mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Napata wasiwasi wabunge wa CHADEMA wanataka kuwafanya nini! Serikali, Bunge wote wanaacha kujadili bajeti wanawajadili

    Kuna anayefikiri kama mimi? 1. Walipoondoka bungeni spika alifurahi na kusema hata wasipokuwepo ccm wanatosha kupitisha mambo yao na cdm hawana madhara yoyote na hawajavunja sheria wala kanuni yoyote. 2. Akaja Rais Magufuli akaonyesha kuumia sana kwa wao kuondoka akatoa amri wasilipwe posho...
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kishapu, Suleiman Nchambi (CCM) mbaroni kwa kukutwa na Silaha 16 na risasi 536

    Polisi mkoani Shinyanga wanamshikilia Mbunge wa Kishapu (CCM) Suleiman Nchambi kwa tuhuma za kukutwa na silaha 16, risasi 536 pamoja na nyara za Serikali == Jeshi la polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Mbunge wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga Mhe. Suleiman Masoud Suleiman maarufu Suleiman...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mbunge wa Vunjo mh Mbatia ndio mpinzani mwenye uzalendo

    Rais Magufuli amempongeza mbunge wa Vunjo mh Mbatia ambaye ni mwenyekiti wa NCCR Mageuzi kwa namna anavyofuatilia suala la Corona na kuishauri serikali. Rais Magufuli amesema mara kadhaa mh Mbatia amekuwa akimpigia simu na kumtumia Meseji za kumtia moyo katika haya mapambano. Chanzo: Channel ten!
  4. JamiiForums Tanzania Heri ya siku ya kuzaliwa Mh Sugu , Mbunge uliyechaguliwa kwa kura nyingi kuliko Wabunge wote Africa , Mbeya inakutegemea mno

    Wewe kijana Mungu akupe Maisha marefu mno , umeileta heshima kubwa sana Mbeya , umeiondoa kutoka kwenye utumwa wa wananchi kuabudu viongozi na sasa tunaona viongozi wakipiga magoti kuwaabudu wananchi . Wewe ni Rais wa Mbeya , tunakuahidi lundo la kura OCTOBER ili uendelee kuwanyuka ngumi za...
  5. JamiiForums Tanzania TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

    Kwa mujibu wa mbunge Godbles Lema na Waziri Kigwangalla ni kuwa mbunge wa Sumve Richard Ndassa amefariki dunia mapema leo. Aidha taarifa zinasema kuwa Ndassa amefikwa na umauti baada ya kuanguka ghafla ndani ya viwanja vya bunge leo. Inadaiwa pia kuwa ndani ya hoteli aliyokuwa akiishi...
  6. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini kuondoka CHADEMA na kujiunga NCCR Mageuzi

    Mbunge wa Rombo, Joseph Selasin ametangaza kuachana Chama Cha CHADEMA na kujiunga na NCCR - Mageuzi baada ya kumaliza kipindi chake cha Ubunge Awali, kulikuwa na taarifa zinazoeleza kuwa Mbunge huyo ameonesha kusikitishwa baada ya kuondolewa bila kupewa taarifa kwenye 'Group la WhatsApp' la...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Press conference ya Mbunge Selasini leo: Intelejesia haina wasiwasi na mkusanyiko

    Wanachama na wapenzi wa CCM duniani kote na wandishi wa habari macho na masikio leo yapo Dodoma ambapo katika hotel ya St. Gasper bwana Selasini atakuwa na mkutano KUELEZEA JINSI CHADEMA WALIVYOKATAA KUMUUNGA GROUP LA WHATSAPP. Mkutano huo ni wa muhimu sana haswa UKICHUKULIA INTELEJENSIA YA...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Mbunge yoyote anayejihisi ana dalili za Corona ajifanyie Self Isolation na kuripoti hospitali haraka sana!

    Spika wa bunge mh Ndugai amesema endapo mbunge yoyote anajihisi au atajihisi ana dalili za maambukizi ya Covid 19 kama zilivyoainishwa na wataalamu wa afya basi ajifanyie self isolation na kuripoti hospitali haraka sana. Spika Ndugai ametoa mwongozo na tahadhari hiyo Bungeni leo hii na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…