mganga wa kienyeji

Mganga wa kienyeji (Mganga) ni mtu anayehudumia watu kwa njia za kienyeji ikiwemo kutibu.
  1. Mshana Jr

    Jinsi Nilivyomtapeli Mganga wa Kienyeji: Simulizi ya "Mjanja Aliyekutana na Mwerevu"

    Watu wengi husema mganga wa kienyeji ni mtu wa kuogopwa. Wanasema ana macho yanayoona mbali na majini yanayompa taarifa za kila anayemtembelea. Lakini siku hiyo, niliamua kuthibitisha kuwa hata "nguvu za giza" hupigwa na giza la njaa na tamaa. Mtego wa Kisaikolojia Mganga huyu, ( jina kapuni")...
  2. Waufukweni

    Mganga aliyeahidi kuwapa Mali ubingwa wa AFCON amekamatwa

    Nje ya uwanja vyombo vya habari nchini Mali vimeripoti kukamatwa bwana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sinayogo ,ambaye ni Mganga wa kienyeji , hii baada ya kudaiwa kupokea jumla ya €33,500 [Tsh. 97 Milioni] akiwahakikishia watu kuwa Mali itabeba ubingwa wa AFCON. Sinayogo alikusanya pesa hizo...
  3. Moto wa volcano

    Ni nani anasema kwenda kwa mganga wa kienyeji ni dhambi !? Huo ni upotoshaji

    Kuna mafundisho ktk dini zetu hizi haswa walokole wanawapoteza watu , sioni kama kuna tatizo kwa mtu ambaye ana matatizo ya kiafya kwenda kutafuta tiba kwa waganga wa kienyeji hakuna ubaya wowote wala dhambi. Tiba za kienyeji ni uumbaji wa Mungu kuwasaidia watu kuondokana na maradhi mbali...
  4. M

    Mfanyabiashara anamuacha Mtaalamu wa masoko anaenda kwa Mganga wa kienyeji "Kalumanzila"

    Mfanyabiashara ana muacha Mtaalam wa masoko mwenye degree ya marketing, connections, uzoefu, mwenye database ya wateja, n.k. anaenda kwa mganga wa kienyeji wa matunguli ili uweze kupewa dawa au kurenew dawa aliyoambiwa itamletea wateja, dawa hizi mara nyingi zina masharti magumu au kuwatoa...
  5. DuaZaMama

    Manyara: Mwanafunzi auawa, mganga wa kienyeji atajwa chanzo cha mauaji

    Polisi mkoani Manyara bado wanamsaka mganga wa kienyeji anayetuhumiwa kutoa utabiri wa uongo uliosababisha kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne.Mwanafunzi huyo, Yohana Konki (17), alidaiwa kupigwa hadi kufa na wenzake baada ya kuaminiwa kuwa ameiba kompyuta mpakato (tablet). Yohana, ambaye...
  6. tonicimmobility

    Mwanafunzi auawa kisa ramri chonganishi Babati

    Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Ahmed Makarani amethibitisha tukio la kuuawa kwa mwanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Qash iliyopo wilayani Babati, mkoani Manyara, Yohana Konki (17) kwa madai ya wizi wa kishkwambi. Soma pia: Wizi Shule ya sekondari Kwa Shungu Ifakara...
  7. ntundaga

    Nimemtapeli mganga wakienyeji, napitia wakati mgumu sana

    Katika utafutaji wangu nmejikuta nikienda kwa waganga mara kadhaa. Kuna mganga mmoja niliona amenisaidia jambo fulani nikatokea kumwamini. Kwa miezi mitatu mfululizo biashara zangu zilikua haziendi vizuri sana nikajikuta nmeingia katika madeni niliyoshindwa kuyalipa kwa wakati. Kuna mdeni...
  8. Mshana Jr

    Tabora: Atapeliwa saa ya Milioni 1 na mganga wa kienyeji

    Mzee Mussa Rashid, mkazi wa Tabora, ametapeliwa na kuporwa saa yenye thamani ya shilingi milioni moja baada ya kudanganywa na mganga wa kienyeji mjini Sumbawanga kuwa atapata utajiri wa haraka. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo, ambapo inadaiwa kuwa mzee huyo aliwasili Sumbawanga...
  9. Binti wa zamani

    Mganga wa kienyeji ahukumiwa miaka 20 jela na viboko 12 kwa kosa la kufuga fisi

    Nani anaikumbuka hii kesi ya mganga wa kienyeji aliyekamatwa na fisi? amehukumiwa leo. Mahakama ya Wilaya Bariadi mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela pamoja na kuchapwa viboko 12 Emmanuel John (31), maarufu kama Chief wa Kilulu, kwa kosa la kukutwa na nyara za serikali aina ya...
  10. R

    Sikuwahi kufikiria kuna siku nitaenda kwa "Mganga wa kienyeji" lakini sikuwa na budi kwenda kwajili ya mtoto, chanzo kikiwa mila za mama yake

    Sikuwahi hata siku moja maishani kufikiria kwenda kwa waganga wa kienyeji, NEVER !! ni awatu niliokuwa nawaona hawana hadhi hata theluthi ya mtu kupeleka matatizo yake na waliownda nilikuwa nawashangaa. Fast forward 2020 mtoto alikuwa na matatizo flani ya kiafya, mama yake (mke wangu)...
  11. Tauceti Rigel

