Uta Uta
JF-Expert Member
- Feb 2, 2016
- 3,739
- 8,736
Habari wanajamvi. Jana ilikuwa ni siku ya furaha kwangu ingawa ilikuwa siku ya huzuni kwa Pr. Muhongo.
Mimi ni mfuatiliaji nzuri sana wa JF kwa muda mrefu ingawa sikuwa member, nilifuatilia mijadala mbali mbali na hsa ya kisiasa. Miongoni mwa watu waliokuwa wakinivutia ni Tpaul, nilikuwa nafuatilia sana mada zake. Baadae nikaamua kuwa memba ila mara nyingi sana nilikuwa nasahau password na akaunt inakuwa haitumiki.
Mwaka jana nikajikita rasmini kuwa memba mfuatiliaji na kuhakikisha nywila yangu haisahauliki tena. Na jana nashukuru nimefika kiwango cha juu kabisa cha trophy points ni mafiniko makubwa kwa upande wangu mimi, ingawa inaweza isiwe muhimu kwa mtu mwingine.
Nawashukuru member wenzangu kwa michango na sapoti yenu, si vema kumtaja mmoja mmoja.
Ila nashauri mods hii trophy points utoaji wake ufanyiwe marekesho, ili mtu akipata likes elfu 10 apande ngazi, na akifika elf 50 apande ngazi nyingine nk, kwa utaratibu huu wa sasa mi nauona si nzuri sana kwamba member mwenye likes 800 na mwenye likes elfu 90 kuwa kundi moja hainipendezi. Nawashukuru sana