mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Nicodemus Maganga: Siasa Zisitugombanishe - Uchaguzi wa Diwani katika Kata ya Isebya

    Mbunge Nicodemus Maganga: Siasa Zisitugombanishe - Uchaguzi wa Diwani katika Kata ya Isebya Mbunge wa Jimbo la Mbogwe Mkoani Geita Mhe. Nicodemus Maganga amewataka wananchi wa Kata ya Isebya kujiepusha na maneno ya uchonganishi yanayoweza kusababisha uvunjifu wa amani. Mhe. Maganga ametoa wito...
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani: Boresheni Huduma za Afya kwa Wazee

    Mbunge Cherehani: Boresheni Huduma za Afya kwa Wazee Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani amemuomba Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Ushetu Athuman Matindo kuboresha huduma kwa wazee ambao wanavitambulisho maalum kutoka ofisi ya serikali ya kijiji ili wapate huduma kwa wakati. Amesema...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ni HAKI mbunge kuwauzia wapiga kura jimboni maji au sukari?

    Salaam ,Shalom!! Kwa Mfano hapa Dar Es Salaam na maeneo mengine penye uhaba wa maji na shida ya kupatikana maji, Ni HAKI Kweli mbunge wa kuchaguliwa na wananchi kutuuzia wananchi maji kupitia kampuni zake? Shida ya maji itakuja kwisha Kweli? Ni sawa Kweli wabunge kupitia kampuni zao kupewa...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge Norah Mzeru awataka wanawake kumuunga mkono Rais Samia

    MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Mzeru, amewataka wanawake katika maeneo mbalimbali hapa nchini kuwa mstari wa mbele kumuunga Mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Serikali yake kwa kazi kubwa anayoifanya kuleta maendeleo kwenye jamii na...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge Fyandomo Awataka Wanawake Kuacha Uoga

    Mbunge Fyandomo Awataka Wanawake Kuacha Uoga MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Mhe. Suma Fyandomo amewataka wanawake kuwa mstari wa mbele kugombea nafasi zozote zinapojitokeza na wasisite wala kuogopa kwani wao ni jeshi kubwa na nguzo katika familia. Fyandomo amesema hayo wakati wa...
  6. JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani akutana na Walimu Shule za Msingi Ushetu

    Mbunge Cherehani Akutana na Walimu Shule za Msingi Ushetu Walimu wa shule za Msingi katika Halmashauri ya Ushetu Mkoani Shinyanga wametakiwa kuongeza ubunifu na jitihada katika ufundishaji ili kuongeza hali ya ufaulu wa wanafunzi kutoka daraja C hadi kufikia daraja A. Wito huo umetolewa na...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Santiel Kirumba agawa taulo za Kike, Mashuka na sukari zahanati ya Bulige katika Maadhimisho ya Wanawake Duniani

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Santiel Kirumba ameongoza wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani huku akigawa taulo za kike na madaftari kwa watoto wanaotoka katika mazingira magumu, kugawa sabuni na sukari kwa wanawake wajane...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Norah Mzeru Aongoza Wanawake Kupanda Miti Mvomero Katika Maadhimisho ya Wiki ya Wanawake Duniani

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru ameshiriki maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa kupanda miti na kugawa mashuka katika Wilaya ya Mvomero. Siku ya Wanawake duniani huadhimishwa Machi 08 ya kila mwaka. Malengo ya maadhimisho haya ya Siku ya Wanawake duniani...
  9. JamiiForums Tanzania Wanalipwa na nani kumchafua Mbunge Moshi Mjini na Meya

    Kuna mtandao wa kikundi cha vijana kinatumia mitandao ya kijamii yakiwamo magroup ya WhatsApp kumchafua mbunge wa moshi Mjini,Priscus Tarimo pamoja na meya wa manipsaa ya moshi Zuberi Kidumo. Nauliza tu vijana hawa wanalipwa na nani na katika kuwachafua huko wanapata nini na malengo yao ni yapi...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Martha Mariki atoa mashuka 100 katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi

    Mbunge Martha Mariki Atoa Mashuka 100 Katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Mariki kupitia Chama cha Mapinduzi [CCM] Mkoa wa Katavi ametoa Shuka 100 kwaajili ya kuwasidia wagojwa katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi na Vituo vya afya...
  11. JamiiForums Tanzania Uleigwanan wa Lowassa wadaiwa kugombaniwa na wawili wa familia moja ya Ole Shangai

    Ni Emmanuel Ole Shangai na Joseph Ole Shangai. Wamasai wamkataa Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Ole Shangai kutaka kujiapisha kuwa Leigwanan. Bonyeza link chini kusikiliza SAUTI ZA WAMAASAI WAKIPINGA EMMENUEL OLE SHANGAI KUJIAPISHA ULEIGWANAN https://www.youtube.com/watch?v=Bx2TDkYrLUc Na...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge Masache awataka waumini kutii mamlaka

