Kwa wafatiliaji wa kwaya ya Redemption Ministers Melody watakuwa wanamfahamu dada huyu.
Binti anaitwa Claire Mary amemwagiwa Tindikali na mtu anayedaiwa kutumwa na Ex boyfriendwake aitwaye Elvis !!
Taarifa zilizopo hadi sasa ni kwamba:
Claire ni msichana mwenye umri wa miaka 24, mrembo na...
Mwanadada alihaamua kujipiga Selfie Na Mume Wake Aliyefariki , Na Kumtumia Mpenzi (mchepuko)Wake Kama Uthibitisho na kumwambia.
Hatimaye tumekua huru kwenye mahusiano yetu mapya.. kabla ya hapo mdada huyu aligundua kua mume wake Hana maisha marefu na hakuna kitu anaweza kumfanyia tena kwaio...
Kwa uzee wangu huu wa miaka 72, sijawahi kuwa na watoto mapacha ingawa huwa nawatamani sana.
Sasa majuzi, mchepuko wangu ukanijulisha ana ujauzito wa watoto mapacha...
Binafisi huwa najiuliza mwanaume unawezaje kutoboa miaka hadi 50 kwenye ndoa huna mtoto nje ya ndoa na hata mchepuko huna yaani niwewe na ulokole wewe na usabato bahati mbaya kabisa unakuta mke wako kashakuambia kuzaa mwisho watoto 3 tu.
Na baada ya hapo kafunga uzazi na wewe bila hila...
Times have really changed.
Huko nyuma ikitokea baba/mama akawa na mchepuko basi alikuwa infanyika siri kubwa na michepuko walikuwa treated kwa nafasi ya makahaba waliochangamka. Lakini michepuko nayo ilijua nafasi, most of them hawakutaka kuvuka mstari wa boundary yao.
Ila sasa hivi, michepuko...
Mzuka wana jf! Hii shida yangu inaweza kuonekana kama maigizo lakini si maigizo ni ukweli kabisa, japo mimi ni mwanaume ila nimefeli kutatua hili tatizo naombeni mawazo mapya.
Mke wangu alisafiri kwenda kwao mwezi uliopita, kuna shida fulani ilimpeleka huko na kupelekea kukaa siku zote hizo...
Wakuu,hamjambo?
Nina mchepuko wangu juzi kati akanitambulisha kwa shosti wake flani hivi,ebana huyo shosti yake ni pisi sio ya nchi hii,udenda ukanitoka asee,nikavizia mchepuko wangu kaenda toilet fasta nikachukua number,sasa nimeishaipigia kuisaundisha ila inanizingua inaniambia eti me ni...
Hata kama umeoa au umeolewa kuna mtu ukikutana naye huwa kuna nguvu inawakutanisha kinguvu kutokana na muingiliano wa tabia na haiba mlizonazo mnajikuta mnazama penzini tena penzi zito kweli kweli bila kujali madhara yake nje ya upeo wa fahamu zenu.
Mimi wakati nimeshaoa niliwahi kukutana na...
KAA MBALI NA ZINAA
Michepuko ni malaya waliochangamka, dada wa shetani na mashine ya ilioundwa kutoka sodoma kwa ajili ya mapenzi thus kuhusu aibu na majuto, sahau kabisaaa.
Anafurahia kwa maana anajua anatikisa ngome ya ndoa ambayo anaona inapewa promo sana huku yeye dunia yake inaonekana ya...
Mwanzo wakati sina mpango wa kando nilikuwa napata shida sana ku-handle ndoa yangu na ukizingatia shemeji yenu ni mfanyakazi basi muda wote nilikuwa na kihoro cha kuchapiwa na kuhisi siheshimiki kama baba.
Nilikuwa naona nafasi yangu ni finyu sana na pia wivu uliopitiliza ulitamalaki moyoni...
habari wadau. Poleni na majukumu ya kilasiku.
Stori ipo hivi kuna dada fulani alijilengesha nikaomba mzigo akanikubalia tukaenda kupima tukakuta tupo fresh tukaanza kukutanisha vikojoleo.
Kumbe ni mke wa mtu mimi nilikuwa sijui.nilikuja kujua baadae .nikamuuliza kama kweli nimke wa mtu...
Habari wadau....tunakoishi Mwanza hasa maeneo ya kuanzia Nyegezi na kuendelea mbele njia ya kwenda Shinyanga tunateseka sana na Barabara hiyo hasa mchepuko wa SGR Barabara imejaa mashimo pamoja na mbavu za mbwa (Rasta) kiasi kwamba magari yanakimbia taratibu sana hasa nyakati za asubuhi na jioni...
Wapendwa wamiliki wa Guest House na Lodge kote nchini,
Kwa heshima zote, nyenyekevu, na kwa maumivu ambayo hayawezi kuelezwa kwa lugha ya kawaida, tunawaomba kwa moyo wa dhati MUONDOE MAGRILL MADIRISHANI!
Hili siyo ombi la kawaida. Huu ni wito wa dharura kutoka kwa sisi watu wa vishughuli vya...
Niaje WanaJamiiForums
Hivi pale inapotokea Baba yako Mkwe anakugumia upo na mchepuko unapaswa ufanye nini?
Na kikawaida ni ipi response ya Baba Mkwe baada ya kutoka eneo hilo
Hapo zamani ulikuwa unakuta Mzee ana wanawake zake wa ndoa wa wawili au watatu halafu ana mchepuko wake mmoja.
Huo mchepuko unajulikana nyumbani mchepuko unamheshimu Mzee kama Mume mchepuko unaheshimiana na wake wa Mzee.
Na kizuri zaidi mchepuko unatulia na Mzee wanazaa watoto kama Mume...
Ukija jua mkeo naye nimchepuko wa bossy wako unapofanyia kazi nayeye ndio alimtafutia kazi .
Umemzalisha mchepuko wako mtoto mmoja na mke anajua unamtoto njee maana bossy wako ndio msiri wako mkubwa utafanyaje??
Nahuwezi kumuambia bosy wako achane na mke wako maana anasiri zako kibao pia au...
GHARAMA ZA KUTOKA NA MCHEPUKO
1.Usafiri 10,000
2.Chumba Lodge 30,000
3.Chakula + Vinywaji 30,000
4.Asante Kwa Kuja 50,000
Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii 120,00 Uone Utakavyo Ombewa Na Kupata Zaidi Na Zaidi.
Huu Ujinga wa Mtu Akiwa Mpenzi, Mchumba, Mchepuko, Mke au Mume Basi Unakuwa na Haki Miliki ya Uhai na Uhuru Wake Ulianzia Wapi?
Katika ulimwengu wa sasa, kumekuwa na mtazamo wa ajabu na potofu sana kuhusu mahusiano ya kimapenzi. Mara nyingi, watu wanapoingia kwenye mahusiano, iwe ni ya uchumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.