mei

Iodomethane, also called methyl iodide, and commonly abbreviated "MeI", is the chemical compound with the formula CH3I. It is a dense, colorless, volatile liquid. In terms of chemical structure, it is related to methane by replacement of one hydrogen atom by an atom of iodine. It is naturally emitted by rice plantations in small amounts. It is also produced in vast quantities estimated to be greater than 214,000 tons annually by algae and kelp in the world's temperate oceans, and in lesser amounts on land by terrestrial fungi and bacteria. It is used in organic synthesis as a source of methyl groups.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 21, leo Mei 9, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=fnOK-Jm5gpE
  2. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Bunge kwanini muwabane JWTZ kwenye ajira huku TISS wakiwa hawafuati kanuni na sheria za ajira

    Sioni sababu ya kuwabana JWTZ kwenye suala la ajira huku TISS mkiwaacha wafanye vile wanavyojitakia au TISS ni kubwa kuliko JWTZ? Hawa TISS hawajawahi tangaza ajira zao bali wanachukuana wenyewe na vijana wa CCM hii kwenu imekaa sawa?
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu upelelezi haujakamilika, yaahirishwa hadi Mei 19,2025

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu imeendelea tena leo, Jumanne Mei 06.2025 kwa ajili ya kutajwa Akizungumza mbele ya Mahakama katika kesi hiyo inayoendelea kwa njia ya mtandao Wakili wa Serikali Mwandamizi Tawabu Yahya...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 18 Mei 6, 2025

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 18 Mei 6, 2025 https://www.youtube.com/live/jisddABy9Sw?si=ZPv7ivAftZBx_pFm
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania JamiiAfrica, IMS na UTPC kwa pamoja wazindua Mradi wenye lengo la Kuwawezesha Wanahabari kwaajili ya Jamii yenye taarifa sahihi Tanzania

    Leo Mei 6, 2025, JamiiAfrica inazindua ushirikiano na IMS na UTPC wenye dhima ya “Kuwawezesha Wanahabari kwaajili ya Jamii yenye taarifa sahihi Tanzania.” Kupitia ushirikiano huu, Wanahabari, Wataalamu wa Vyombo vya Habari, na Wahariri watashirikiana moja kwa moja na Jamii ili kubaini mahitaji...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo, Omar Said Shabani anazungumza na Wanahabari, Mei 5, 2025

    https://www.youtube.com/live/EV0n0sLG1Zs?si=A_fxrMIQec4ggyrP Mkutano wa Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Omar Said Shabani na Wanahabari, ofisi za Chama Vuga Mjini Unguja. Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Omar Said Shabani ameeleza kusikitishwa kwake na kauli ya Mkuu...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza Watahiniwa 134,390 kufanya Mitihani ya Kidato cha Sita kuanzia leo Mei 5 hadi 19, 2025

    Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza kuwa watahiniwa 134,390 wamesajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita, huku 10,897 wakitarajiwa kufanya mtihani wa ualimu kuanzia Mei 5 hadi 19, 2025 katika maeneo mbalimbali ya Tanzania Bara na Zanzibar. Katibu Mtendaji wa NECTA, Dkt. Said...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi ya Singida ilivyodhihirisha uzoba wetu wapiga kura na wasimamia kura

    Ilikuwa vichekesho sana yaaani. Yaani kwanza kwa kuhofia wananzengo kutojaa uwanjani basi ukatumika uwanja mdogo na ukaachwa ule mkubwa. Ili kuhakikisha wananzengo wanatamani kuingia uwanja huo unapambwa vema ile mbaya na viti vizuri vinawekwa. Inasemekana viti hivyo vingine vilitoka Makao Makuu...
  9. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yashiriki maadhimisho ya Mei Mosi, Singida

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Dotto Biteko na Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini Nyamhokya kwa pamoja wakiwa wameshikana mikono wakati...
  10. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa chuo cha umma Tanzania washiriki maadhimisho ya Mei Mosi, Dar

    Watumishi Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC),makao makuu na Kampasi ya Dar es Salaam wameshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ‘Mei Mosi’ ambayo kimkoa yamefanyika katika wilaya ya Kinondoni kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam Mgeni Rasmi...
  11. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mioyo ya wana Singida inavuja Damu halafu Kwa zarau Mnawapelekea sikukuu ya mei mosi CCM Mmelaaniwa.

