mfano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania ACT mkikomaa hivi, mtatoa mfano wa namna mtu kujipatia anachoamini ni chake. Chake mtu, haombi!

    Kunaanza kuchangamka. Kwamba? Mkikaza hii mbona leo tu mtapigiwa simu? Tena na chigogo yule mwenyewe kabisa, ili kama vipi kuwasilisha forms zenu mapema kesho asubuhi na kulikwaa ndinga pendwa la kampeni, kwa raha zenu? Huu unaweza kuwa wakati mzuri zaidi kwenu kutoa somo kwa vitendo na hasa...
  2. JamiiForums Tanzania Kitabu cha The Animals Are Innocent: "The Search for Julie's Killers" kinaonyesha majibu rahisi ya viongozi afrika mfano tukio la Julie's kule kenya.

    Kitabu hiki ni hadithi ya kweli kuhusu Julie Ward, msichana wa Kiingereza aliyeuawa nchini Kenya mwaka 1988. Julie alikuwa mpenzi wa wanyama na alifanya kazi ya kupiga picha za wanyama katika Hifadhi ya Masai Mara. Siku moja, aliondoka Nairobi kwenda kufanya kazi yake, lakini hakurudi tena...
  3. JamiiForums Tanzania Tuige mfano wa Ethiopia kuhusu matumizi ya cheo cha Daktari

    Ethiopia imepiga marufuku watu wasiosomea udaktari kuitwa au kujiita madaktari ima kwa sababu ya udaktari wa. heshima kama ule wa Jakaya Kikwete na Samia au wa kununa kama ule wa Gwajima na Msukuma. Nasi, kama taifa lenye watu wanaoona mbele hata kama tupo wachache, tupige marufuku ukilaza huu...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi kwa mfano tukiwekewa vikwazo vya kimataifa na Zanzibar itahusika?

    Nauliza tu ili baadae tusije kusema Raia wa nchi nyingine wametuharibia nchi yetu.
  5. JamiiForums Tanzania DAWASA yawa mfano kwa Taasisi za Umma kuhusu Mawasiliano

    Leo nilitembekea Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) Kinondoni, nikakuta wameweka Bango kubwa lenye majina na namba za Viongozi. Hii si kawaida, kukuta majina ya Viongizi yamewekwa wazi na namba zao za simu. Nashauri hata taasisi nyingine zifanye hivi ili kiondoa...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa hili la Yanga CCM wajitafajari upya hakika wanachukiwa hakuna mfano

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Sijawahi kuwaona mashabiki wa yanga wakimtukana matusi ya nguoni Rais wao heris said ila jana alioga matusi si mchezo Walidiriki kwenda mbali wakimtaka aachie kabisa nafasi ya urais pale yanga Na wao kama mashabiki wako tiari kukaa hata...
  7. JamiiForums Tanzania Hii video ni mfano halisi wa kinachoenda kutokea Oktoba 29 2025

    Kwa atakayenielewa aelewe… https://www.instagram.com/reel/DLcLBEptO4A/?igsh=MXQwamxoNmVsOWt3eg==
  8. JamiiForums Tanzania Ulimtia Mimba Mwanafunzi, Ukafungwa Miaka 30 umetoka jera, Unaambiwa mimba iliharibika! Ungefanyeje?

    Kwa mfano imetokea wewe kijana umefungwa kwa kumtia mimba mwanafunzi. Miaka 30 baadaye, ukarejea na kukutana na ukweli mchungu ambao hukutarajia. 📜 Kwa mfano, wewe ni kijana wa kiume na katika harakati za hapa na pale katika ujana wako, ukajikuta unamtia mimba mwanafunzi wa shule. Kwa kosa...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Mbowe na Mpina: Mfano wa Wanasiasa wasio na Mioyo ya Shukrani

    Habari za leo Watanzania Tukiwa tunaelekea ktk Uchaguzi mkuu, zimefika zile nyakati za Wanasiasa kuhama Chama hiki kwenda kile kwa Maslahi ya Kisiasa. Naomba kuwagusia hawa Wanasiasa wawili kama mfano wa namna Wanasiasa wasivyo na Mioyo yenye Shukrani. 1.Freeman Aikael mbowe ameingia ndani ya...
  10. JamiiForums Tanzania Peter Tabichi ni mfano wa kuigwa

    Peter Tabichi ni mwalimu wa sayansi kutoka kijiji masikini sana nchini Kenya. Anapata mshahara mdogo sana kutokana na kazi yake, lakini anatoa asilimia 80 ya mshahara wake kuwasaidia wanafunzi wake. Wengi wao ni mayatima au wanatoka katika familia masikini kiasi kwamba hawana chakula wala...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Salim Ahmad Salim ni mstaafu wa kupigiwa mfano, aliteuliwa kuwa balozi Misri akiwa na 22 yrs pekee

    Salaam! Kuna mtu mahiri sana Katika historia ya nchi yetu ambaye isingekuwa hila za familia moja yenye uchu wa madaraka kule Zanzibar, angekuwa Rais wa nchi Bora sana baada ya Mwl Nyerere. Imagine mwaka 1964 akiwa na miaka 22 pekee aliteuliwa kuwa balozi kuiwakilisha nchi kule Misri, Akapata...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi kuna wengine humu ambao hamna hela au ni mimi tu nimechaguliwa kuwa kama mfano?

