mfungo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    Irani Imepigana na Marekani na Israel Kuanzia Ramadhani Mosi hadi Kukamilika kwa Mfungo Marekani Inajitoa Taratibu

    https://youtu.be/6n-00-MSepU?si=5h-ekwpDBWc8kBqS
  2. The Dictator

    Waislamu duniani wawacharukia viongozi wa falme za kiarabu baada ya kuonekana kutokuzingatia mfungo wa Ramadhan

    Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) amempokea Mfalme wa Jordan jijini Dubai, katika mkutano uliowahusisha pia viongozi waandamizi Mohammed bin Rashid na Mansour bin Zayed. Mazungumzo yao yalijikita zaidi katika hali tete ya kiusalama inayozidi kuzorota katika ukanda wa Mashariki ya Kati...
  3. Genius Man

    Kama unafunga mpaka ule daku au kwasababu ni mwezi wa mfungo au usifike na watu basi unashinda na njaa

    Kama unafunga mpaka ule daku au kwasababu ni mwezi wa mfungo au usifike na watu basi unashinda na njaa. Kuna hawa watu wanafunga na wakiona watu wanakula wanakasirika au wanawapiga na kuwauwa basi hao wanahinda na njaa wamebadilisha mda wa kula. Yule anaye funga kwasababu ya kuwaombea...
  4. Pdidy

    Kama mkristo ama muislam uko kwenye mfungo inakuhusu angalia kabla ujawa unapoteza swaumu yako..mbarikiwe mmalize salama

    5 Things You Must Remove From Your Life Before Fasting Fasting is not just about stopping food — it is about preparing your spirit to host God. If these things remain in your life, your fasting may become hunger strike instead of spiritual power. 1. Unforgiveness If you are still holding...
  5. JanguKamaJangu

    RC Mtaka: Watumishi wapewe chai, kuna watu wana mfungo wa lazima

    Mkuu wa Mkoa Njombe, Anthony Mtaka kwa kushirikiana na Katibu Tawala Mkoa (RAS) Njombe ameeleza walivyoanzisha utaratibu wa kuwapa chai Watumishi kupitia fedha ambayo ingetakiwa kutumika na Mkuu wa Mkoa. Ameeleza hayo Februari 20, 2026.
  6. Mohamed Said

    Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Uingereza na Kwengine

    https://youtu.be/O2f1eKISpy8?si=V5wnjV3iy7h25gH3
  7. Mshana Jr

    Mshikamano: Tuwatakie ndugu zetu mfungo mwema

    Mwezi umeandamana! Hapo zamani lilikuwa ni tukio kubwa sana.. Maendeleo ya tech na siasa za dunia yamefubaza vingi Huu ni mwezi wa toba, kujitafakari na kuwa karibu zaidi na Mola Hizi funga za dini mbili huwa kuna wakati zinaenda pamoja. Kwa mfano Leo ni Jumatano ya majivu kwa Wakristo...
  8. Hance Mtanashati

    GE2025 CCM waliopo humu kipindi hiki cha mfungo wanataka nini?

    CCM imefungia huu mtandao kwa muda wa siku 90. Ila wapiga kelele maarufu wa CCM naona nao wamegoma kupumzika bado wapo humu wana randa randa. Hii inaashiria hata na wao hawakubaliani na uongozi wa Serikali iliyopo na inayotaka kuingia ya CCM ndio maana kwenye ule uzi wa michango kwa ajili ya...
  9. Selwa

    GE2025 Tanzania wakristo kwa waislamu wote tuingie Mfungo kuombea nchi

    Mimi sio mtu wa siasa sana, wala sio mtu kanisa sana. Nimeona wachungaji wengi wakinena kuombea nchi hadi kanisa katoliki wamefunga novena kuombea haki na amani na kwa kweli nilikua naona maigizo tu. Naipenda nchi yangu, na hata kama nilikua naitetea mno serikali hii ya huyu mama nikiamini...
  10. Carlos The Jackal

    GE2025 CHADEMA mnatoa Waraka Rasmi kuungana na RC kwenye Mfungo, lakini Hamtoi Waraka Rasimi kupigilia Msumari Hoja ya Polepole kuhusu Mifumo ya uchaguzi

    Ninawaambia, kama mtashindwa kuitumia zawadi hii ambayo mh polepole ameamua kuwapa—zawadi ambayo kwa namna yoyote ile imewapa kibali wahuni kumwua mh Polepole... Zawadi ambayo mh Polepole ameitoa maisha yake yote, akabaki mtupu kama alivyozaliwa; zawadi iliyomfanya abaki na nguo zake tu...
  11. Last_Joker

    “Kuondoka Kwenye Imani ya Dini: Kutoroka Mfungo au Kukosa Uelewa?”

