Habari wanajamvi. Jana ilikuwa ni siku ya furaha kwangu ingawa ilikuwa siku ya huzuni kwa Pr. Muhongo.
Mimi ni mfuatiliaji nzuri sana wa JF kwa muda mrefu ingawa sikuwa member, nilifuatilia mijadala mbali mbali na hsa ya kisiasa. Miongoni mwa watu waliokuwa wakinivutia ni Tpaul, nilikuwa...