Iodomethane, also called methyl iodide, and commonly abbreviated "MeI", is the chemical compound with the formula CH3I. It is a dense, colorless, volatile liquid. In terms of chemical structure, it is related to methane by replacement of one hydrogen atom by an atom of iodine. It is naturally emitted by rice plantations in small amounts. It is also produced in vast quantities estimated to be greater than 214,000 tons annually by algae and kelp in the world's temperate oceans, and in lesser amounts on land by terrestrial fungi and bacteria. It is used in organic synthesis as a source of methyl groups.
Mshambuliaji Steven Mukwala wa Simba ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mei Ligi Kuu ya NBC 2024/25 baada ya kung’ara kwenye mechi nne kwa kufunga mabao matatu na kuchangia moja, huku kocha wake Fadlu Davids akichaguliwa Kocha Bora kwa kuiongoza Simba kushinda mechi zote tano za mwezi huo...
Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 26 Mei 30, 2025
https://www.youtube.com/watch?v=8Orl0SHsmP8
Orodha ya Shughuli za Leo
Dua
Hati za kuwasilisha mezani
Maswali
Mkoa wa Dar es Salaam umeendelea kufanya vizuri katika ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini kwa mwaka wa fedha 2024/2025, baada ya kufanikisha makusanyo ya Shilingi Bilioni 23.02 kufikia mwezi Mei, sawa na asilimia 125 ya lengo la mwaka.
Ofisi ya Afisa Madini Mkazi wa Mkoa...
Inadaiwa kuna Treni ya Abiria imepata ajali kwa kugongwa na Gari maeneo ya Tabora huko, wenye taarifa zaidi watujuze.
=============================
Abiria wa Gari Moshi wamenusurika kifo kufatia ajali ya lori la mizigo lenye trela Namba T 933 DMF lililokuwa likitokea Tabora kuelekea Wilayani...
https://www.youtube.com/watch?v=DHqu2q18Qzg
"Kukamilika kwa mapitio ya Sera ya Mambo ya Nje, Toleo la 2024, iliyoambatana na mkakati wa utekelezaji wake, ikiwa ni pamoja na matumizi ya Kiswahili kama nyenzo ya diplomasia."
"Katika Mwaka wa Fedha 2024/2025, Wizara iliidhinishiwa jumla ya...
afrika
afrika mashariki
balozi
balozi mahmoud thabit kombo
bunge
bunge la 12
dodoma
kikao
mahmoud thabit kombo
mambo
mambo ya
mambo ya nje
mashariki
mei
mkutano
mkutano wa 19
nje
tarehe
thabit kombo
ukumbi
ushirikiano
ushirikiano wa afrika mashariki
waziri
https://www.youtube.com/watch?v=wWgJjQl26cg
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt Dorothy Gwajima anatarajiwa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2025/26, jijini Dodoma leo.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia...
https://www.youtube.com/watch?v=cRKUyHuLjzA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent L. Bashungwa (Mb) akiwasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, ambapo atawasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka wa Fedha 2025/26, leo tarehe 26 Mei...
https://www.youtube.com/watch?v=Tmd7KodcC68
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dk Ashatu Kijaji amewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2025 / 2026 jijini Dodoma leo Mei 23, 2025. Dk Ashatu ameliomba Bunge lipitishe bajeti ya Sh476.6 bilioni yenye vipaumbele vinne ambapo...
Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) inawatangazia abiria na umma wote kwa jumla kuwa meli ya New Victoria Hapa Kazi Tu itaanza safari zake rasmi siku ya Alhamisi tarehe 22 Mei 2025 ikitokea Bandari ya Mwanza Kaskazini kuelekea Bandari ya Bukoba kupitia Bandari ya Kemondo.
Hivyo kampuni...
https://www.youtube.com/live/yCcgZ-kIQos
Hali ilivyo kwenye ukumbi ambapo kunafanyika Mkutano wa CHAUMMA
Devotha Minja: Kila anayeamini uwepo wa Mungu anatakiwa kujiunga na CHAUMMA
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tanzania Bara, Devotha Minja amesema kila Mtu...
https://www.youtube.com/watch?v=sOC6TgEjbr8
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe akiwasilisha Bajeti ya mwaka 2025/26 amesema;
"Ukuaji wa Sekta ya Kilimo umeongezeka kutoka asilimia 2.6 mwaka 2021 hadi asilimia 4.2 mwaka 2023. Aidha, ukuaji wa Sekta ya Kilimo unatarajiwa kufikia asilimia 5 mwaka...
Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 28 Mei 20, 2025
https://www.youtube.com/live/dE7EKtHBI2k?si=iCkL5SlLeZbIJpPY
Mwaka wa Fedha 2025/26, Wizara ya Ulinzi na JKT na taasisi zilizo chini yake zimeidhinishiwa na Bunge jumla ya Shilingi 3,645,912,947,000.00 kati ya fedha hizo, Shilingi...
https://www.youtube.com/watch?v=fWPUrKEGauY
Wizara ya Maliasili na Utalii imeomba Bunge liidhinishe jumla ya Shilingi 359.9 ili iweze kutekeleza
malengo na vipaumbele iliyojiwekea kwa mwaka 2025-2026.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana Wakati akiwasilisha hotuba kuhusu...
Wakati Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kikitqrajia kuanza vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu kuanzia kesho Jumatatu Mei 19, 2025 jijini Dar es Salaam, baadhi ya makada na viongozi waliojitoa Chadema wanatarajiwa kupokelewa rasmi.
Soma pia:
Vikao hivyo vinafanyika baada ya...