mechi

Mechi (Nepali: मेची अञ्चल Listen was one of the fourteen zones of Nepal until the restructuring of zones to provinces, comprising four districts; namely Ilam, Jhapa, Panchthar and Taplejung. Its headquarters are at Ilam. It comes under the Eastern Development Region of Nepal. The Indian state of Bihar is to the south, West Bengal and Sikkim in the east and Tibet to the north. The largest town is Damak in the Terai. The majority of the population in Mechi are Limbu, Chettri, Bharmin, or Meche.
Mechi is divided into four districts:

Among the four districts, Jhapa is in the Terai and it is more developed than the other three districts. Ilam and Panchthar are in the hilly region. Ilam is also in a developing stage, with many tourists visiting annually. Kanyam is popular for its tea garden. At Antu the rising sun can be viewed. Taplejung is the least developed of the four districts. Taplejung is in the mountainous zone.There are two airports within Mechi: one in Bhadrapur and one in Taplejung.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania DStv wapata haki za matangazo ya mechi za CAF

    Hatimae DStv wamepata haki za kuonyesha mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika na zile za Shirikisho kwa msimu huu wa 2024/2025. Hii itakuwa nafuu kwa wateja wa DStv waliokuwa wanakosa uhondo huo mpaka waende Vibanda umiza. DStv anaungana na Azam Tv pamoja na SABC kuwa vituo vyenye haki ya kurusha...
  2. Zamaulid

    JamiiForums Tanzania Mchezaji Bora wa mechi

    Leo mchezaji Bora wa mechi Kati ya Simba na Dodoma jini ametangazwa kabla ya mpira kumalizika!! Binafsi naona kama wanaingia na jina mfukoni...utamtangazaje mchezaji kabla ya mpira kumalizika?! Vipi akishatangazwa hivyo halafu akatolewa Kwa Kadi nyekundu kwa makosa ya nidhamu....ataendelea kuwa...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania TFF tulisema kuwa Mechi za NBC Premier League kamwe haziwezi Kuchezewa Zanzibar imekuwaje Azam na Simba wanachezea Zanzibar?

    Ni sababu ipi tu iliyokubalika leo na kipindi kile Simba SC ilipotaka Kucheza huko Mechi za Ligi Kuu ya NBC ikakataliwa?
  4. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba dhidi ya alhy tripoli

    #wadau naomba kujua gharama za TIKETI mechi ya Simba kesho
  5. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Mechi ya jana Azam vs KMC goli la Iddy Nado kapiga chenga mabeki watano mpaka kipa kisha kufunga, kuna viashiria vya upangaji matokeo?

    Wakuu, Nimeona clip kijana wa azam akipiga chenga mabeki wa KMC kisha wakawa wanajiangusha, Mabeki watano na kipa wa sita, tena akiwapita wanajiangusha na kunyanyuka kisha wanamuangalia tu kwa kusimama wala hawamkimbizi. Kuna viashiria vya upangaji matokeo Najaribu kuiweka clip inagoma...
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba vs Al Ahly Tripoli itaisha sare ya 1-1 hapo Jumapili

    Kwenye ulimwengu wa wa roho Mechi ya Simba ambayo itachezwa jpili, umeisha salama, sisi wataalam wa ulimwengu wa roho yaani tunaotazama matukio kabla hayajatokea tumeitazama imeisha hivo Watakaotazama hiyo mechi watatazama marudio Simba watapata goli dakika ya 19, Kwa mkwaju wa penalt, lakini...
  7. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Tatu Malogo, mwamuzi mbovu kuwahi kutokea Tanzania

    Kwa tukio la Leo Mechi ya Azam Vs Pamba nadhani TFF mtambeba tena huyu refa wenu wa ovyo.
  8. Comrade Ally Maftah

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wangu wa mechi ya Yanga vs CBE ya Ethiopia

    UCHAMBUZI WA Comrade Ally Maftah, DAR YOUNG AFRICAN VA COMMERCIAL BANK OF ETHIOPIA SPORT ASSOCIATION (CBE SA) Na Comrade Ally Maftah PACOME WA MCHONGO CBE SA ( Comercial Bank of Ethiopia Sport Association ilianzishwa mwaka 1982 pale Adis Abab Ethiopia, ni timu ambayo inashikilia kombe la...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Willy Essomba Onana afunga hatrick kwenye mechi yake ya kwanza ya kitafiki akiwa na timu Al Hilal Benghaz

