mfanyabiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mfanyabiashara Andrew Mollel afariki dunia (mmiliki wa Happy Sausages)

    Mfanyabiashara maarufu mkoani Arusha, Andrew Mollel ambaye alikuwa mwanzilishi na Mkurugenzi wa kampuni mbalimbali mkoani Arusha amefariki dunia na kuibua simanzi kwa wakazi wengi wa jiji hilo. Akizungumza na Mwananchi leo, Februari 28, Mbunge wa jimbo la Monduli , Fredrick Lowassa amesema...
  2. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Waliomteka mfanyabiashara, kuomba rushwa wakiri mashtaka

    Askari polisi watatu pamoja na raia sita akiwemo mfanyabiashara maarufu wa Madini a Tanzanite, Lucas Mdeme wanaotuhumiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi wamekiri makosa kwa kuandika barua kwa DPP. Wameandika barua ya kukiri mashataka sita wanaokabiliwa nayo ikiwemo uhujumu uchumi, utakatishaji...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya kielimu yamekuwa kikwazo watoto kupenda kuajiriwa na kukacha biashara za wazazi, wewe mfanyabiashara umejipangaje??

    Kuna jirani hapa nilishangaa sana alipomuachisha chuo kijana wake akiwa mwaka wa pili, Huyu kijana alikuwa anasomea degree ya procurement, mzee wake akamwachisha kinguvu. Nikaja kujua kwamba mzee alikuwa anahofia sana mtoto wake anaweza kutekwa na maisha ya kuajiriwa na kuacha kabisa biashara...
  4. J

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mfanyabiashara maarufu Velani Mkomba ajulikanae kama Vigu Co aka Kilimanjaro Lembeni Kwetu afariki dunia

    Mfanyabiashara Velani Mkomba aka Kilimanjaro Mwanga Lembeni Kwetu mwenye makazi yake huko Salasala amefariki kwa matatizo ya kubanwa pumzi. Rip Velani
  5. kokudo

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara kama huna assets taasisi za fedha hazikuthamini

    Leo nimekwenda bank moja kuulizia namna ya kupata mkopo wa biashara. Vijana tujitahidi tujenge hizi taasisi za fedha hazina mpango wa wewe kama huna assets. Yaani kumbe hata ukiwa una kiwanja tena kina hati miliki bado ni kazi bureeeee... Tujitahidi tujenge maana hicho kiwanja kama hakina...
  6. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kuwa kiongozi wa kisiasa kama Waziri au Rais au kuwa mfanyabiashara mkubwa kama Mengi au Mo?

    Hivi hapa duniani kipi ni kitu cha fahari zaidi kati ya kuwa mwanasiasa na kufikia mafanikio ya kuwa waziri au rais kabisa, na kuwa mfanyabiashara bilionea kama alivyokuwa Mengi au Mohamed Dewji (Mo)? Kuwa kiongozi wa kiasa kuna raha yake, kusafishiwa njia na ving'ora kwa pembeni ukiwa...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania China: Bilionea ahukumiwa kunyongwa kwa rushwa

    Lai Xiaomin, mfanyabiashara mkubwa wa #China ambaye pia ni kiongozi wa Chama amehukumiwa kunyongwa baada ya kukutwa na hatia ya rushwa ya takriban Tsh Bilioni 643. Mahakama imesema alijihusisha na vitendo vya rushwa kwa miaka 10, tangu 2008 ambapo alikuwa anapokea ili kuwapa watu kazi...
  8. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Wasomi jifunzeni kwa dada Mwasu, dereva wa bajaji msomi mwenye shahada mbili

    Tofauti na mawazo ya wengi kuwa ukisoma hadi chuo kikuu lazima uajiriwe, Mwasu Mavere ameonyesha upande mwingine wa shilingi, kwamba unaweza kujiajiri na kufanikiwa zaidi. Licha ya kuwa na shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), yeye ameamua kuwa dereva wa pikipiki ya miguu...
Back
Top Bottom