mgogoro wa ardhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. davejillaonecka

    JamiiForums Tanzania Kuna haja gani kuleta nguzo mpya za umeme za zege katika eneo lenye mgogoro wa ardhi?

    Kuna haja gani kuleta nguzo mpya za umeme za zege katika eneo lenya mgogoro wa ardhi takribani miaka 23 baina ya uwanja wa ndege (JNIA) na wakazi wa kipunguni (DSM). Je, Tanesco Hawaoni watapata hasara endapo wataanza kubomoa? Naomba kueleweshwa, na kuelimishwa. Asante.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ziara Maalum ya RC Makalla Kigamboni yabaini eneo la Avic Town na GSM walilopewa Yanga SC lina Mgogoro wa Ardhi

    Katika hali isiyokuwa ya Kawaida Wakazi wa Kigamboni mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla wamesema kuwa Mmiliki wa eneo la Avic Town ambako ndiko Klabu ya Yanga kupitia Mdhamini wao GSM amewadhulumu eneo hilo na wanataka Haki itendeke Kwao. "Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa tunasikitika...
  3. mshale21

    JamiiForums Tanzania Rorya, Mara: Mgogoro wa ardhi wasababisha marehemu kutozikwa tangu Januari 20, 2021 mpaka leo

    Linaweza kuwa tukio la kushtua na kushangaza, lakini ndio hivyo limeshatokea. Familia ya Mzee Wilson Ogeta (89) hadi sasa imeshindwa kufanya mazishi ya baba yao aliyefariki dunia Januari 10, mwaka huu. Kwa siku 234, mwili wa Mzee Ogeta umehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Utegi wilayani...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Naomba anayejua Advocate/ Lawyer Office wa kuaminika kwenye kesi za ardhi/ viwanja

    Wana JF, Kwa yeyote yule anayefahamu lawyer au advocate offices za utetezi hususan waliobobea kwenye sheria za utoaji Ardhi/ viwanja. Nitashukuru sana, maana nataka kudhulumiwa kiwanja changu.
Back
Top Bottom