    Salaam Wadau wa Michezo, Kuna taarifa nimeiona inadai kuwa Willy Esomba Onana aliyekuwa mchezaji wa Simba SC msimu uliopita ameibuka shujaa kwa kufunga mabao matatu katika mchezo wake wa kwanza wa kirafiki. Taarifa hiyo nimeiona kwenye akaunti ya Instagram ya Aggy Simba na kwa SeekerTZ.
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa 'Dua Shtakia Mungu' itakayosomwa Afrika Mashariki huenda kuna Chama Kikakosa Mgombea Urais wake katika Uchaguzi Mkuu ujao

    Haya tuanze mapema kumtafuta wa Kumrithi.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ten Hag ana mechi mbili tu Man United

    Mchezaji wa zamani wa Newcastle United na timu ya taifa ya England, Alan Shearer amesema kocha wa Manchester United, Erik ten Hag ana michezo miwili pekee ya kuokoa kibarua chake. Man United ambayo kwa sasa inashika nafasi ya 14, katika mechi tatu za mwanzo za EPL imeshinda moja na kupoteza...
  12. je parle

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars imejaa mabeki kama tunaenda kutafuta sare kila mechi

    Katika timu sijawai kuelewa selection ya kikosi basi ni hiii.timu imejaa wachezaji wa bench tu Timu mbele selection ya kikosi zero, Kibabage na Msindo ni mawinga.? Ligi yote tumekosa mawinga wa pembeni kweli tunategemea Kibabage na Msindo ndio wakatengeneze nafasi kwa washambuliaji? Halafu...
  13. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Manchester City inazidi kuwanyoosha huko EPL, haya hapa matokeo ya mechi za Agosti 31, 2024

  14. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Utani wa Simba na Yanga pembeni, bus la SIMBA kuingia kinyume nyume leo kwenye mechi ya kirafiki ilikua ni nini?

    Au ndio mazoezi ya Ulozi kuelekea Shirikisho, si unajua kombe hili la Luza ndio mlichoma Uwanja [emoji23] kule south Africa wanetu Mpaka bus la timu kufanya vitu kama hivi unajua kuna baraka za viongozi, una baki na maswali mengi mno kichwani, anyways tukutane mwisho wa msimu...
  15. M.Rutabo

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Mzize asianzishwe kesho mechi na Kagera Sugar

    Speed ya Mzize ni habari nyingine uwanja wakaitaba vipimo vyake ni vidogo mno kesho mzize tafadhali hasianzishwe tusije kumkuta nje ya uwanja.
  16. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kila mwaka Azam huwa anatolewa kimataifa kabla Simba haijaanza mechi zake

    Sisi Azam tukubali hatuna timu tuna kikundi cha wachezaji SOMA - LIVE - CAFCL: APR 2-0 AZAM FC | Preliminary Stage 2nd Leg| aggregate : 2-1 | 🏟 Amahoro Stadium | 1900hrs | 24.08.2024
  17. trojan92

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo kuna Epl Laliga Bundesliga Ligue 1 Eredivisie Serie A Na nyingine nyingiiiii, je tunabetije leo wakuu? Share hapa
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ukiiona Yanga anamaliza mechi na Dodoma jijii imeisha hioo...Subiria kuleta wine uwanjani

    Ukionaaaaaaa hiiii ratibaaaa ft yanga anamaliza na Dodoma jijii nduguu imeishaaa hiooooo Kaeni mkao wa kulaaaaaaaa
  19. ngara23

    JamiiForums Tanzania Sifa/taratibu za mechi za shirikisho

    1. Team nyingi shiriki zinatoka nchi ndogo kisoka kama Chad, Somalia, Sudan,Sheli Sheli 2. Hakuna sheria za offside, mchezaji akizidi haina tatizo 3. Ni mashindano mara nyingi yanafautiliwa na watoto, watu wazima hawafatilii 4. Haya mashindano ni marufuku kuchezeshwa na refa mwenye beji ya...
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Miaka 4 azam bila kombe..yanga mechi 5 makombe mawili medali 2...dubee wee

    Shikamooo engn hersi poppte uliipoo
Back
Top Bottom