mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Sabalheri mbunge wangu Gwajima

    Nichukue nafasi hii kumtakia kheri na kumpongeza mbunge wangu wa Kawe Askofu Gwajima. Ukweli misingi ya siasa zaleo Kwa nchi nyingi Afrika zinahitaji rohonyeusi, uongo,uchawa,mihemuko na kutizama upepo unapoelekea na wakati mwingine ulozi. Natambua Askofu kujishirikisha na mambo hayo ni kazi...
  2. PreGE2025 Yani bado kwa Karne hii Mbunge Babu Tale Anagwa Vitenge Vya CCM Jimboni Kwake, Hii ni kukosa Sera za Kushawishi Wananchi

    Wananchi Wahoji Kama Karne hii Bado Watu Wanaongwa Vitenge Na Khanga Tazama video hii wananchi wakipewe Vitenge huko jimboni na babu TALE
  3. Mbunge wangu hajawahi kuongea wala kutuliza swali lolote Bungeni Kwa miaka yote

    Mbunge wetu kutoka Jimbo la Kyerwa, Innocent Bilakwate,amekuwa bungeni Kwa mihula miwili, Vipindi vyote hajawahi kuchangia hoja au mawazo yoyote bungeni, Mbunge wetu hajawahi kutuliza swali la msingi wala la nyongeza bungeni, Tukimuuliza vipi mbona bungeni hatukusikii na bunge liko live...
  4. Kilimanjaro ndio mkoa huwezi kusikia Mbunge anachaingiwa pesa za kuchukua Fomu, Wachaga sio Mafala hata kidogo

    Kwenye maendele bila shaka wote tunajua Kilimanjaro iko juu sana na wale hawajaanza kuwa na maendelo leo ni tangu enzi za ukoloni. Kwenye maendeleo ya watu achana na maendeleo ya vitu basi Wachaga wanapiga fimbo mikoa karibia yow Tanzania hii. Ila kwa Wachaga huwezi sikia wachaga wanakaa...
  5. PreGE2025 Mbunge Chilo awasaidia wananchi wake Kukuna nazi na Kupeta Mchele

    Mwaka wa uchaguzi na mambo yanazidi kunoga sana. Hakika tutayaona mengi tu! Mbunge kupitia jimbo la Kusini Unguja Ndugu Khamis Hamza Chilo akiwasaidia wananchi wake Kukuna nazi 🥥 na Kupeta Mchele.
  6. R

    Tanga-Kibaoni - Kilare road: Mbunge Ummy Mwalimu, 15 Billions zimeishia wapi?

    Ulitutangazia kuwa serikali imetoa bilioni 15 kujenga kipande hicho cha barabara. Mchina/MKANDARASI alikuja siku mbili tu, akaweka mambo/vijiti pembeni kuainisha upana wa barabara na vifusi kama 50 akaondoka. Hajarudi tena KULIKONI?
  7. Picha ya mbunge bashiru bungeni inaweza kutupa nini kilichopo bungeni

    Hapa ndio ufahamu kuwa CCM imejaza vilaza na propaganda zao. Bungeni unaweza kuona mpita njia anauliza mpita njia kuwa na wewe unapita.
  8. Mbunge Erick shigongo:Grader limesafiri kwa miaka 4 kufika jimboni

    Naona sasa 2025 kila mtu wa ccm anaweza kuja na ukora wake. Huyu mbunge erick shigongo kwanza nilianza kumuona muongo na vitabu vyake kama kile cha raisi anamtaka mke wake. Sasa jimboni ana wadanganya kuwa greda lao limechukua miaka 4 kufika jimboni na lishafika kwa uchaguzi.
  9. PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

    "Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa...
  10. M

    PreGE2025 Mbunge Mashimba Ndaki akabidhi Magari ya wagonjwa Malampaka na Mwabayanda jimboni mwake

    Makabidhiano ya magari hayo yamefanyika kwa nyakati tofauti tofauti katika vituo hivyo yamefanywa na Mbunge wa Jimbo la Maswa Magharibi, Mashimba Ndaki. Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo,mbunge Ndaki amewataka wananchi na waganga wafawidhi wa vituo hivyo kuyatunza magari hayo na kuyawekea...
  11. K

