Tuombe mahojiano kati ya Prof Lumumba na Prof Kabudi kuhusu demokrasia na katiba. wote ndiyo wabobeaji wa sheria wa EA ingawa mmoja ni chawa na mtoa macho mkubwa. Hii itasaidi tujue tunaenda wapi kwa hoja.
https://youtu.be/QLp9ydc6K3I?si=ipvBzt3KHGEhw2sj
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Edward Kinabo, Septemba 8, 2025, ameendelea na kampeni zake za mtaa kwa mtaa katika Kata ya Goba, mtaa wa Matosa, akihamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura.
Kinabo amemuita mgombea Ubunge wa CCM...
https://www.youtube.com/live/bsMXcScNS8E
Muliro: Polisi kusubiri hadi tukio lifanyike hapo ni sawa na kufeli
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro akizungumza katika mdahalo huo leo Agosti 20, 2025.
Ninachokiona ktk mdahalo ni wananchi kuwasilisha malalamiko yao serikalini kupitia huo mdahalo. Wanatumia huo mdahalo km medium tu, warudisheni wachangiaji kwenye mstari wengine hapo ni wale janja janja waliozoea kukwepa kodi ndio maana karibu kila mfanyabiashara analalamikia bandari kwasababu...
Salaam Tanganyika!
Issues nyingi zinaibuliwa wakati huu na zinaonekana ni za upande mmoja,
Na anayeibua HOJA nyingi ambazo hazipati majibu ni huyu Mwenyekiti mpya wa chama Cha upinzani TUNDU Lissu.
Sasa Kwa kuwa anayetakiwa kuzichambua ni mwananchi, ni muhimu wenyeviti Hawa wawili...
Mzee wasira ni lazima aelewe kwenye No election no reform hakuna mdahalo bali utekelezaji. Chaguzi za 2019, 2020 na 2024 zime maliza mdahalo na maswali yeyote ya kwamba chaguzi kwa sasa zinaweza tena kuwa za haki kwa sheria zilizopo sasa. Sasa unaposema unataka mdahalo na Lissu ni wa nini hasa...
DOKTA: "Kabla ya kukupatia majibu ya vipimo vyako vya VVU, naomba kwanza nikupe ushauri nasaha".
MGONJWA (Kimoyo moyo): "Lo! Neema ushaniambukiza ugonjwa wako. Kama sio Neema ni Halima".
DOKTA: "UKIMWI ni kifupi cha Upungufu wa Kinga Mwilini. Zipo njia kadhaa zinazoweza kuambukizwa ugonjwa huu...
Wahusika andaeni mdahalo kati ya Heche na Mzee Wassira. Uwe live kwenye tv, radio na mitandaoni. Chief odemba uwepo. Watiane spana vizuri
Mdahalo uzungumzie
1. Masuala ya vijana
2. Hali ya kiuchumi
3. Ukosefu wa ajira
4.
Nyingine muongezee
Kwamba mdahalo wameukimbia?
Kwani Nchimbi walisema je?
Kwa hiyo mwamba ameulaza u nini?
Kama alikuwa na hoja au kujitetea au kutoa ufafanuzi ilikuwapo fursa bora kwake kuliko jana?
Viva CDM kuanza safari mpya free from "chawa wala viroboto!"
Hii ni kutokana na hali ilivyo kutokea katika maeneo mbalimbali ya nchi na pia katika "kuusoma upepo" kitalaamu:
Kwamba nyuma ya runinga watakuwapo Mama Abduli, Abduli, vigogo wote, bila kuwasahau wenye kumshikilia Daktari Slaa korokoroni kwa amri zao.
Haina shaka Mwamba japo kala kona kwa...
Viongozi wakuu wote wa TLS ni kambi ya Lissu, halafu mdahalo unaandaliwa katika jengo la kambi moja, na wanatarajia haki itendeke.
Ni wazi kuna njama, fitna na hata Janja janja ya kumdhuru Mbowe. Hongera Mbowe kwa kukwepa mtego wa mahasidi
"Tukutane kwenye Medani Kuu Live na Chief Edwin Odemba kujadiliana juu ya 'Uongozi Wetu na Hatma ya CHADEMA 2025 & Beyond'! Katika kuelekea 'Fainali' ya tarehe 21 Januari, 'Mdahalo wa Wenyeviti' ni utamaduni wa kisiasa unaopaswa kujengwa na kukuzwa kama sehemu ya ujenzi wa utamaduni wa...
mnamo 16-1-2025 chombo kimoja kikubwa cha habari kimefanya mahojiano na Tundu Lissu nyumbani kwake Tegeta -Dar es salaa, Tanganyika.
Waandishi / Watangazaji watatu wamemuhoji :-
Sam Sasali
PJ
Kijja
Katika hali ya Kusikitisha, Kijja ambaye ni kada wa VEGGIE PARTY amekua akiuliza maswali kama...
Ktk Hali ya kushangaZa mgombea wa nafasi ya mwenyekiti bavicha ndugu shija amejitoa na kumuunga mkono mgombea mwenZake ndugu manyila ambaye pia anamuunga mkono lissu
===
Fuatlilia Mdahalo wa wazi wa Vijana wa CHADEMA wakifanya mdahalo wa wazi katika kutekeleza Demokrasia kwa Vitendo.
https://www.youtube.com/live/YtIJ2C2X2Pg?si=ouOhJNbacE7DLlke
Mbowe leo kadhihirisha ni Mwanasiasa Genius,smart,broad,wise,mtulivu na Mvumilivu sana.Nimeangalia Interview nzima ni as if alikuwa anaprove ni kwa kiasi Gani Level yake ya kisiasa ni ya juu sana kucompare na Lissu.
Utumiaji wa Vifungu vya Katiba katika Uongeaji wake ni kama alikuwa anaonyesha...
Huyu mfuasi wa Lissu hajui kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2020 au kaamua kujifanya mwendawazimu? Kwa huu mdahalo wa jana hakuna mwenye nafuu kwenye hawa washiriki wanne. Wote nawapa alama 0/100. Yericko anastahili na viboko kabisa. Ntobi aliyesema CHADEMA imeanzishwa 2019 anastahili kuwekewa...
Kwa walio fuatilia mdahalo huu ambao umetamatika usiku huu, binafsi haya ndiyo niliyofaelewa kutoka kwa wawakilishi wa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti Chadema Taifa.
1. Wawakilishi Team Mbowe ambao ni Yeriko Nyerere na Emanuel Ntobi kwa upande wao nimeona wanapigania uwepo wa Mbowe tu katika...
NB nimeikopi kutoka X
1. Mpangilia wa kuamka saa 12 Asubuhi kila siku, (Epukua kuamshwa na Alarm).
2. Fanya mazoezi ya "KEGEL" kwa usahihi Walau nusu saa kila siku asubuhi na jioni.
3. Kunywa maji lita 3-5 kila siku iwe kwenye ratiba yako.
4. Pata bakuli mbili ya mchuzi wa bamia changa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.