mchungaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ninahuwiwa kuwa mchungaji

    .
  2. JamiiForums Tanzania Songwe: Mchungaji akamatwa kwa kumuombea mtoto wake hadi kufariki

    Jeshi la Polisi linawashikilia watu 3 akiwemo Mchungaji Julius Mwasimba baba mzazi wa marehemu na watoto wake Elia na Emmanuel Mwansimba kufuatia kifo cha Anna Mwansimba. Kamanda wa Polisi, Alex Mkama amesema ndugu hao walimfungia mgonjwa na kuanza maombi kwa siku 3 lakini baadaye waligundua...
  3. JamiiForums Tanzania Mchungaji aiomba Serikali kuzuia wananchi kuzalisha pombe za asili

    Habari wakuu...Katika hali ambayo kwa upande wangu nimeiona siyo ya kawaida Askofu mstaafu wa kanisa la Tanzania assemblies of God(TAG) Mch.Glorious shoo ameiomba serikali kuwazuia wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro kutoendelea na uzalishaji wa pombe za asili na badala yake mazao yanayotumika...
  4. JamiiForums Tanzania Mtoto akiri Mahakamani kubakwa na baba yake ambaye ni Mchungaji wa Kanisa

    Nurdin Abdallah Shahidi namba moja ambaye ni mtoto wa miaka 6 anayedaiwa kubakwa na baba yake mzazi Mchungaji Nurdin Abdallah (54) na Muinjilisti wa kanisa la waadventista wasabato Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza, amekiri mbele ya Mahakama kufanyiwa kitendo hicho kwa nyakati tofauti na baba...
  5. JamiiForums Tanzania Mchungaji asimamishwa kazi tuhuma za kumtorosha mke wa muumini wake

    MCHUNGAJI wa Kanisa la Anglikana Yombo Kiwalani jijini Dar es Salaam Edwin Taji, amesimamishwa kutoa huduma ya kichungaji baada ya kudaiwa kumtorosha mke wa muumini wake na kumpangishia nyumba maeneo ya Pugu Kajiungeni. Madai hayo yametolewa na muumini wa kanisa hilo ambaye ni Mume wa mwanamke...
  6. JamiiForums Tanzania Mchungaji Nurdin Abdallah afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kumbaka mwanaye wa miaka 6

    Mchungaji wa kanisa la kilokole Nurdin Abdallah, amefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya Magu mkoani Mwanza kwa kosa la kumbaka kwa nyakati tofauti mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka sita. Chanzo: EA Radio ==== Mchungaji Nurdin Mahakamani kwa kumbaka mtoto wake Mchungaji wa kanisa la...
  7. JamiiForums Tanzania Huyu mchungaji anaitwa Mch. Prosper Shao wa KKKT Usharika wa Tumaini -Bariadi anahubiri asubuhi kupitia UPENDO-TV

    Huyu mwamba anahubiri kila asubuhi ananibariki saaana yaani mafunzo yake hata kama sio mfuasi kama mimi ila unajisikia kijifunza jambo flani la maisha nimemfuatilia wiki hii, najisikia kubarikiwa sana. Nimeona niwashirikishe, anaanza sa 12.hadi sa moja kama sijakosea. Muwe na siku njema...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Ananje: Ni ujinga watoto kugombania mali za marehemu kwasababu nao ni sehemu ya mali/mifugo yake

    Mchungaji huyu akitoa maoni yake juu ya watoto wa marehemu kugombea mali ameponda vikali. Amesema watoto ni mifugo/ mali ya marehemu hivyo hawana chao kabisa kwenye mali za marehemu. Mifugo inadai urithi wa mifugo wenzie? Amehoji mchungaji huyo Wapeni salaam watoto wa Mrema na mzee Mengi
  9. JamiiForums Tanzania SoC02 Hekima ya mchungaji

    Palitokea mtu mmoja afahamikaye kwa jina la Marco Marcusio, kijana huyu mwenye asili ya kinyamwezi akiwa ni chotara wa kimakabila Babaye mnyamwezi mama yake mnyakyusa, kijana huyu alizaliwa Tabora liliko chimbuko la kabila la Baba yake. Na kwa kuwa Baba yake alipata kisomo cha...
  10. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mchungaji aliyeshtakiwa kwa kujaribu kulawiti mtoto afikishwa mahakamani

    Harold Gamalieli Mkaro ambaye ni Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Makedonia Lubaga Manispaa ya Shinyanga amesomewa shtaka la kujaribu kulawiti mtoto wa miaka 6 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Shinyanga. Agosti 24, 2022 Mchungaji huyo alifutiwa kesi namba 107 na...
  11. JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Mchungaji Mchawi (01)