    Usipokuwa Muangalifu, Mchungaji Wako Anaanza Kufanana na Mganga wa Kienyeji

    Katika dunia inayojaa changamoto zisizokwisha—mahusiano yaliyovunjika, matatizo ya kiuchumi, ndoto zilizokwama—watu hutafuta suluhisho kwa njia mbalimbali. Wapo wanaotumia akili zao kutafuta njia halisi za kujinasua, na wapo wanaotafuta muujiza wa papo kwa papo. Kundi la pili mara nyingi huishia...
  12. Damaso

    SIMIYU: Jeshi la Polisi lamkamata mtuhumiwa (mganga wa kienyeji) akiwa na fisi

    Taarifa ya Jeshi la Polisi imesema Januari 24, 2025, saa kumi na mbili jioni katika Kijiji cha Kilulu Kata ya Bunamala Tarafa ya Ntuzu wilayani Bariadi, Jeshi la Polisi kupitia kikosi kazi cha kupambana na uhalifu, kilifanikiwa kumkamata Emmanuel John Maduhu (31), Msukuma na mganga wa kienyeji...
  13. Nazjaz

    How come a Professional Doctor wa MOI awe mganga wa kienyeji? (Kisa cha mganga wa kienyeji wa Chasimba)

    Chasimba ni eneo lililopo Boko, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Huko ndiyo kisa kizima kinakoanzia, kuendelea na kumalizikia. Ilikuwa hivi, mwaka Jana mwezi August kijana wangu alikuwa na tatizo la mifupa nikaambiwa huko Chasimba Kuna daktari mzuri sana wa MOI na ni mbobezi hasa kwenye...
  14. PROFOUND NOTION

    Unakuta mtu anamcheka mtu kwenda kwa mganga wa kienyeji ila yeye amepanga mstari kununua udongo

    "Ooh ukienda huko utapewa jini litakalokusumbua baadae" Anayesema hivyo ameambiwa atoe sadaka ya kujimaliza, anunue mafuta na maji na mchanga huku nabii wake akimuambia "usiogope, usiogope chochote" wakati yeye amezungukwa na mabaunsa na nje impaki gari ya milioni 250 inasumbiria kuondoka...
  15. Stability

    Inawezekana mganga kukunyanyua kimafanikio?

    Inawezekana mganga kukunyanyua kimafanikio? Ni njia gani anayotumia ambayo yeye haitumii ili kufanikiwa au asili ya tiba haimruhusu kujiganga? Mshana Jr LIKUD Nikifa MkeWangu Asiolewe na wengine wengi karibuni
  16. Mkalukungone Mwamba

    Mara: Watu wawili wafa maji Ziwa Victoria wakitokea kwa mganga wa kienyeji

    Watu wawili wamefariki dunia baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama ndani ya Ziwa Victoria katika Kijiji cha Burere wilayani Rorya mkoani Mara huku wengine wawili wakiokolewa. Tukio hilo limetokea juzi Jumapili Septemba 29, 2024 saa 11 jioni wakati watu hao wakiwa wanatoka Kijiji cha...
  17. Mtu wa Majira na Nyakati

    Ushuhuda: Ukiona Mganga anataka PESA nyingi fahamu tu huyo sio mganga utaibiwa

    Uganga au uchawi ni karama ambayo MUNGU huwa anawapa watu na moja ya masharti ya karama hiyo usiitumie kujipatia PESA Ila acha MTU akipenda Kazi yako atakupa PESA. Hivyo Mimi Mganga wangu alienifanya nitoboe na kupata Kazi ssehemu nzuri na kukalia hiki Kiti aliniomba elfu 3 tu. Wakuu ukiona...
  18. Nyendo

    PreGE2025 Matukio ya watu kupotea na waganga kuhusishwa na vifo vyao ajenda ya kuisafisha serikali na polisi kwenye tuhuma hizo?

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa zinatolewa kuwa aidha maiti zimefukuliwa kwa mganga wa kienyeji na maiti hizo unakuta ni za watu ambao walipotea na kutafutwa na ndugu, au mtu kafia kwa mganga na mtu huyo alitoweka akawa anatafutwa. Polisi: Wafanyabiashara wawili waliodaiwa kupotea...
  19. Influenza

    Polisi: Wafanyabiashara wawili waliodaiwa kupotea Songea, waliuawa na Mganga wa Kienyeji na kuzikwa

    Jeshi la Polisi limeleza kuwa Wafanyabiashara Raymond Hyera maarufu Ray (25) na Riziki Mohamed (30) wa Songea, Ruvuma waliokuwa wamepotea walienda kwa Mganga kupata dawa ya kuwezesha biashara zao kufanya vema zaidi ambapo walinyweshwa maji yaliyowafanya walegee na kupoteza maisha na kisha Mganga...
  20. chiembe

    Aliyepotea Singida abainika kuuawa kwa mganga wa kienyeji

    Haya mambo yanahitaji uchunguzi, na subira, huyu naye chadema walisema katekwa na polisi ===== Jeshi la polisi mkoani Singida linawashikilia watu watatu akiwemo mganga wa kienyeji ambaye hajaweza kufahamika jina lake baada ya kutuhumiwa kumuua kijana samwaja na kumnyofoa baadhi ya viungo na...
Back
Top Bottom