mfanyabiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia kusafiri kwenda Zimbabwe kinyemela kumzika mfanyabiashara mwenye utata wa kimaadili inatoa ujumbe gani kwa Watanganyika?

    https://youtu.be/Zw1pnTKVPKo?si=Q8pUyv0DyV4tfbPh Tuanzie kwa kujiuliza maswali haya: 1. Kuna nini kati ya familia ya Samia na mfanyabiashara huyu Mzimbambwe mtata na mtovu wa maadili ya kibiashara? 2. Kwanini Rais wetu huyu (hata kama yupo hapo kiharamia) ajihusishe na mtu huyu na kumpa...
  2. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Mtu, Mfanyabiashara Na Siasa Zisizomuelewa Tena

    Mwandishi wa habari mkongwe, Ansbert Ngurumo ameandika makala hii kupitia tovuti yake ya Sauti Kubwa. Endelea... Freeman Mbowe. Kwa takribani miaka miwili sasa, Freeman Aikaeli Mbowe amekuwa akikabiliwa na kampeni isiyo ya kawaida ya kumchafua kutoka kwa baadhi ya wanachama, viongozi...
  3. JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi halina taarifa ya kifo cha Mfanyabiashara Wicknell Chivayo na mke wake waliofariki kwenye ajali ya Helikopta Jana!

    Habari picha hizi hapa! Gazette la Mwananchi wao hawana habari hizi!
  4. JamiiForums Tanzania Hivi kati ya mfanyabiashara na afisa biashara nani ni boss

    Nauliza ili nitoe ujinga, kati ya mfanyabiashara na afisa biashara nani ni boss kwa mwingine?
  5. JamiiForums Tanzania HOTELI YA BILIONI 132, YAFUNGULIWA ZANZIBAR ALAFU WEWE KUWEKEZA 5M UNAJIITA MFANYABIASHARA NA UNACHOMEKEA KABISA

    Siwatishi ndugu zangu ndio hali halisi ilivyo, Leo majira ya saa tisa nimekutana na msafara wa dkt mwinyi mtoni mess sikujua anaenda wapi kumbe alikua ana pelekea pwani mchangani kufungua hiyo hotel, bilioni 132 imetupwa hapo, alafu mtu UNAJIITA una hela umewekeza 10m una hela una heleni ?
  6. JamiiForums Tanzania Hivi kati ya kuwa msomi na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??!

    Hivi kati ya kuwa msomi(muajiriwa )na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??
  7. JamiiForums Tanzania Inasemekana mfanyabiashara 'Mariam Uswazi' anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kati

    Habari zilizonifikia , zinasema mwana mitandao na mfanyabiashara Mariam Uswazi anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kati (Central), huku wadeni wake wakifika kituoni hapo kufuatilia hatma ya pesa zao. Pia soma: ~ Wanawake wa Tanzania msipoachana na upatu mtaendelea kumlaumu Mariam Uswazi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na Mfanyabiashara anaehitaji pesa kuokoa biashara inayoanguka, ni mtu hatari alie tayari kufanya ujambazi, kutapeli

    Hilo ni jambo la kuchukulia kwa uzito. Mtu ambaye biashara yake inaanguka na anaona pesa ndiyo njia pekee ya kuiokoa anaweza kuwa chini ya msongo mkubwa wa kifedha na kihisia, na katika baadhi ya mazingira akafanya maamuzi hatari kama utapeli, wizi au vurugu. Presha ya kifedha inaweza kumsukuma...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tujiulize: Je, Samia ni mzalendo kweli au mfanyabiashara?

    Utakuwa mzalendo kama 1. Hupendi watu wanaotaka katiba mpya 2. rushwa imejaa serikalini 3. Utekaji unajulikana waziwazi 4. Unateka watu wanaopiga uvunjaji wa sheria 5. Unaiba kura Sasa huyu ni mzalendo na mpiga deal?
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miaka Mitatu Bila Malipo: Mfanyabiashara wa Uganda Adai Alitapeliwa Mahindi Aliyouza Kenya

    Mfanyabiashara mmoja kutoka Uganda ameomba msaada wa mamlaka za Kenya kufuatia madai kwamba hajalipwa fedha za mahindi aliyosambaza nchini karibu miaka mitatu iliyopita, licha ya bidhaa hizo kudaiwa kupokelewa na mnunuzi na malipo kufanyika. Mkurugenzi Mtendaji wa Kamaala Enterprises Limited...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara, ukibweteka leo utastaafu kwa aibu. Waajiriwa wana mafao na pensheni kila mwezi, wewe una biashara pekee, pambana sana usije kuaibika

