyingi zitamwamini mchina kuliko marekani. Vilevile kwa namna...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Hai, Saashisha Mafuwe anachochea mgogoro kati ya muwekezaji wa Makoa Farm na Wananchi

    Mbunge wa Hai ndugu Saashisha Mafuwe amekuwa source ya mgogoro kati ya muwekezaji wa makoa farm na wananchi wa kijiji cha uduru ambao ndiyo wamiliki wa shamba hilo. Muwekezaji huyo mjerumani aitwaye Elizabeth ana mkataba wa uwekezaji unaofika ukomo mwaka 2039. Mapema mwezi huu mbunge SAASHISHA...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Huu Mgogoro na mzee unanipa wakati mgumu sana, Naombeni nanyi Mnishauri kama mmewahi kutana na changamoto kama hizi maishani

    Nadhani na umri nao umekuwa changamoto kwa mzee maana maamuzi yake yamekuwa kwa sasa hata hayaeleweki vizuri. Tumeingia mgogoro kwa jambo dogo sana. Lilianzia kwenye birthday yangu mwaka huu. Alitaka ninunulia gari ambalo kiuhalisia mimi niliona ningekuwa najichoresha sana. Lingekuwa gari pekee...
  10. JamiiForums Tanzania Mstaafu wa Jeshi atuhumiwa kuua kwa risasi kisa mgogoro wa mipaka

    Jonas Ziganyige (71) mstaafu wa Jeshi la Wananchi, Mkazi wa Mbezi Juu kwa tuhuma za kumpiga risasi na kumuua Patient Romwadi (48) mfanyabiashara, Mkazi wa Wazo Mivumoni, Kinondoni katika mgogoro wa mipaka. Mtuhumiwa anadaiwa kufanya tukio hilo Julai 9, 2022 ambapo marehemu alifika eneo...
  11. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Marekani, China waanza mazungumzo kumaliza mgogoro wao

    Wanadiplomasia wakuu kutoka Marekani na China wamekuana leo Julai 9, 2022 kwa zaidi ya saa tano katika juhudi za kupunguza mvutano unaoongezeka kati ya Nchi hizo mbili. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken alisema uhusiano wa mataifa hayo una ‘matokeo makubwa’, akieleza kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Urusi na Ukraine, kinachoonekana sio ushabiki bali ni historia

    Kinachoonekana baina ya Pro Russia dhidi ya Pro NATO/ USA/ Ukraine sio ushabiki Bali ni historia. Histori inatuambia kulikua na Kambi tatu. 1) West ikiongizwa na USA UK na western wengine. 2) East ikiongizwa na USSR ambayo ndo Urusi East German na wengine. 3) NAM, kwa Kiswahili nchi...
  13. JamiiForums Tanzania Utafutaji wa kura maeneo kame, Kenya unavyochochea mgogoro wa Loliondo

    Watanzania si wepesi kuingilia Uhuru wa nchi nyingine Huru zinazoizunguka naweza kusema hivyo haijawahi kutokea Tanzania ikawa kinara wa mambo ya nchi nyingine siku zote wanaishi maisha yao na shida zao. Ukimya huu wa Tanzania hata kwa Dunia ni nchi ambayo iliamua kutochagua upande wowote hata...
  14. JamiiForums Tanzania Chanzo cha mgogoro wa Loliondo

    Kwa zaidi ya miaka 30 sasa eneo la pori tengefu la Loliondo limekuwa na mgogoro ambao awali uliwahusisha wananchi na kampuni ya uwindaji ya Ortello Business Cooperation (OBC) na mwingine kati ya kampuni ya utalii ya Thomson Safaris na wananchi wa eneo la Sukenya. Kutokana na migogoro hiyo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Ngorongoro tunawapa pointi za bure Kenya za kiplomasia. Tanzania tuna wasomi na viongozi wasio na Msaada kwa Taifa

    Habari JF, Kenya sio Muda wanaingia kwenye Uchaguzi mkuu hivyo sio rahisi kujihusisha kwenye huu mgogoro wa Ngorongoro labda wawe na mfumo imara sana katika Uongozi wa Nchi ambao hautegemei Rais anae kuwepo madarakani. Kinachofanyika Kenya ni kujizolea points za mezani kupitia huu mgogoro huu...
  16. L

    JamiiForums Tanzania BRICS bado iko imara licha ya changamoto ya COVID-19 na mgogoro wa Ukraine

    Caroline Nassoro Janga la COVID-19 limekuwa na athari kubwa kwa uchumi wa nchi mbalimbali duniani, kwani katika kudhibiti maambukizi, hatua kadhaa za lazima zilichukuliwa, ikiwemo kufunga shughuli za biashara na kijamii, jambo lilivuruga mwelekeo wa uchumi wa nchi mbalimbali na dunia kwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ngorongoro Kati ya Serikali na Wamasai. Nini chanzo na hatma ya mzozo

    Habari ndugu Watanzania, kuna sintofahamu kubwa inayoendelea huko Ngorongoro katika jamii ya Wamasai kuwa na mgogoro na Serikali. Tuelimishane hapa kwenye huu Uzi kwa wale wenye uelewa wa huu mzozo na tuondoe sintofahamu iliyopo kwa Watanzania kuhusiana na huu mgogoro. JE, nini chanzo Cha...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini mgogoro wa Loliondo haukuibuka wakati Magufuli yupo hai? Hawa OBC ni akina nani? Kwanini Loliondo Gate? Mbona wanasiasa wa Oman?

    Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi? Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati Magufuli haya masuala hayakuibuka? Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema. Mkuu wa nchi anashiriki...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa hizi Kauli ya Spika na Mkuu wa Mkoa ukiunganisha na tukio zima,Kipi tuamini Mgogoro toka zamani upo au umeibuka saivi?

    Spika anatoa kauli yake Juu ya swala la Ngorongoro na mkuu wa Mkoa anatoa Taarifa yake ambayo ina kinzana na Taarifa ya Spika na ukitazama Mtu alie kwenye control ya Lile eneo ni Mkuu wa Mkoa so ana details za kutosha na inaonyesha huu Mgogoro sio wa Leo lakini spika alikanusha hapa, Nani...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za Afrika zinatishiwa katika mgogoro kati ya Russia na Ukraine?

    "Marekani kutoa sheria inayolenga kuziadhibu nchi za Afrika ‘zinazofungamana’ na Russia." Hiki ni kichwa cha makala moja iliyochapishwa hivi karibuni katika gazeti la Nigeria Premium Times. Wakati huohuo, Gazeti la Daily Maverick nchini Afrika Kusini pia lilionya kuwa sheria hiyo inaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…