Unaweza usiamini hili...lakini
Kunguru anapojisikia vibaya, hukaa karibu na kkichuguu cha siafu na hutandaza mbawa zake, hukaa tuli, na kuwaacha mchwa wamshambulie.
Wanafanya hivyo kwa sababu kubwa: siafu hunyunyiza mwili wake asidi ya fomu, (formic acid) dutu ambayo hufanya kazi kama...