mgambo

JKT Mgambo is a football club based in Tanga, Tanzania. They play in the top level of Tanzanian professional football, the Tanzanian Premier League.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya: Tazama mgambo wakichukua nguo za machinga Kariakoo, hapo machinga akienda kuchukua mzigo wake faini laki 3

    Mimi ni mama wa watoto wawili najishugulisha na biashara ya nguo Kariakoo yaani machinga Jana nimepokonywa mzigo wangu na MGAMBO wa jiji kwenda kukomboa wanataka faini ya elfu 50 Mpaka LAKI 3.Kiukweli inakatisha tamaa wakati Mwingine unaweza hata kujiua mateso tunayopitia machinga ni mengi...
  2. JamiiForums Tanzania Ujuaji: Kwa nini JWTZ hawavai nguo za khaki kama za mgambo.

    Kwa nini wanajeshi hawajawahi onekana wamevaa camo za khaki kama zile za CHADEMA? Kweli zile baka baka za kijani zinafaa misituni. Lakini kiangazi nchi na karibu ukanda huu wote huwa wa khakhi. Ni kama camo za khakhi Pia zingefaa ziwepo kama ambavyo unakuta nchi za baridi wanagwanda za msituni...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuki wanazotengeneza Mgambo wa Ilala ipo siku watayaona matunda yake

    Mimi ni dereva Bajaj kupitia Taksi Mtandao, juzi nilimfuata mteja maeneo ya Msimbazi A kumpeleka Fire, pale Sheli (kituo cha mafuta). Nalipofika nilipark pembeni nikawasha double hazard, wakaja Mgambo wa Jiji wakaniambia ni wrong parking tukabishana pale, wakawa wanataka twende Lumumba au...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi Mgambo wa jiji hapa Dar ususani Ilala wana nguvu kuliko Waziri Mkuu?

    Wananchi tunahitaji ufafanuzi kuhusu nguvu na utendaji wa Mgambo wa Jiji, hususan katika eneo la Kariakoo, wakidai kuwa kumekuwa na ukamataji wa mali za wananchi unaosababisha kero kubwa. Baadhi ya waendesha pikipiki wanakamatwa bila kupewa nafasi ya kujieleza au kusikilizwa, huku pikipiki...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dar: Mgambo wa Jiji walikamata Spika zetu, wakasema tunalipe Faini Sh 200,000 kisha tulipe Sh 50,000 kila siku kama tunataka kuzitumia

    Mimi ni mfanyabiashara wa simu na vifaa vyake katika maeneo ya Machinga na Karume, Dar es Salaam, Tarehe 25 Juni 2026, siku ya Alhamisi, mgambo wa Jiji walifika ghafla katika maduka yetu na kuondoa spika zetu za kutangazia biashara. Hawakunipa maelezo ya kutosha wala hawakutoa hati yoyote ya...
  6. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Mgambo wanaotoza bodaboda na Bajaj faini ya Tsh. 50,000 kila siku wanatutengenezea chuki Wananchi

    Kuna migambo wanazunguka Kariakoo na gari aina ya Fuso wanakamata pikipiki na bajaji kisha zinapelekwa pale Lumumba kisha hutozwa fine Shilingi 50,000 na ikilala kila siku inaongezeka elfu 10. Mimi ilinitokea nilikuwa nafunga mzigo pembezoni ya barabara yaani kwenye reserve parking ya jengo...
  7. JamiiForums Tanzania Mgambo wa maadili wa Sharia wavamia lodge kutandika watu wakati wa Eid nchini Nigeria

    Mgambo wa maadili wa Sharia katika Jimbo la Katsina, Nigeria wakiwa na viboko na marungu wamevamia lodge mojawapo jimboni humo na kuanza kutandika wateja. Majimbo 12 kati ya 36 ya Nigeria yana utawala wa Sharia wa Kiislamu ambapo huwa na mgambo waitwao Hisba kuhakisha Sheria ya Kiislamu...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Donald Trump: Vyombo Vyote Iran Iwe Polisi, Jeshi, mgambo wekeni silaha zenu chini la sivyo utakabiliwa na kifo cha uhakika

    Hotuba kamili ya Rais wa Marekani Donald Trump akitangaza vita dhidi ya Iran Muda mfupi uliopita, jeshi la Marekani lilianza operesheni kubwa za mapigano nchini Iran. Lengo letu ni kuwalinda watu wa Marekani kwa kuondoa vitisho vinavyotarajiwa kutoka kwa utawala wa Iran, kundi katili la watu...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mgambo wanaolinda usiku Tabata - Kimanga wamegeuka kero. Hatulali, wanatupigia kelele

    Mimi ni mzaliwa wa Kilimanjaro ila mkazi wa Tabata – Kimanga, Dar es Salaa. Kwanza ya yote nawashukuruni sana sana JamiiForums kwa kazi nzuri mnayoifanya kwa kutusaidia kutatua kero mbalimbali zilizopo hapa nchini kwetu Tanzania. Mimi kero yangu ni Sungusungu / Police jamii wanaolinda usiku...
  10. JamiiForums Tanzania Video: Mgambo akipata kichapo heavy toka kwa wananchi

