Hili liko wazi
Samia Mzanzibar akitoka zamu ya Rais kutoka Tanganyika anaingia mwamba kabisa Mchengerwa
Mohamed Mchengerwa anatoka kwenye ukoo wa wanasiasa kumbuka bibi yake ni Bibi Titi mwanaharakati na muasisi wa uhuru wa Tanganyika.
Mchengerwa amehudumu kama mbunge wa Rufiji na Waziri...
Waziri wa Afya Mohamed Mchengerwa amekabidhiwa tuzo ya ZIKOMO katika kipengele cha Best Zikomo Member of Parliament of the year Africa & Caribbean 2025.
Waziri Mchengerwa amekabidhiwa tuzo hiyo na Katibu Mkuu cha Muziki wa Dansi nchini Tanzania, Abdul Malick Anania Sangura ambaye alipokea kwa...
https://www.youtube.com/live/46Sy9QdFj7Y?is=de5o1xbYrhPjwSgH
Yupo Live TBC. Anawaambia wana habari wawe makini wanaporipoti hiyo taarifa ni kinyume na sheria za nchi
Naona Dudubaya kachangiwa
Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa ameweka wazi, kupitia Serikali hii chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa hakuna maiti inayozuiliwa katika vituo vyote vya afya pamoja na hospitali.
Waziri Mchengerwa amesema hayo leo Februari 02, 2026 kwenye kikao kazi na Wahariri wa Vyombo vya...
Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa, ametoa wito kwa waandishi wa habari za uchunguzi kuendelea kumulika changamoto na mianya ya ubadhirifu wa fedha inayoweza kuwa kikwazo katika utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote.
Akizungumza Februari 2, 2026, katika kikao kazi na wahariri wa vyombo vya...
Kinachosumbua mawaziri wengi kwa sasa ni namna gani wanafanya shughuli zao kwa mujibu wa matakwa ya mgawanyo wa madaraka na utendaji kazi.
Wengi wa mawaziri wanaacha kujikita katika kubuni na kushawishi mabadiliko ya Sera na muelekeo wake na badala yake wanajigeuza kuwa watu wa kurepond kwenye...
Akizungumza katika kikao kazi kilichowakutanisha Watendaji Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Afya pamoja na watumishi wa sekta ya afya wa Mkoa wa Dodoma Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa Mohamed Mchengerwa ameeleza kuwa Kutoa huduma kwa wananchi si kitendo cha hisani, ni Haki kwakuwa...
Kurasa rasmi za Serikali zimekuwa jukwaa la familia ya Samia?
Kurasa rasmi za serikali na wizara zake katika mitandao ya kijamii kama Facebook, X (zamani Twitter) na Instagram ziliundwa kwa lengo moja kuu: kuwahudumia wananchi kwa kutoa taarifa za sera, huduma, tahadhari na maamuzi ya serikali...
Mchengerwa ni mhuni, hakuna aliyechezea mashine. Baada ya kelele nyingi wameenda kuazima mashine za ziada za hospitali moja binafsi hapa jijini (jina linahifadhiwa wasije kutekwa).
Mchengerwa anaficha aibu kwa kujifanya anapiga mkwara wasaliti. Subirini muone kama kuna mtu yeyote ataadhibiwa...
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amemwagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kufanya uchunguzi na kuwasilisha ripoti kuhusu mashine iliyoharibiwa kwa uzembe wa baadhi ya watumishi wa katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI).
Bima ya Afya kwa wote itabaki kuwa alama kuu ya mhe.Rais Samia katika Taifa letu.
ameipambania hadi tumepata sheria .
Chonde chonde waziri mpya wa Afya kamalizie jambo hili ukiweka akilini kipato cha watanzania wa hali ya chini... hii ni zawadi kwangu na watanzania wengi wanaoipigania...
Uteuzi wa mtoto na mkwe wa Rais Samia Suluhu Hassan katika baraza jipya la Mawaziri, umezua gumzo na maswali mengi.
Ingawa Rais Samia si rais wa kwanza au pekee – barani Afrika au hata kwingineko duniani kuchagua mtoto au ndugu wa karibu katika utumishi wa juu wa serikali
Je Viongozi kuteua...
Are the people advising the president allergic to history books? Do they scroll past every comment on Instagram with their eyes closed?
Because apparently, nobody has had the genius idea to mention that giving your kids or relatives public office is the fastest ticket to the city of conflict of...
Nafikiri ndio sababu ya msingi ya mbavu nene akili kisoda kupelekwa wizara ya afya.
Amebeba ajenda muhimu moja tu, nayo nikupoteza ushahidi wa idadi za vifo na miili ya wahanga wa Mo29!!
Naendelea kukusanya ushahidi angalia body language yake anaonyesha Ni moja walichochea mauaji?
Huyu ni mkwe wa Samia
Poleni Sana wafiwa wote tutaikomboa Tanganyika kutoka kwa wauni Kama hawa
Najuwa kuwa ni mkwe wako na una msifu kuwa ana kifua kikubwa lakini uwezo wake kiakili (IQ) ni mdogo.
Mwaka jana alitumia mbinu zile zile za Magufuli za mwaka 2019 kuharibu uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Na huo uchaguzi ndiyo uliozaa No Reforms No Elections. Kama CHADEMA wangetendewa haki basi...
Mgombea ubunge wa Rufiji wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mohamed Mchengerwa amewasilisha maombi ya wananchi wa jimbo hilo kwa mgombea mwenza wa urais wa chama hicho, Dk Emmanuel Nchimbi la Rufiji kuwa mkoa ili kurahisisha huduma.
Mchengerwa ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za...
Mkwe wa Samia naona anavyoendelea kuwaada wananchi wa Rufiji
============
Mgombea Ubunge wa Rufiji kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)Mohamed Mchengerwa ameweka wazi kuwa Wananchi wa Rufiji wanakwenda kwenye Uchaguzi bila hofu kutokana na Maendeleo yaliyofanyika Jimboni humo.
Mchengerwaameeleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.