    Story: MCHUNGAJI MCHAWI. Mtunzi: Nellove😎 Episode: 01 WhatsApp: 0759941164 "Naitwa Juliana. Napenda kumshukuru sana Mungu mwenyezi kwa kunitendea muujiza mkubwa maishani mwangu. Sikuwahi kutegemea kama Mama yangu ataweza kutembea tena lakini kwa uwezo wa Mungu anatembea sasa" ilikuwa sauti ya...
  12. JamiiForums Tanzania Mume kizimbani kwa kutishia kumuua mke kisa kupeleka chakula kwa mchungaji

    Japo kutishia kuua ni kosa, ila alilofanya huyu dada ni ujinga na upumbavu kwa wakati mmoja. Hatukatai mtu kumtolea Bwana sadaka ila aina hizi za sadaka ni dhambi si sadaka tena. --- Joseph Moses dereva wa ‘bodaboda’ mkazi wa Mbeya anayekabiliwa na shtaka la kutishia kumuua mkewe kwa maneno...
  13. JamiiForums Tanzania Ruto Alikuwa Ni Mchungaji VIDEO | PICHA

    Picha za zamani za Ruto akiwa katika kazi ya kutangazwa Injili
  14. JamiiForums Tanzania Mchungaji kusafisha nyota, hii imekaaje wadau?

    KUOSHWA KWA NYOTA ILIYOCHAFUKA..! Ayubu 25:5-6 Tazama, hata mwezi hauangazi, Wala nyota si safi machoni pake;Siuze mtu, aliye mdudu! Na mwanadamu, ambaye ni buu! Andiko hili linatuonesha nyota ya Mtu inaweza Ikachafuliwa na kuonekana si safi machoni Pake katika Ulimwengu wa roho!! Hapa biblia...
  15. JamiiForums Tanzania Masanja Mkandamizaji: Msinifananishe na Mchungaji wenu

    Masanja Mkandamizaji ameulizwa anahisi kwa nini watu wengi hawamuelewi kwa namna yake ya mahubiri amesema kuwa sababu kubwa ni kuwa kuna watu wengi wanatamani awe kama Mtumishi wao yaani afanane nao mpaka mavazi. Amesema “Msinifananishe na mtumishi wenu bali mwambieni mtumishi wenu afanane na...
  16. JamiiForums Tanzania Mchungaji huyu nitampataje?

    Naomba kama kuna mtu anafahamu mchungaji huyu jina lake, mkoa anaopatikana, kanisa analo hudumu au hata mawasiliano yake anisaidie. Natanguliza shukrani Msikie kidogo hapa 👇
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Kimaro: Viongozi makini hawahitaji Chawa wa kuwasifiasifia bali wanawapenda wakosoaji wanaowaambia ukweli ili wajiimarishe

    Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema taifa letu Chawa wamejaa kila kona na kuwapofusha macho viongozi wetu. Dr Kimaro amesema Chawa wako kila mahali kuanzia kwenye vyama vya siasa hadi makanisani. Mchungaji Kimaro anasema Kiongozi makini huwapenda wakosoaji kwa sababu wanapomueleza...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Sekunde ya 10 kwa Mchungaji Gwajima

    Kuhusu lile treni letu mkuu..au ulimaanisha treni la kwenye betting....pia ma guru na magwiji wa mambo mbalimbali.. Mnieleweshe sekunde ya 10 weka pause(mkono wa kulia)kwenye hii video kiongozi wetu alimaanisha nini....kwamba nae ndio walewale...maana hiyo mano carnuto haijajileta yenyewe...
  19. JamiiForums Tanzania Mchungaji amvisha pete mjane msibani kabla ya kumzika mumewe

    Africa ya Kusini Huko, Pastor Aliamua Kum propose Mjane pale pale msibani kabla hata ya msiba kuisha. Amedai Hiyo itamsaidia pia ku heal kutoka kwa majonzi. Pastor alisikia akimshukuru Mungu haswa kwa kuwa karibu na mjane katika wakati mgumu Akimuuguza Aliyekuwa mme wake, Shirika la habari...
  20. JamiiForums Tanzania NIMEULIZWA SWALI: Ungekuwa Mchungaji au Sheikh ungefungisha hii ndoa?

    Nilijaribu kujibu hivi... 🎯 Muda umebadilika sana, naweza kukubali au kukataa ila nitakuwa nimebakizwa nyuma sana (old stone) japo mambo ya Mungu hayapitwi na wakati.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…