    Mgambo akipata kichapo heavy toka kwa wananchi, hawa migambo inapaswa wasome alama za nyakati. Wanafikiri wananchi wanaogopa.
  11. JamiiForums Tanzania Jeshi la Akiba Tanzania (Mgambo) watumike kwa Ulinzi kwenye maeneo ya Umma

    Habari Tanzania ! Salaam kwako Mtanzania; wewe ni mwema sana. Ninaombi ambalo limekaa kama pendekezo; Naomba kuuliza Je, ni kwanini hawa wataalamu wa Ulinzi ambao ni Jeshi la Akiba wasitumike moja kwa moja kwenye maeneo ya Umma kama sehemu ya kutoa huduma ya Ulinzi na kuimarisha Usalama kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Askari Mgambo tunaowategemea kulinda mali zetu, wamekamatwa kwa tuhuma za wizi

    Jeshi la Polisi mkoani Lindi linawashikilia askari mgambo wawili kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa mali mbalimbali, ikiwemo mali za raia mmoja anayeishi katika Manispaa ya Lindi. Waliohusika ni Karimu Athuman Omari (29), askari mgambo namba MG. 512421, mkazi wa mtaa wa Raha Leo, na Zawadi Swedi...
  13. JamiiForums Tanzania Vijana 149 wahitimu mafunzo ya Mgambo. Je ni maandalizi ya Uchaguzi?

    Vijana waliohitimu mafunzo ya jeshi la Akiba wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa wametakiwa kuishi kiapo walichoapa pamoja na kutumia vizuri mafunzo waliyoyapata katika kipindi chote Cha mafunzo ili kuendelea kuwa wazalendo. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Peter Ambrosi Lijualikali wakati...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Katavi: Askari mgambo kijiji cha Mwamapuli, Halmashauri ya Mpimbwe wamekuwa ni kero kubwa

    Askari hawa wamekuwa wakibambikizia watu kesi na kukamatwa hovyo. Tunaomba Mamlaka ziwachukulie hatua hawa matapeli kwa kivuli cha 'mgambo' ambao wanatembea na pingu ovyo na hatujui wanatoa wapi hizo pingu. Askari mgambo hao ni Isaya na Mashada.
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Mrisho Mgambo atupwa kwenye jimbo la Arusha Mjini, Makonda apita kwenye mchujo

    Wakuu, Mambo yanaendelea kuwa mazuri. Ile battle ya Makonda na Gambo imeisha rasmi, Makonda kapita kwenye mchujo
  16. W

    JamiiForums Tanzania Mgambo akisoma diploma kisha aende jkt, kuna advantage yoyote ya kubakizwa aajiriwe Jwtz ?

    Alimapomaliza form 4 alipata division 2 lakini alipatwa na msiba, hakuweza kuendelea na shule kwasabau za kiuchumi. Alienda mafunzo ya mgambo lakini alipomaliza kuna pesa za usimamizi wa mirathi zilitoka akaenda kusoma Diploma ya Mechanical Engineering Je, akienda JKT anaweza kupewa kipaumbele...
  17. JamiiForums Tanzania Shamba la mitik linauzwa lipo Tanga Korogwe kijiji mgambo

    Shamba lipo Tanga Korogwe ni hekari 6 jumla ya miti ya mitiki ni 2100 Shamba linauzwa pamoja na miti yake kwa milioni 150 dalali ukileta mteja 10% ya kwako Miti ina umri wa kuanzia miaka 9 mpaka 14 0615636384 0653172333
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Watu wanaojitambulisha ni Askari wanashirikiana na Mgambo kukamata Wananchi mida ya Jioni Mbagala Zakiem

    Baadhi ya Watu ambao wanajitambulisha kuwa wao ni Askari Polisi wakishirikiana na baadhi ya Mgambo, usiku wanapita katika maeneo ya wazi kama Viwanjani na kukamata Watu ambao watakuwa wamesimama au kukaa maeneo hayo kuanzia Saa 12 Jioni. Wanafanya hivyo karibu na maeneo ya Mbagala Zakiem kisha...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Nimerudi kufanya kazi yangu ya mgambo.

    Nina kabachelor kangu,lkn nimekula za uso utumishi,tra na gbt. Sasa nimewahi kupitia mafunzo ya mgambo na kutunukiwa cheti. Nimeamua nijitose tu kwenda kuwa mlinzi,kwa kuanzia leo nimepata mchongo wa kwenda kukamata wahalifu flani wanaotuhumiwa na jamii kuwa wanauza bangi na kusumbua wananchi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania RPC Simiyu asema Pendo aliyedai kutumwa kumuu Luhaga Mpina hakuwa Askari wa JWTZ bali Mgambo

    KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Simiyu, amethibitisha kwamba Binti Pendo Paul aliyedai kupewa kazi ya kumuua Mbunge Mpina hakuwa Askari wa JWTZ kama alivyojitambulisha bali alikuwa amepitia mafunzo ya Mgambo zaidi sikiliza Video hii. https://youtu.be/gTzupuaYy7c?si=_wUYi4xRIAVxOMpi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…