meli

Meli is an Italian surname and a given name. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PSU kuna manahodha wa meli/boti?

    Rais Samia Suluhi Hassan leo alitumia usafiri wa boti kutoka Zanzibar kuja Dar Es Salaam. Je, huko kwenye Idara ya Ulinzi wa Rais kuna ambao ni manahodha wa boti au meli? Ambapo ikitokea Rais anatumia usafiri wa maji basi waweze kumuendesha? Maana safari za namna hizi za Rais kutumia usafiri...
  2. JamiiForums Tanzania Mbabe wa dunia yote US atuma meli za kivita 2 huko Taiwan. Ole wake mtu akohoe cha moto atakiona

    Mbabe wa dunia yote nchi kubwa inayoogopeka na kila nchi duniani imetu.a meli 2 za kivita huko Taiwan. Na katika ujumbe wao wameonya ole wao China ijaribu kurusha kombora wataita maji mma! Na wamesema watazidi kuleta vifaa zaidi ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuipoteza china kwenye uso wa...
  3. JamiiForums Tanzania Meli ya Kijeshi USS HERSHEL - Woody Williums kutoka Marekani kufanya ziara ya siku tatu Tanzania

    Ni katika harakati za kuimarisha uhusiano wa kiulinzi meli hii kubwa ya kijeshi kutoka USA inafika bandari Salama ikiwa ni zaidi ya muongo mmoja kutokea kwa tukio hili.
  4. JamiiForums Tanzania Kunani Bandari ya Dar es Salaam? Hakuna Meli hata moja

    Wakuu, nini kinaendelea Bandarini hapa Dar hakuna Meli, inayopakia wala kupakua. Gati zote ziko wazi!! Nini kinaendelea?
  5. JamiiForums Tanzania Taiwan watunishia China misuli, meli zao za kivita zatazamana na za China

    Ni mwendo wa kutishiana misuli na mikwara, Mchina amepiga piga mabomu kwenye bahari, ila sasa amesogezewa meli za Taiwan ole wake aguse moja, leo ndio siku ya mwisho Mchina anageuza.... ================ TAIPEI (Reuters) -Chinese and Taiwanese warships played high-seas "cat and mouse" on Sunday...
  6. JamiiForums Tanzania Ndege zisizo na rubani za Ukraine zashambulia meli za Urusi

    Meli za Urusi zimeshambuliwa na ndege zisizon na rubani (drone) katika Bandari ya Crimea iliyopo Sebastopol, leo Julai 31, 2022 na kujeruhi watu watano. Wakazi wote wa eneo hilo wamepewa angalizo la kuwa makini na kutakiwa kubaki ndani kwa sababu za kiusalama. Huo ni mwendelezo wa vikosi vya...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchi ya Oman yaikana meli iliyopitia Tanzania kuleta gesi Kenya

    Ni hivi, meli imeandikisha kwamba imetoa gesi Oman, kisha ikashusha Tanzania, na kawaida Watanzania walivyo, wakapokea freshi kichwa kichwa tu bila umakini au ukaguzi, hiyo gesi inapitishwa mpakani na kuletwa Kenya, sasa Oman wametoa tahadhari na kusema hiyo meli haikutoka kwao na hiyo gesi sio...
  8. JamiiForums Tanzania Uturuki yaachilia meli ya Urusi iliyobeba nafaka

    Uturuki haikupakua, lakini iliachilia meli ya Urusi iliyokuwa na nafaka za Ukraine zilizoibiwa, Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Ukraine iliripoti. ‘’Shukrani kwa kuingilia kati kwa mamlaka husika ya Ukraine, meli hii haikuweza kupakuliwa bidhaa zilizoibiwa na iliwekwa kizuizini. Ombi lilitumwa...
  9. JamiiForums Tanzania Uturuki imezuia meli ya Urusi iliyobeba ngano

    Nimeona taarifa hii ya kushangaza kwakuwa niliamini kuwa Uturuki yuko upande Urusi lakini leo hii Serikali ya Uturuki imezuia meli iliyosheheni ngano, yasemekena ngano hiyo iliibiwa Ukraine. Meli hiyo imezuiwa kwa ombi la Ukraine. Najiuliza: Putin hataanza kuirushia makombora Turkey...
  10. JamiiForums Tanzania Miradi ya kimkakati Tanzania yawa chachu kwa vijana kuchangamkia kozi zote zinazohusu Reli, Meli na Anga zinazotolewa NIT

    Dhamira njema iliyooneshwa na serikali katika kukazania kujenga miradi ya kimkakati imetoa hamasa kwa Watanzania wengi kuchangamkia fursa ya kusoma kozi za huduma za usafiri wa reli, meli, bandari na anga katika chuo cha usafirishaji tanzania (NIT) Kwa Mujibu wa Mkuu wa Chuo amesema awali...
  11. JamiiForums Tanzania Iran yajibu malalamiko ya Ufaransa na Ujerumani kuhusu kukamata meli mbili za Ugiriki

