mfumo wa vyama vingi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gwappo Mwakatobe

    Kikwazo cha Katiba Mpya yenye mfumo wa vyama vingi ni CCM

    Katiba iliyopo ni ya mfumo wa chama kimoja ambacho ni CCM na ilitungwa na CCM mwaka 1977. Tanzania hatuna mfumo wa vyama vingi, bali tuna mfumo wa chama kimoja (CCM), ambamo kuna vyama vingi ndani yake. Kwa ufupi tuna vyama vingi ndani ya mfumo wa chama kimoja - CCM. Kamwe CCM hakiwezi kuleta...
  2. L

    Uchaguzi ujao utakuwa mwepesi sana kwa CCM tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe hapa nchini

    Ndugu zangu watanzania, Uchaguzi ujao Ni uchaguzi ambao CCM inakwenda ikiwa na ushindi mkononi, uchaguzi ambao CCM inakwenda ikiwa na Matokeo ya ushindi wa kishindo, Hii Ni kutokana na kazi kubwa Sana iliyofanywa na serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais Samia katika...
  3. Idugunde

    Mwinyijuma Othman, Mwanamageuzi aliyepigania uwepo wa vyama vingi anayeishi kwa kuokota makopo na hataki kuongelea siasa

    Alipambana kwa kila namna ili mfumo wa vyama vingi uwepo nchini 👇 -- Ukikutana naye mitaa ya Mwananyamala wilayani Kinondoni au pembezoni mwa Barabara ya Ali Hassan Mwinyi hutajihangaisha kumfuatilia. Begani hubeba mfuko wa chupa za plastiki au wakati mwingine kuni, sawa na wale watu...
  4. Gwappo Mwakatobe

    Tanzania haina mfumo wa vyama vingi vya siasa!

    Hivi majuzi nilitakiwa nitoe maoni kuhusu miaka 30 ya mfumo wa vyama vingi vya siasa Tanzania tangu 1992. Ni suala ambalo naulizwa mara nyingi ila majibu yangu hayazingatiwi au hupuuzwa, pamoja na ukweli au uhalisia wa hoja zangu. Uhalisia ni kwamba Tanzania haina mfumo wa vyama vingi vya siasa...
  5. R

    Kuna haja ya mabadiliko katika mfumo huu wa vyama vingi

    Kwanza kabisa niweke Wazi mimi sio mfuasi wa mfumo wa vyama vingi sababu 1. Unagawa watu hivyo ni rahisi kuingia katika machafuko 2. Ni rahisi kwa Baadhi ya viongozi wa vyama kuhujumu Nchi kwa kudhaminiwa na Mataifa ya Nje 3. Nchi zetu za Afrika bado changa kuwa mawazo mbadala kutoka vyama...
  6. J

    Huu Mfumo wa Vyama Vingi ulitengenezwa na CCM kukidhi mahitaji ya wale Wananchi 20%. Ni mfumo uliozuia Rais kutoka Upinzani

    Ikumbukwe ni 20% tu ya wananchi ndio waliutaka mfumo wa vyama vingi huku 80% wakitaka CCM iongoze milele. Hakuna utafiti wowote umefanyika kuonyesha mafanikio ya mfumo huu ndio maana 2020 wananchi kwa kauli moja waliamua kuichagua CCM kwa 98% Kimaandishi Tanzania tumo kwenye mfumo wa vyama...
  7. Mr Dudumizi

    Tatu bora ya wenyeviti wa vyama "wabovu" toka mfumo wa vyama vingi uanzishwe nchini.

    Habari zenu ndugu zangu, Ama baada ya salam, leo ningependa kuwaletea list ya wenyeviti wa vyama wabovu toka mfumo wa vyama vingi uanzishwe, huku nikiambatanisha na makosa yao waliofanya kupitia vyama vyao. 4) Mbatia - Huyu jamaa huwa anajifanya ni mpinzani, ila kiuhalisia sio mpinzani na...
  8. mshale21

    Mfumo wa vyama vingi Tanzania umefeli; ufutwe CCM watawale milele

    Habarini Wanabodi! Kulingana na hali halisi inayoendelea nchini; 1) CCM hawako tayari katika suala la Katiba mpya, badala yake wako tayarI kufunga, kubambikia kesi na kunyanyasa Vyama vingine kupitia polisi 2) CCM hawataki tume huru ya uchaguzi, na badala yake kuitumia Tume Kama fimbo ya...
Back
Top Bottom