    N.B: Ninachozungumzia hapa ni biashara zetu wabongo. biashara zetu humtegemea sana mmiliki wake kiasi kwamba asipokuwepo hata mwezi 1 tu nazo huanza kudorora. ni tofauti na Wahindi au Waarabu, ambapo wanafamilia wote hushiriki, hivyo hata wanapostaafu biashara zinaendelea kuwatunza. kwetu tuna...
  12. JamiiForums Tanzania Wakati mwalimu Nyerere anadai uhuru hakuwa mfanyabiashara wa mafuta

    Hii inatufunza kuwa siasa yetu sasa imeingiliwa sana na wafanyabiashara na wanaohamasisha maandamano wanafanya hivyo ili kupoka madaraka kutoka kwa wazalendo wanaojali wananchi wa hali ya chini. Nyerere-Hakua mfanyabiashara Mwinyi-hakuwa mfanyabiashara Mkapa-Hakuwa mfanyabiashara Kikwete-Hakuwa...
  13. JamiiForums Tanzania RC Mtaka: Njombe mfanyabiashara ana mauzo ya 500ml kwa mwezi lakini anapanda daladala

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amesema ni muhimu Wafanyabiashara kuwa na maisha yanayoendana na kipatao chao . Mtaka amesema hayo leo Julai 13, 2026 wakati akizungumza na Wakulima wa Parachichi watakaoenda nchini India kujifunza Soko la Parachichi India ambapo amesema wapo Wafanyabiashara...
  14. JamiiForums Tanzania Sheikh Alhad Musa: Msimchafue Mfanyabiashara Nilesh Suchack Hawezi changia vyma vya vurugu

    https://www.instagram.com/reel/DarhTH8s5Fj/?igsh=eWI5dmwzOGVnenRs
  15. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara unapokea malipo kupitia lipa namba ya VODACOM haupo sehem salama

    Nimeona hii niilete kwenu Kama unajijua wew ni mfanyabiashara unapokea malipo kupitia lipa namba ya VODACOM haupo sehem salama Mm Leo nimepata mteja kutoka Moshi kanipa oda kalipia 60000 nikamfungia mzigo kamtuma mtu kuja kuuchukua baada ya kuuchukua karidisha muamala Voda hawajanipa taarifa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Bado siamini CCM imetoa eneo la Biafra kwa mfanyabiashara wa showroom wakati lilikuwa tija zaidi kijamii

    Eneo la wazi la Biafra Kinondoni limebeba kumbukumbu na historia ya makuzi ya watu wengi kwa miongo kadhaa. Wengi wetu tumelikuta kama sehemu ya michezo, mikutano ya kijamii na hata sehemu iliyounganisha jamii ya Kinondoni kwa namna tofauti tofauti. Ndiyo maana eneo hilo halikuwa tu ardhi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mpumbavu hawez kua na Akili, Temba kauwawa wanasingizia 'Mganga', Mfanyabiashara Kauwawa 'Mwili umekutwa kwa ' Mganga'. Fumbueni Macho!

    Hawa Jamaa ni wapumbavu sana!! Kwao Kuua si kitu chochote Tena. Kuweni Makini , Kwasasa Kuna Mauaji yanafanyika na yataendelea kufanyika ni MIILI AU MAUAJI HAYO YATATENGENEZEWA MAZINGIRA YA KUHUSISHA NA 'USHIRIKINA" !!. Baada ya Kutafakari kwa kina, na kupitia rejea kadhaa kadhaa za Wauaji...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Fred Vunja Bei aongoza kura za maoni matokeo ya awali kumrithi Lukuvi. Awatupa wenzake mbali kama mshale

    Ndugu zangu Watanzania , Habari ndio hiyo ya kuwa Mfanyabiashara Fred Ngajiro (Vunjabei) ameibuka kinara katika kura za maoni za kumtafuta mrithi wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Isimani, Lukuvi, huku akiongoza katika kata nyingi zilizopigwa kura. Kwa mujibu wa matokeo ya awali, Vunjabei...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Chato: Mfanyabiashara maarufu Suleiman Rwaikondo amenusurika kifo baada ya kushushiwa kipigo na wananchi huko Muleba

    Inasadikiwa aliibiwa ng'ombe zake huko Muleba. Akaenda kwenye mmoja ya minada ya kuuza ng'ombe na akaziona baadhi ya ng'ombe zake. Ilikuwa siku kama chache kipindi cha sikukuu ya Iddi. Alipoziona ng'ombe zake pale mnadani akaanza kufyatua risasi juu ili kuwatawanya wananchi. Risasi...
  20. JamiiForums Tanzania LHRC yalaani tukio la Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha kutekwa na kuuawa

    Pia soma ~ Jeshi la Polisi lasema linafanya uchunguzi kifo cha Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…