    Ila cha kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa kunitwisha utu uzima. Mimi wa zamani humu ndani nilikuwa namiliki ma-Range, nyumba kali Sinza, Car Wash moja matata pale Madale bila kusahau mke mzuri tu, housegirl na mtoto mmoja wa kiume aitwaye RomyJohnson. Nilikuwa na nafasi kubwa sana pale...
  13. JamiiForums Tanzania Lucas Mwashambwa ni mfano bora wa kuigwa!

    Hapa JF kuna watu wana maneno yanayochoma kama mkuki, hata hivyo bado kuna watu wanaobaki kuwa na mioyo ya upendo, subira na busara hata wakirushiwa mikuki ya dhihaka na kejeli. Mmoja wa watu hao ni Lucas Mwashambwa — mtu ambaye licha ya kupingwa vikali, kushambuliwa hoja zake, na kukosolewa...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kwa wale ambao mmezaliwa na kukulia kijijini je ukiwa unafikiria jambo huwa unafikiria kwa lugha yako ya Asili mfano kisukuma n.k

    Naomba kuuliza kwa wale ambao mmezaliwa kijijini je mkiwa mnafikiria jambo lolote huwa mnatumia lugha zenu za Asili.? Maana Mimi binafsi huwa natumia kiswahili., kwakuwa sijakulia kijijini , .
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa mfano nchi za Ulaya wakilupuana na manyuklia wazungu watakao baki hai unahisi wakimbilia bara gani kati ya Afrika na Amerika kusini?

    Kichwa cha habari cha husika ..maana kwa hesabu za haraka haitapita miaka 50 bila hili kutokea
  16. JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa Ajira unawakataa waliosoma kozi ya Development Finance & Investment Planning

    Mimi ni mhitimu wa Bachelor Degree in Development Finance and Investment Planning, ambayo imekuwa ikitajwa mara kadhaa kama miongoni mwa sifa zinazohitajika kwenye matangazo mbalimbali ya kazi serikalini kupitia portal ya ajira. Hata hivyo, kila ninapojaribu kutuma maombi ya kazi ambazo...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Zungu: Shule ya Mfano ya Benki ya CRDB itazalisha wahitimu wenye ujuzi

    Dar es Salaam. Tarehe 23 Juni 2025: Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ambaye pia ni Mbunge wa Ilala, Mheshimiwa Mussa Zungu amesema kutokana na vifaa vya kisasa vitakavyofungwa katika Shule ya Mfano ya Benki ya CRDB basi itakapokamilika na kuanza kupokea wanafunzi itazalisha wahitimu...
  18. JamiiForums Tanzania Leo hadi mchungaji amenitolea mfano kama kijana mtanashati and handsome.

    Katika kufundisha umuhimu wakua na busara na hekima kama kijana, akasema “ hata uwe mtanashati au handsome kama kaka yangu pale, kama huna hekima na busara, bas ni kazi bure” Basi kabisa zima wakawa wananiangalia. Kisha mo nikajifanya kama sijui kinachoendelea vile. Yani hadi baba mchungaji...
  19. JamiiForums Tanzania Familia imempotea ndugu yao ila Polisi wanasema kutambua mtu kuwa amepotea ni mpaka pale masaa 24 ndipo watatoa kibali kutafutwa

    Baba mmoja mtaa wa pili , au jirani yetu kwenye huu mji mchanga leo alfajiri aliaga kwa mke wake kuwa anakwenda kazini kwake Kariakoo kama kawaida. Mke alipopiga simu ya kujua amefika wapi iliita muda mwingi bila kupokelewa. Mke wake pia nasikia alipiga simu kazini kwake wakasema leo hakwenda...
  20. JamiiForums Tanzania Tumeumbwa kwa mfano wa Mungu - hakuna mtu asiyependa kusifiwa

    Msifie mwanafunzi shuleni uone atakavyofanya vizuri zaidi. Msifie mke wako au mme wako uone jinsi upendo wake utakavyoongezeka kwako. Isifie timu yako ya mpira, uone kama haitacheza vizuri zaidi... Kitabu cha Mwanzo 1:27 kinatufundisha kuwa "Mungu alimuumba mwanadamu kwa mfano wake." Ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…