    Kweli CCM Wamechanganyikiwa. 1. Tundu.Lissu yuko Mahubusu.kqa kesi za uongo aliteswa kwa kupigwa risasi 16 2.Charles Kitima Kashambuliwa hali ni mbaya. Wote hawa ni watoto Wa singida halafu CCM inapeleka sherehe huko ama kweli ujinga ni kipaji. Mpaka.Uchaguzi mkuu ufike Tutashuhudia Mengi.
  12. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi (labor day) ndo ilitakiwa iwe siku ya wajinga duniani

    Nashauri Ile siku ya wajinga ambayo huwa ni tarehe 1 April Sasa iwe mei Mosi Lengo la mei Mosi ilikuwa ni kujadili na kupata suluhu ya changamoto za wafanyakazi Huku kwetu ni tofauti 1. Watumishi wanaandaliwa lisala ya kusifia serikali Badala ya kulalamikia 2. Watumishi wamepewa Fulani na...
  13. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wabunge 19 Machachari wa CHADEMA kupokelewa CCM Mei Mosi

    Waheshimiwa wabunge 19 Machachari toka CHADEMA watakaribishwa rasmi CCM siku ya Mei Mosi akiwemo Nusrat Hanje (Mrs Kitenge) anayewania ubunge Jimbo mojawapo Mkoani Singida.
  14. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri ya Ardhi yashiriki uzinduzi wa michezo ya Mei Mosi 2025

    Michezo ya wafanyakazi kuelekea kilele cha Mei Mosi 2025 imefunguliwa rasmi tarehe 22 Aprili 2025, katika Uwanja wa CCM LITI mkoani Singida. Uzinduzi huo umehudhuriwa na mamia ya watumishi wa umma kutoka taasisi mbalimbali za serikali, mgeni rasmi akiwa ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri...
  15. upupu255

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mechi ya Yanga dhidi ya Simba kupigwa Mei 10, 2025

  16. Gai da seboga

    JamiiForums Tanzania Kauli Mbiu ya Mei Mosi mwaka huu 2025 ni Fumbo kwa Rais

    Wasalam Mabibi Na Mababu! Bila kupoteza muda Kauli mbiu ya Mei Mosi-2025 ni; ''Uchaguzi mkuu 2025, utuletee viongozi wanaojali haki na maslahi ya wafanyakazi, sote tushiriki.'' Nadhani Mheshimiwa Raisi anahitaji mtaalamu wa fasihi na lugha aweze kumfumbulia hili Fumbo. Nachoona wafanyakazi...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wanne wakamatwa Kenya kwa kusafirisha Malkia wa Siafu hai. 5,000 wakutwa kwenye mirija

    Wanaume wanne wawili raia wa Ubelgiji, mmoja wa Vietnam na Mkenya mmoja wanashikiliwa nchini Kenya kwa tuhuma za kumiliki na kufanya biashara ya kusafirisha Malkia wa Siafu walio hai. Washtakiwa hao wamekiri makosa yao mbele ya Hakimu Mwandamizi Njeri Thuku katika Mahakama ya Uwanja wa Ndege...
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Ruti ya Mabasi ya Mwendokasi Mbagala - Mjini itaanza Mei, Wadau wetu walipata changamoto

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ameeleza sababu za huduma ya mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam katika njia ya Mbagala hadi katikati ya mji kuanza Mei mwaka huu badala ya Machi, kama ilivyopangwa awali. Chanzo: Azam TV Pia soma: ~ Tuliambiwa Mabasi ya Mwendokasi kwa ruti ya Mbagala...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Silaa aelekeza minara yote 758 kuwashwa ifikapo Mei 12, 2025

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), ameelekeza kuwa ifikapo tarehe 12 Mei 2025, saa 6 usiku, ujenzi wa minara ya mawasiliano vijijini uwe umekamilika na minara yote 758 iwe imewashwa, ili wananchi waweze kupata huduma za mawasiliano. Waziri Silaa alitoa...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Damu ya Hamza al Khatibu ilivyo nena Mei 2011 nakuanguka kwa utawala wa Assad

    Ilikuwa ni Mei 2011 kijana mdogo katika mji wa Deraa mji mdogo nchini Syria karibu na mpaka wa Jordan. Kama ilivyo tawala zaki imla kijana huyu mwenye umri wa miaka 13 alirudishwa kwa familia akiwa amecharangwa na umeharibiwa vibaya na maofisa usalama wa Syria baada yakuwa amekamatwa kwenye...
Back
Top Bottom