Pori la Mbweni na Ununio ambayo ni sehemu Moja kijiogrofia au yanapakana yameukuwa tishio Kwa maisha ya watu
Mfano
1. Mzee Ali Kibao alitekwa na baadae mwili wake ukakutwa umetupwa kwenye pori hili
2. Makaburi ya halaiki
CNN ilihabarisha ulimwengu kuwepo Kwa makaburi ya halaiki kutokana na...