mgogoro wa ardhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia aunda Tume za Rais za Kutathmini Mgogoro wa Ardhi Hifadhi ya Ngorongoro na Kutathmini Zoezi la Uhamaaji wa Hiari katika Hifadhi

    Tarehe 01 Desemba, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipokutana na viongozi wa kimila na jamii ya kimasai wanaoishi eneo la Hifadhi ya Ngorongoro alitangaza uamuzi wa Serikali kuunda Tume mbili ambapo Tume ya Kwanza itafanya tathmini kuhusu masuala ya...
  2. Ni lini Kamishna msaidizi Tabora utamaliza mgogoro wa ardhi Nzega karibu na stendi kuu ya mabasi?

    Habari wadau wa JF. Natoa wito huu kwa Kamishna Msaidizi wa Ardhi Tabora, maofisa wengine wa kitaalam, na viongozi wa kisiasa, akiwemo Waziri mwenye dhamana ya Ardhi, Mkuu wa Mkoa, na Mkuu wa Wilaya. Mwaka 2009, kulifanyika zoezi la upimaji wa ardhi katika eneo la Kitongoji cha Sagara...
  3. Msaada: Eneo ambalo bibi alikuwa analima tangu miaka ya 80, kuna mtu kavamia. Nathibitishaje na bibi kafariki?

    Msaada ndugu nina mgogoro wa ardhi mahali ambapo bibi yangu alikuwa analima kuanzia miaka ya 80 na sidhani kama aliwahi kuwa na hati ya hilo eneo ila ndio mahali tumekuwa tukipata mazao ya kula kama familia. Sasa kuna mtu amevamia eneo baada ya bibi kufariki, sasa je nitaweza vipi kuthibitisha...
  4. DC Kiteto aenda kusikiliza Wananchi wa Ndaleta kuhusu mgogoro wa Ardhi, Wenyeji wailalamikia Halmashauri

    Wananchi wa Kijiji cha Ndaleta Wilayani Kiteto Mkoani Manyara wameilalamikia Halmashauri ya Wilaya hiyo wakidai imehusika kuhujumu Wananchi kwa kiwango kikubwa katika masuala ya mgogoro wa ardhi yanayoendelea. Wameeleza kuwa wamefikisha malalamiko yao mara nyingi kuhusu mgogoro wa ardhi lakini...
  5. TLS Yatoa Tamko Kuhusu Maandamano ya Wananchi wa Ngorongoro, Yataka Haki Zao Ziheshimiwe

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimetoa wito kwa Serikali kufuatia maandamano yaliyofanywa na mamia ya wananchi wa Ngorongoro tarehe 18 Agosti, 2024, wakidai kuheshimiwa kwa haki zao za kimsingi. Maandamano haya yalionyesha hisia kali kutoka kwa wananchi wanaopinga kuondolewa kwenye ardhi...
  6. Msaada: Baba alitoa shamba Kama sadaka kanisani, familia tunataka kulirejesha tuanzie wapi?

    Mwaka 2018 mzee wangu alilitoa shamba la familia lenye ukubwa wa heka 4 likiwa pamoja na miti ya mbao. Maamuzi ya kutoa sadaka shamba la familia aliyafanya mwenyewe bila kumshirikisha mtu yeyote ndani ya familia, ni jambo lililosababisha migogoro ambayo mpaka leo imeathiri familia yetu...
  7. Serikali Yaahidi Kutatua Mgogoro wa Ardhi Kati ya Wananchi na Jeshi la Magereza Wilayani Ngara Mkoani Kagera

    SERIKALI YAAHIDI KUTATUA MGOGORO WA ARDHI KATI YA WANANCHI NA JESHI LA MAGEREZA WILAYANI NGARA MKOANI KAGERA Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imepokea malalamiko ya mgogoro wa Ardhi kati ya Wananchi na Jeshi la Magereza katika Kijiji cha Rusumo Wilayani Ngara Mkoani Kagera. Kauli hiyo...
  8. Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa aingilia kati mgogoro wa ardhi wa Wananchi na Kampuni ya Tanzania Road Haulage

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameingilia kati mgogoro wa ardhi wa muda mrefu kati ya Wananchi wapatao 246 na muwekezaji wa Kampuni ya Tanzania Road Haulage katika eneo la Kurasini wilayani Temeke jijini Dar Es Salaam ambapo wananchi hao wanadai kutolipwa malipo...
  9. Mgogoro na Giza la Umiliki wa Ekari 12 Mapinga Bagamoyo wengi wamerithi mgogoro bila kujua

    Shalom, Naomba kuutarifu uma na Serikali kwa ujumla kwamba mimi na wenzangu kadhaa miaka ya 2010, 2011 kulikuwa na taarifa za wazi juu ya mgogoro wa eneo hilo na ukiachana na wale ambao tayari walikuwa wamenunua wengine wote waliambiwa kuhusu eneo kuwa na mgogoro na kulikuwa na kesi...
  10. Nyumba zaidi ya 400 za Mapinga (Bagamoyo) kuwekewa X ili zivunjwe kuna harufu yenye shaka, Waziri Silaa fuatilia kinachoendelea

    Siku za hivi karibuni kumekuwepo na mgogoro wa ardhi baina wakazi wa Tungutungu Kata ya Mapinga Wilaya ya Bagamoyo pamoja na “kigogo”, nimefika mara kadhaa eneo hilo ni vilio vilio. Mgogoro huo ulikuwa ukifukuta kimyakimya lakini kwa sasa umepamba moto kutokana na nyumba za wakazi wa eneo hilo...
  11. KERO Waziri Jerry Silaa tusaidie Wakazi wa Kata ya Ipala (Dodoma) hatujui mwelekeo wa ardhi yetu

