mema

Méma is a region in Mali, Africa. A plain of alluvial deposits, it is situated north of Massina; west of Lake Debo and the Inner Niger Delta; and southwest of the Lakes Region. The now-senescent basin may have been the first settlement area for communities who migrated from distressed homelands of the Sahara during the last two millennia BC. Historically, Mema was one of the smaller Soninke states; it was also at one time a province of Ghana Empire.Toladié, which dates between at least 430 CE and 670 CE, is the largest occupation site (76 hectares) in Mema. As a primary center in the region, Toladié utilized smelted iron tools produced by the communities of Akumbu, Boubou, Boundou, Boulel, Kobadie, Kolima, and Nampala for purposes of tribute and trade with the Ghana Empire.At the Akumbu mound complex, in Mema, its findings date between 400 CE and 1400 CE; at the cultural deposit of AK3, which contained three human remains, the dates range between 400 CE and 600 CE. While two out of three human remains were in a fully decomposed state, one of the human remains were able to be determined to be a young adult (17-25 years old) female, who was buried with two copper bracelets - one on each wrist, 13 cowrie shells, 11 stone beads, and a fully intact pot.

View More On Wikipedia.org
  1. Mstaafu anayelalamikiwa na wanaCCM kuiharibu nchi hakemiwi. Mzee Warioba anayelitakia mema taifa anaonekana mbaya

    Eti kama anataka kutoa ushauri awe anaenda Ikulu. Je kama ushauri anaoutoa fargha unapuuzwa? Kwa nini asiyatoe yake ya moyoni Mzee Warioba. Vipi kuhusu mstaafu aliyepitisha mgombea kibabe mwezi Januari 2025 kiasi cha kuleta mpasuko ndani ya CCM? Kosa lake nini kuongea na Watanzania wenzake...
  2. Ndugu zangu katika Imani. Tukumbuke kuwa Allah ametuahidi.

    Mwaka unaishia na mwingine unaanza. Nawakumbusha tu kuwa tuna ahadi ya milele Allah ametuahidi. Kwahiyo Tujitahidi kufanya mema twende Peponi. Quran 45 : 51 -55 "Hakika wachamngu watakuwa katika mahali pa amani. Katika Bustani (Peponi) na chemchem. Watavaa nguo za hariri nyembamba na nzito...
  3. PostGE2025 RC Makalla: Wasiotutakia mema jana wameaibika

    Ila huyu baba! =========== "Dunia imeona naWwatanzania wameithibitishia dunia ya kwamba wakiamua kulinda amani wanailinda, wasiotutakia mema jana wameaibika. Watanzania wanapenda amani na hawajazoea mambo ya maandamano na uvunjifu wa amani na wale wote waliokuwa wanataka vurugu leo wamejifungua-...
  4. R

    PostGE2025 Wasira, Nchimbi and Rose Migiro. CCM inakufa, huyu atarudi kwao na kuwaachia mfu. Mshaurini mema na si kujikomba

    Hili li muungano linaweza kufa wakati wowote na yeye atarudi kwao. Mtabaki na mfu CCM wenu peke yenu. Mshaurini ukweli na utawaweka huru! Nyote watatu semeni Amen.
  5. U

    Mashahidi wa udhalimu wanasimama, Wananiuliza mambo nisiyoyajua. Wananilipa mabaya badala ya mema, Hata nafsi yangu ikaingia ukiwa

    Sote tuseme Amen Mashahidi wa udhalimu wanasimama, Wananiuliza mambo nisiyoyajua. Zaburi 35:11 12 Wananilipa mabaya badala ya mema, Hata nafsi yangu ikaingia ukiwa. Zaburi 35:12 13 Bali mimi, walipougua wao, Nguo yangu ilikuwa gunia. Nalijitesa nafsi yangu kwa kufunga; Maombi yangu yakarejea...
  6. B

    Humphrey Polepole ni Nyerere na Mandela wa zama zetu aliyetwaliwa kutoka kwetu na wasiolitakia mema Taifa hili!

    Inasikitikisha kuona Humphrey Polepole katwaliwa kikatili vile kutoka kwetu. Kwani watesi wake hata kama wangemwomba tu atoke mwenyewe kwenye nyumba ile na kuongozana nao kokote walikotaka asinge toka? Polepole kama Lissu, Nyerere au Mandela hawakuchagua kuzikimbia nchi zao na eti kwenda...
  7. GE2025 Wakati unafikiria kupigania haki yako kwa wanasiasa wasiotutakia mema usiseme naogopa polisi kwanini polisi wasikuogope wewe

    Wakati unafikiria kupigania haki yako kwa wanasaiasa wasio tutakia mema usiseme naogopa polisi kwanini polisi wasikuogope wewe. Au polisi sio watu kama wewe, kama ni kupagania haki yako dhidi ya utawala mbovu haina majadala na haiwezi kuwa kosa la jinai. Watu mtakao andamana msifanye vurugu...
  8. R

    Polepole ukimaliza kuanika Uozo agenda ijayo iwe tunatokaje kwenye Mkwamo huu tukiwa salama

    Mimi binafsi ulichokifanya kina matashi mema! Kina baraka za Mungu na wote wanaoipenda nchi yetu Tanganyika/Tanzania. Ukiacha vumbi lenu ndani ya CCM, ingawa linatugusa wote kwa sababu mnamiliki serikali na rasilimali zetu, mengine uyasemayo wengi wanakuunga mkono! Thanks ulisema uko hata hapa...
  9. Kwanini watu wanapenda kuzitabiria nchi zao mambo mabaya badala ya mema?