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa taarifa na kukosoa taarifa zinazofanana za Ujerumani na Ufaransa kuhusu meli za mafuta za Ugiriki. Siku ya Ijumaa Idara Kuu ya Mahusiano ya Umma ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ilitangaza kuwa meli mbili za mafuta za Ugiriki...
  12. JamiiForums Tanzania Sasa rukhsa Meli kubeba chakula kutoka bandari za Ukraine zilizotekwa

    Urusi imesema kuanzia sasa meli zitakazopenda kwenda na kuondoka bandari za bahari nyeusi zilizokuwa za Ukraine ni ruhusa kufanya hivyo na zitapatiwa kila aina ya ulinzi ili zibaki salama. Hayo yamesemwa na wizara ya ulinzi ya Urusi wakati ikiwa imefanikiwa kuzishika bandari hizo muhimu kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Angalia picha: Mabehewa ya treni za SGR yanatengenezwa, barabara zinajengwa, meli, madaraja, na mishahara inaongezwa

    Balozi akikagua Mabehewa ya SGR, miradi inaendelea, na watumishi wanaangaliwa maslahi. Awamu Ile ilikwama wapi!? Au korosho ziliwajaa rohoni? Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  14. JamiiForums Tanzania Meli ya nne ya Urusi yaungua Black Sea jion hii

    Ukrainian officials report that a large Russian support ship Vsevolod Bobrov has caught on fire somewhere in the Black Sea. Vsevolod Bobrov is a large ship (almost 10,000 tons displacement), and very new, entering service only last year.
  15. JamiiForums Tanzania Mwanza: Waziri Mkuu azuia paspoti 7 za wakandarasi wa Meli ya MV Mwanza

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Meli ya MV. Mwanza ‘Hapa Kazi Tu’ na kubaini ukiukwaji wa makubaliano ya kimkataba ya ikiwa ni pamoja na Kampuni ya Korea ya Gas Entec Building Engineering iliyo na jukumu la kujenga meli hiyo kuuza sehemu ya jukumu la...
  16. K

    JamiiForums Tanzania USA yakanusha kuhusika kuzamisha meli vita ya Urusi!!

    Pentagon has rejects reports claiming US intelligence was used in alleged Ukrainian strike on warship Moskva The US didn’t provide Ukraine with intelligence that allegedly allowed it to strike Russia’s Black Sea flagship Moskva off the coast of Odessa last month, Pentagon press-secretary John...
  17. JamiiForums Tanzania Meli ya pili ya Urusi inaungua moto, Admiral Grigorovich (Navy) wanaendelea kuokoa

    Meli ya Urusi maarufu Kama Admiral Grigorovich ya Wanamaji inaungua karibu na kisiwa cha Zmiiny katika Black sea , ndege za uokoaji za Urusi zinaendelea na juhudi za kuzima moto The Admiral Grigorovich class, ambayo pia ujulikana Kama Krivak IV class, Russian designation Project 11356R/М...
  18. JamiiForums Tanzania Tunisia yadhamiria kupunguza uharibifu baada ya meli inayobeba hadi tani 1,000 za mafuta kuzama

    Tunisia itafanya kazi na nchi nyingine ambazo zimejitolea kuisaidia kuzuia uharibifu wa mazingira baada ya meli ya kibiashara iliyokuwa imebeba hadi tani 1,000 za mafuta kuzama katika maji ya Tunisia, wizara ya ulinzi ilisema Jumapili. Meli hiyo ilikuwa ikitoka Equatorial Guinea kuelekea Malta...
  19. JamiiForums Tanzania Putin atangaza Vita ya 3 ya Dunia baada ya meli yake kuzamishwa

    The strikes come as President Volodymyr Zelensky warned Putin is running out of time to sit at the negotiating table, as analysts now suggest Ukraine may well win the war in the coming weeks. Russia is believed to have hoped for a blitzkrieg lasting mere days before securing overall control of...
  20. JamiiForums Tanzania Uturuki yajitia kiherehere cha kuokoa baadhi ya wanajeshi wa Urusi waliokua wanaangamia baada ya meli kutwangwa

    Hili la Uturuki kuokoa wanajeshi 54 halijakaa vizuri, hao wauaji walipaswa wazame wote, humo walikua zaidi ya 500 hivyo bado kuna mamia watakua chakula cha papa baharini. Mwanajeshi Mrusi hapaswi kuonewa huruma popote, labda wale waliojisalimisha, na hata hao wachunguzwe akikutwa yeyote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…