    Kwa karne ya sasa, Mbunge ni vema awe na kisomo cha digrii ya kwanza

    Tuko kwenye karne ya 21 na dunia ya utandawazi bado unakuta kuwa sifa ya kuwa Mbunge ni kusoma na kuandika. Hili ni kosa kubwa sana. Tuchukue mfano umemteua Mhe. Mbunge awakilishe nchi kwenye kongamano na yeye ndiyo atachokoza mada kwenye kongamano hilo. Kweli Mhe. mbunge ambaye anajua...
  12. PreGE2025 Dudubaya: Katiba imeruhusu kuwa na wabunge wajinga

    Msaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba. Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu...
  13. Mbunge Ghetto vs Watanzania Wanaojua Kujielewa – Taifa Linaangamia

    Yani leo hii tunaamka asubuhi, tunakuta msomi wa vichochoroni—mtu ambaye labda hata hana basic comprehension ya civic responsibility—anawaita Watanzania “kenge” eti kwa sababu amepewa nafasi ya kusema kwenye jukwaa la heshima kama Bunge? What the actual f*ck? Watu tunaomwaga jasho, tumetoka...
  14. Tuone picha ya Chuo alichosoma Mbunge aliwaamuru POLISI kumaliza KENGE

    Sina maneno mengi
  15. Kigezo cha elimu walau ya Diploma kiwe sifa ya kuwa Mbunge

    Kwa kweli nimijikuta nikiona aibu kubwa, wala sio Hasira kwa namna upeo wa viongozi wetu ambao ni Wabunge. Wanavyojibu hoja za Mbunge wa KAWE, ni aibu kwa kweli sio kutia Hasira tu. Mzee TARIMBA ni aibu kwa kweli. Mi nadhani wapo wenye upeo mdogo lakini kwa kufunga vinywa vyao wameonekana wana...
  16. Mtu aliacha Shule Darasa la 2 anataka kuwa Mbunge? Tutafakari vigezo vya kugombea Ubunge

    Juzi aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, alinukuliwa akisema: “Mtu aliacha shule darasa la pili anataka kuwa mbunge? Mtu asiyejua hata neno moja la Kiingereza awe mwakilishi wa wananchi?” Hii kauli imeibua mjadala mpana kuhusu sifa za msingi zinazopaswa kumfanya mtu astahili kuwa...
  17. PreGE2025 Mbunge Mtenga awahakikishia wananchi Mtwara kuanza kwa ujenzi wa stendi kuu ya mabasi Julai, 2025

    Mbunge wa jimbo la Mtwara Mjini Hassan Mtenga amesema kuanzia Julai 2025 serikiali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan inakwenda kumaliza kilio cha wananchi wa mkoa wa Mtwara kwa kuanza ujenzi wa stendi ya kisasa ya mabasi mkoani humo. Akizungumza wakati wa ghafla fupi ya...
  18. Mbunge apendekeza Wanaume wanaolawiti na Kubaka Wahasiwe kabla ya kufikishwa Mahakamani

    Mbunge Viti Maalum anayewakilisha Vyuo Vikuu, Dkt. Tea Ntala apendekeza Wanaume wanaolawiti na kubaka wahasiwe kabla ya kufikishwa Mahakamani
  19. PreGE2025 Mbunge Cicil Mwambe: Jimbo la Ndanda limetekeleza ilani ya CCM kwa asilimia 85

    Mbunge wa Jimbo la Ndanda, Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, Mheshimiwa Cecil David Mwambe, amesema kuwa hadi kufikia sasa, utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2020 umefikia asilimia 85 katika jimbo hilo. Akizungumza leo Mei 25, mbele ya mabalozi wa mashina wa CCM katika...
  20. Wadau Hii CV ya Mbunge mnaionaje

    Huyu Mbunge aliyeita watu ni Kenge kumbe katumia miaka 27 kupata Diploma. Ila nadhani hakuna Bunge duniani lina vilaza kama hili.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…