    Kuna kipindi kijana anakua kwenye familia ya dini, amelelewa vizuri, kila Jumapili au Ijumaa yupo kanisani au msikitini, anajua kusali, anajua kusamehe, anajua kujizuia na makatazo ya imani… lakini ikifika miaka ya 20s, game inabadilika. Ghafla unamkuta yuko TikTok akisema “Mimi sio mtu wa dini...
  12. 888I

    Nasubiri Tarehe 8 Kwa Shauku... Je, Gwajima Atasema Nini?

    Napenda kusema kwa sauti ya ndani: Ninasubiri kwa hamu siku baada ya tarehe 8 Juni. Kwa ajili ya kumalizika kwa mfungo wa maombi ya siku 7 yaliyoitishwa na Askofu Josephat Gwajima. Siku ya kwanza ya mfungo huo (tarehe 2 Juni), usiku, ilisikika video yake akisema: Tangu hapo: Hakujulikana tena...
  13. B

    CHADEMA Pwani ya andaa Iftari

    22 MARCH 2025 Dar es Salaam, Tanzania MWENYEKITI WA KANDA YA CHADEMA PWANI AFANYA JAMBO KWA WANANCHI WA DAR ES SALAAM Hotuba nzito za tolewa kuhusu umoja wa waTanzani katika Iftari iliyofanyika leo huku wageni wakitoka Kibaha, Tanga na Kaskazini.. https://m.youtube.com/watch?v=4FXNwtlkcHA
  14. hamis77

    Mfano wa Mfungo wa Siku Kumi wa Danieli na Ushahidi wa Kisayansi

    Mfano wa Mfungo wa Siku Kumi wa Danieli na Ushahidi wa Kisayansi Mfungo wa siku kumi wa Danieli ni moja ya mifano bora ya nidhamu ya kiroho na kiafya inayoonekana katika Biblia. Huu ni mfungo maarufu ambao Danieli na wenzake—Hanania, Mishaeli, na Azaria—walifanya walipokuwa Babeli, wakikataa...
  15. MNEKI

    Tumia vizuri mfungo huu utoke jumla kwenye miasha dhambi

    Huu Mfungo ukiutumia vizuri, Ni muda Muafaka wa kushinda jumla matamaa-tamaa yako ya kifala!! Usione mwanamke mzuri tayari unamtaka , Kama umerogwa.!! Ushokijua ni kadiri unanyoendekeza tamaa ndivyo unadhoofisha hatima yako kubwa ambayo Mungu kakupangia. Dhamilia kuacha ujinga Mfungo huu...
  16. Fbn

    Kwanini Sheikh Kipozeo umaarufu wake huja ikifika siku ya wapendanao na karibia na mfungo ramadhani?

    Sheikh Kipozea utamsikia kwenye media kipindi cha miambatano siku ya wapendanao na kukaribia mfungo. Au ndio taaluma anayoweza kufiti na zile comedy zake.
  17. Chizi Maarifa

    Video: Kipindi cha Mfungo Majini yanafunga, yanaenda kuhiji na kutoa Sadaka. Yanakuwa Msikitini Mecca

    Kuna majini ambayo hufunga nayo kipindi hiki na wataalamu wanasema hata takwimu za Ajali hupungua sana na vifo vya ghafla kipindi hiki. Majini mengi yanakuwa kwenye mfungo na pia yanatubu kwa mola wao allah. Ukienda Mecca kuna msikiti upo ambao yanahudhuria ibada yakiwa huko kuhiji. Na pia huwa...
  18. madolaa

    Sheria ya kutokula wakati wa mfungo wa ramadhani

    Tanzania ni muungano wa nchi mbili Tanganyika na Zanz. Bara mtu ana huru wa kula wakati wowote kipindi cha ramadhani lakini Zanzibar hairuhusiwi na mtu akifanya hivyo kuna sheria ya kubana. Je? Kwann iwe hivi na ni nchi mbili zenye katiba moja? Naomba kueleweshwa
  19. Pdidy

    KITIMOTO KUPANDA BEI WAKATI WA MFUNGO MNATUAMANISHA NN 11000-15000..SERIKALI MTUSAIDIE

    Habari za uzima Nkauliza tu mbona Hawa wah wanaouza kitimoto wakatili hivyo Toka tar 5 kitimoto inepanda JUMLA Toka 8000 mpaka 11000 Kawaida Toka 12000-15000 Hivi hamna dini NYIE wauzaji Mheshimun Mungu huu sio mda WA KUONGEZA bei ya vyakula kabisa
  20. comrade_kipepe

    Watoto wa kike usiku huu wanaenda msikitini kufanyaje kipindi hichi cha mfungo?

    Kila siku mida hii ya usiku ñaona mabinti wanapita wanasema wanaenda msikitini, kipindi hichi cha mfungo wanaenda kufanyaje? Mbona kama NI hatari Sana? Leo nimekuta binti mmoja kavaa ushungi kabananishwa kwenye ukuta kuna kinjia kinatoka msikititi, walikua wanayajenga walivyoniona wakapiga...
Back
Top Bottom