    Je, na wewe ni miongoni mwa watu wanaoitabiria nchi yako au viongozi wako mambo mabaya badala ya mema? Leo nakushauri ufute kauli zote za mabaya uliyoyatabiri. Badala yake, anza leo kuitabiria nchi yako amani, furaha, maendeleo na uzima. Tafadhali ungana nami kwa dakika chache tutafakari...
  10. Karma : Jinsi matendo maovu na mema yanavyolipwa

    Mtu akifanya makosa anapelekwa motoni Jehanam zipo nane; Reviving,Black Line, Crushing, Howling, Great Howling,Heat, Intense Heat,na Ultimate Torment Wauawaji wanapelekwa Reviving Hell. Hawa ndio wauaji waliomuua mtu mstaarabu. Kuzunguka hii Reving Heli zipo hell nyingine. Kwamba Ile...
  11. Ifunze familia yako maadili mema utainusuru jamii inayokuzunguuka na Taifa kwa ujumla

    Ni muhimu kuwafunza waliokatika miliki yako maadili mema kuanzia watoto wako, wadogo zako, ndugu wa karibu pamoja na majirani mnaoishi kwa kushirikiana shughuli za kila siku, kila mtu akifanya hivyo katika eneo analoishi jamii nzima itakuwa na maadili mema na yanayofaa katika jamii na taifa kwa...
  12. Gwaji boy: Jasusi la mbinguni ni mtu mwenye Kujiamini sana

    Gwaji boy jasusi la mbinguni a.k.a mkono wa baunsa, ni mtu mwenye Kujiamini sana, ni mtu aliyepambana na makonda single handedly at the prime of his terror na akamkalisha. Ni chuma kilichomdhibiti Dr. Slaa na mkewe Mshumbusi kwa tamaa zao za uraisi mpaka wakaishia kuwa machawa huko Canada na...
  13. K

    Tukiwa Hai,tutende mema na kwa Haki ili Tuache Alama NJEMA!

    Habari Wana JF,Nimekaa na kutafakari sana juu ya uhai na hatima yetu kama Binadamu,uwe muumini wa Dini au huna Imani! Mimi ni muumini wa uwepo wa Mungu na nitanukuu maandiko kama ninavyoamini. Nimevipiga vita vilivyo vizuri,mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda,8baada ya Hayonimwekewa taji ya...
  14. X

    Mtu pekee anayekutakia mema na uumzidi mafanikio ni baba na mama yako mzazi tu

    Ndugu na marafiki ni wanafiki tu siku ukifanikiwa ndio utaelewa au ukiwa umewazidi kimafanikio utaona jinsi walivyo kihalisi. Watajifanya kukupongeza kinafiki tu ila pembeni wanaumia sana. Baba ni mpambanaji mwenzetu kila siku atakupa mawazo ya kukujenga. Na huwa anafurahi sana kuona watoto...
  15. Stephen Wasira: Watanzania kataeni kuyumbishwa na wasiotakia mema nchi

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka Watanzania wasikubali kuyumbishwa na vyama vya siasa vyenye kuhatarisha amqni na usalama wa nchi. Ameisitiza kuwa amani iliyopo si mali ya chama cha siasa bali ni tunu ya Watanzia na lazima ilindwe. Mqkqmu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira...
  16. Yeyote mwenye mapenzi mema na Tanzania just Pray

    Nchi hii kwa Sasa inaongozwa na genge la mafisadi Hawaoni hatari kufanya chochote kwa mtu yeyote ili kulinda wizi na ufisadi wao!! Wanachi tuamke Tuseme enough is enough bring our country back!! Haiwezekani watu 3 wamekaa wanaendesha nchi watakavyo Nchi inatakiwa kurudi kwenye mikono ya umma...
  17. Morning pals! Muwe na mapambano mema katika siku ya leo. UJUMBE: Jikubali hali yako na uwezo wako, anzia hapo, na utafurahia kile unachokifanya.

    Muwe na siku njema!
  18. Kuishi na kutenda yaliyo mema ni utaratibu wa kuishi kila siku na sio kipindi fulani

    Tukiwa tunahitimisha kipindi cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan ningependa tukumbushane kuwa kuishi kwa kutenda mema na kumuomba Mungu yapaswa kuwa utaratibu wa kila siku na sio utaratibu wa mwezi fulani tu na ukipita basi watu tunarudia maovu yetu. Hii ni fursa ya mabadiliko ndani ya...
  19. Napendekeza njia hii itumike ili kuimarisha maadili mema nchini

    Badala ya kuotesha majani halafu tuzuie mbuzi wasile ni bora tusioteshe majani ili hao mbuzi wasipate pakula Badala ya kuweka mianya ya rushwa kupitia katiba halafu tuzuie viongozi wasile rushwa ni bora tukaziba mianya ili hao viongozi wasipate pakulia hiyo rushwa Badala ya kuingiza mitumba...
  20. Wakati mwingine, wengine huchukulia wema na matendo mema kuwa ni haki yao na sio ukarimu kutoka kwako

    Mwanaume alikuwa na kawaida ya kumpa ombaomba mmoja Shilingi milion moja kila mwezi. Mtu huyo aliendelea kufanya hivyo kwa muda Sana.. Sasa Siku moja, akampa ombaomba shilingi laki saba na nusu pekee. Ombaomba yule alishangazwa na hilo, lakini akajisemea, 750,000 ni bora kuliko kukosa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…