    Mbunge wa Jimbo la Lupa Wilaya ya Chunya Mkoa wa Mbeya, Mhe. Masache Kasaka amewasihi waumini wa dini ya kikristo kusoma maandiko ya kibiblia na kuyatendea kazi ikiwemo agizo la kutii wenye mamlaka na kuwaombea kama viongozi wa dini na Serikali. Mbunge Masache amepata nafasi ya kutoa nasaha...
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shanghai anadaiwa kujiapisha kuwa Laigwanan wa jamii ya kimaasai

    Mbunge wa Ngorongoro Mhe. Emmanuel Ole Shanghai anadaiwa kujiapisha mwenyewe kuwa Laigwanan, Uapisho uliohudhuriwa na watu takribani ishirini wa familia yake katika sherehe ndogo iliyofanyika nyumbani kwake katika kijiji cha Enduleni kata ya Ngorongoro wilayani Ngorongoro. Baadhi ya viongozi...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani: Tutumie Nishati ya Gesi Badala ya Kuni na Mkaa Ili Kulinda Mazingira

    Mbunge Cherehani: Tutumie Nishati ya Gesi Badala ya Kuni na Mkaa Ili Kulinda Mazingira Wananchi wilayani Kahama Mkoani Shinyanga wametakiwa kutumia nishati ya Gesi badala ya kutumia mkaa na kuni katika shughuli za mapishi ili kutunza na kulinda mazingira. Wito huo umetolewa na Mbunge wa jimbo...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Edward Lekaita Akabidhi Ambulance Hospitali Ya Wilaya Ya Kiteto na mifuko 900 ya saruji katika kata za Jimbo la Kiteto

    Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara, Mhe. Edward Ole Lekaita amekabidhi Ambulance 🚑 mpya kwa uongozi wa Hospitali ya Wilaya ya Kiteto na kuwataka kulitunza ili liwanufaishe. Vilevile, Mhe. Edward Ole Lekaita amekabidhi Mifuko 900 ya Saruji kwa Kata ya Bwawani (Mifuko 50), AMCOS Matui...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Zubeida Shaib atembelea Miradi ya Elimu ya Jimbo la Mfenesini

    MBUNGE ZUBEIDA SHAIB Atembelea Miradi ya Elimu ya Jimbo la Mfenesini Mbunge wa Jimbo la Mfenesini, Mhe. Zubeida Khamis Shaib amefanya ziara katika kukagua miradi ya elimu ya madarasa yanayokarabatiwa fedha za mfuko wa Jimbo katika Skuli ya Msingi Kihinani Pia, Mhe. Zubeida Khamis Shaib...
  17. JamiiForums Tanzania MBUNGE CONDESTER Atembelea Eneo Lenye Madini ya Sodalite Kukagua Utafiti Unaoendelea Kijiji cha Chindi

    MBUNGE CONDESTER Atembelea Eneo Lenye Madini ya Sodalite Kukagua Utafiti Unaoendelea Kijiji cha Chindi Mbunge wa Jimbo la Momba, Condester Sichalwe (Mundy) ameambatana na Afisa Madini mkazi Mkoa wa Songwe, Chone Malembo, ametumia mtubwi kuvuka mto Nkana kuelekea Kijiji cha Chindi kwenda...
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge ataka wageni wa Kuwait, walipie ushuru wa hewa wanayopumua

    Hii ingesemwa uzunguni, mngesikia makelele hadi kuzimu...hawa waarabu ni makatili sana na mnavyopenda kuwaabudu huku mkivaa mikanzu na kuotesha mindevu mfanane nao... Kuwait MP calls for foreign workers to be charged “for the air they breathe” Safa Al-Hashem is among a group of MPs calling for...
  19. JamiiForums Tanzania Hoja za Mbunge wa Serengeti zifanyiwe kazi

    Naomba nende kwenye mada moja kwa moja. Leo Tarehe 27 febr Mh.Khasim Majaliwa, (Mb)na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya ziara wilaya ya Serengeti. Katika ziara hiyo, Mh Waziri Mkuu alifanya kikao na watumishi wa Umma, Katika kikao hicho, baadhi ya viongozi wamejikuta...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge Mpembenwe: Jimbo la Kibiti Mpaka Juni 2023 Lilipokea Bilioni 31 za Miradi ya Maendeleo Kutoka kwa Rais Samia

    MBUNGE MPEMBENWE: JIMBO LA KIBITI LILIPOKEA BILIONI 31 ZA MIRADI YA MAENDELEO KUTOKA KWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN "Katika Jimbo la Kibiti, Rais Samia Suluhu Hassan ametupatia fedha nyingi za maendeleo. Juni 2023 nilisoma utekelezaji wa Ilani, tulipewa Shilingi 31,634,560,924.43. Sekta ya Elimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…