Assalamualaikum.
Katika maisha kuwa katika mahusiano ya kimapenzi, ni Jambo la kawaida kwa kila kijana, ni muda wa kumtafuta yule wa ndoto yako wa kujenga nae maisha ikiwezekana mfunge ndoa.
Katika harakati za kimahusiano vijana wengi ujikuta wakianguka katika seheme siziso sahihi na kujikuta...