    Uongozi wa Dodoma Jiji unadai eneo hilo tunaloishi wakazi wa Kata ya Ipala Jijini Dodoma ni mali ya Serikali, wanataka kutuhamisha kwa njia ambayo tunaona siyo sahihi. Wakati wakitaka kutuhamisha tuliomba zuio na vielelezo vinavyoonesha kwamba ni eneo la Serikali lakini hawatupi, zaidi wamekuwa...
  12. Spika wa Bunge, Dkt. Tulia aunda Kamati kufuatilia kama kuna uvunjifu wa Haki za Binadamu katika mgogoro wa ardhi unaohusisha Kanisa la EFATHA

    1.0 Waheshimiwa Wabunge, tarehe 14 Februari, 2024 nilipokea barua kutoka Kanisa la EFATHA, ikiwasilisha utetezi wake kuhusu mchango alioutoa Mhe. Deus Clement Sangu, (Mb) dhidi ya EFATHA, Mchango huo ulihusu mgogoro wa Ardhi kati ya Wawekezaji kwenye Shamba la Malonje na Vijiji vinavyolizunguka...
  13. Shukuru Kawambwa kwenye mgogoro wa ardhi na diwani mstaafu, Hassani Usinga. Watishiana kufungana pingu

    Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya Jakaya Kikwete kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo. Kwenye clip anaonekana akiburuzwa na vijana kwenye changamoto ya viwanja eneo la Bagamoyo. Mafao ya ubunge...
  14. Nini Hatima ya wanakijiji zaidi ya 2000 wa Tondoroni, Kisarawe waliopo katika mgogoro wa aridhi na JWTZ?

    MGOGORO WA ARIDHI TONDORONI Kesi ya ardhi namba 85 ya mwaka 2016, iliyowahusisha wanakijiji zaidi ya 700 wa Tondoroni dhidi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Leo(03.04.24)mahakama kuu chini ya Jaji Luvanda imetupiliwa mbali kwa kufunguliwa nje ya muda (Time barred'). Mgogoro huu wa ardhi...
  15. DOKEZO Responded Wakulima 27 Wilayani Kiteto washikiliwa na Polisi kutokana na mgogoro wa Ardhi

    Siku chache baada ya baadhi ya Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati na Ngabolo Wilayani Kiteto Mkoani Manyara wanaodai kuporwa maeneo yao ya mashamba kuamua kurejea katika mashamba hayo, baadhi yao wamekamatwa na kushikiliwa na Jeshi la Polisi wakidaiwa kuvamia sehemu ya Hifadhi...
  16. DOKEZO Responded Polisi Kiteto wamekamata Wakulima, wanawatesa na kuwanyima dhamana

    Kutokana na mgogoro wa ardhi unaoendelea Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, baadhi ya Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati na Ngabolo inadaiwa wamekamatwa na Polisi na wamewekwa ndani. Hakuna taarifa yoyote inayoendelea, Jeshi la Polisi mbona mnafanya maamuzi ambayo ni ya kidikteta...
  17. DOKEZO Responded Manyara: Wakulima Kiteto warejea kwenye mashamba waliyoondolewa, watuma ujumbe kwa Rais Samia wakidai wameporwa Ardhi yenye mashamba yao

    Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati, Ngabolo na Olboloti Wilayani Kiteto Mkoani Manyara waliodai kuporwa maeneo yao ya mashamba wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati changamoto yao inayowakabili kuhusu kuporwa ardhi ya Wafugaji wakidai kuwa wanapewa nguvu na baadhi...
  18. Mara: Kijana aliyejeruhiwa kwa mishale katika mgogoro wa ardhi Bunda afariki Dunia

    UPDATE: Aliyefariki ni Isore Mtegetu Marwa (28) Mkazi wa Mekomariro Wilaya ya #Bunda alijeruhiwa wakati wa vurugu zilizohusisha baadhi ya Wakazi wa Mekomariro dhidi ya Wananchi wa Kijiji cha Ryaming’orori Wilayani Serengeti ambapo pia watu wengine kadhaa wakijeruhiwa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  19. Wakazi wa Wilaya ya Bunda na Wilaya ya Serengeti wadaiwa kuchomana mishale katika mgogoro wa ardhi

    Mimi ni Mkazi wa Kijiji cha Mekomariro Wilaya ya Bunda, naomba jamii ijue kuwa kuna ugomvi wa ardhi kati Wananchi wa Kijiji chetu na Wananchi wa Kijiji cha Wilaya ya Serengeti, mpaka sasa kuna ugomvi mkubwa, watu wamechomana mishale. Huu mgogoro hauwezi kumalizika kwa kuwa kuna viongozi au...
  20. Mgogoro wa ardhi Rwagasore Mwanza kati ya mfanyabiashara na wananchi

    Habarini za asubuhi wakuu! Ule mgogoro wa ardhi katikati ya Jiji la Mwanza mtaa wa Rwagasore kati ya Wananchi watano na mfanyabiashara nakumbuka walienda TAKUKURU baaae maafisa ardhi walihojiwa na DED Jiji aliondolewa kazini na mama lakini baadae Waziri Mkuu aliingilia kati na kumkabidhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…