mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbunge ataka kusitishwa kuhamasisha matumizi ya pombe na sigara

    Leo Mbunge Mwantumu wakati akitoa hoja yake Bungeni ameiomba serikali kusitisha kuhamasisha matumizi ya Pombe na tumbaku ( sigara). Hoja yake ikajibiwa na Naibu Waziri wa Afya - Dkt.Godwin Mollel kwa kusema kweli mchakato umeanza lakini utaona kwenye sigara na kwenye mambo mengine kweli...
  2. B

    Mbunge wa Australia atolewa nje ya bunge baada ya kumkaripia Mfalme Charles III wa Uingereza

    Mbunge Lidia Thorpe wa Australia ametolewa nje ya Bunge la Nchi hiyo baada ya kupiga kelele na kumfokea Mfalme wa Uingereza, Charles III alipolitembelea Bunge hilo jana Jumatatu. Thorpe alisindikizwa nje na Walinzi baada ya kupiga kelele akisema hamtambui Mfalme huyo kama Mfalme wake na kwamba...
  3. LGE2024 Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini Ummy Mwalimu, ahimiza wananchi kujiandikisha.

    Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Ummy Ally Mwalimu, amejiandikisha katika daftari la orodha ya wapiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika tarehe 27/11/2024. Ummy ametekeleza haki yake hiyo ya kikatiba katika mtaa wake wa Suji, uliopo kata ya Mzingani, ambapo pia ametumia...
  4. Mbunge Mwanaisha Ulenge katika Mkutano wa Jukwaa la Wabunge Wanawake wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)

    MHE. ENG. MWANAISHA NG'ANZI ULENGE KATIKA MKUTANO WA JUKWAA LA WABUNGE WANAWAKE WA IPU Mhe. Eng. Mwanaisha Ng'anzi Ulenge ameshiriki katika Mkutano wa 149 wa Umoja wa Mabunge Duniani unaofanyika Jijini Geneve, Switzerland Wenye Mada Kuu ya kuunganisha Sayansi na Ubunifu kwa Amani na Kesho...
  5. LGE2024 Vijana Jitokezeni kwa Wingi Kujiandikisha Daftari la Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa - Mbunge Tauhida Gallos Nyimbo

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo amewaomba Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Mwera kushirikiana na Viongozi wao ili waweze kuwaletea maendeleo. Akikabidhi vifaa vya ujenzi ikiwemo Mifuko ya Saruji na Mchanga katika Tawi la CCM...
  6. PreGE2025 LGE2024 Mbunge Tauhida Gallos Akabidhi Vifaa vya Ujenzi Ofisi za CCM Jimbo la Dimani, Magharibi - Zanzibar

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Magharibi (Zanzibar), Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo katika ziara aliyofanya tarehe 09 Oktoba, 2024 Jimbo la Dimani ameahidi kushirikiana na Viongozi wengine katika kutatua matatizo mbalimbali ya Wananchi. Akikabidhi Mchanga na Mifuko ya Saruji kwa Viongozi wa...
  7. PreGE2025 SATIVA: Mbeya Mjini Haina Faida kuwa na Mbunge Ambaye ni Spika

    Anaandika kijana aliyetekwa na kunusrika kuliwa na mamba huko Katavi maarufu kama Sativa. HUU NI MKOA WA MBEYA. NA MBUNGE WAKE NI SPIKA WA BUNGE. Huyu spika yupo kwenye nafasi hiyo ya uspika na unaibu spika kwa zaidi ya miaka 7 sasa. Hapa ndio jimboni kwake, yeye ndie anaesimamia vikao vya...
  8. K

    PreGE2025 Hakuna Mbunge anayeleta maendeleo kwenye jimbo lake, maendeleo yanaletwa na Serikali

    Kumekuwa na udanganyifu wa baadhi ya Wahe. Wabunge wakijitapa huku Majimboni kuwa bila yeye maendeleo kwenye Jimbo lake yasingepatikana. Mfano miradi ya Maji, Elimu, Afya n.k. Tuwaambie ukweli kuwa maendeleo yaliyopo kwenye Majimbo yao yameletwa na Serikali kupitia bajeti ya kila mwaka...
  9. Mbunge Aloyce Kwezi Atoa Milioni 2 Kujenga Choo cha Kisasa Shule ya Msingi Mwamanshimba, Kaliua

    MBUNGE ALOYCE KWEZI ATOA MILIONI 2 KUJENGA CHOO CHA KISASA SHULE YA MSINGI MWAMANSHIMBA Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Mhe. Aloyce Kwezi tarehe 04 Oktoba, 2024 akiwa kwenye mahafali iliyofanyika katika Shule ya Msingi Mwamanshimba, Kata ya Ushokola Wilayani Kaliua. Mhe. Aloyce Kwezi akiwa katika...
  10. M

    Mbunge Uganda ataka Sheria itakayohakimisha wanandoa wanakutana ndani ya miezi 6 baada ya kuoana

    Hii sasa ni ajabu ya Karne; Ina maana kuna waganda wanatumia zaidi ya miezi 6 kabla ya kukutana kimwili baada ya kuoana? Sasa kwa muda huo huwa wanafanya nini? Mzee wetu gentamycin huko Uganda kazi anayo. Wanaojua lugha fuatilia wenyewe --- A Ugandan Member of Parliament has tabled a Bill that...
  11. Mbunge Hamis Taletale Atimiza Ahadi: Aondoa Changamoto ya Maji Chumvi Katika Vijiji vya Mgude na Ngerengere

    Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale ametimiza ahadi yake kwa Wananchi wa kata ya Ngerengare baada ya kufanikisha kupatiwa huduma ya maji baridi ambapo jumla ya matanki matatu yametolewa na Serikali kusambaza maji katika Vijiji viwili vya Mgude na Ngerengere. Kwanzia sasa Vijiji...
  12. L

    PreGE2025 Ally Keissy asema atagombea Ubunge mwakani kwa sababu Mbunge wa CHADEMA hakuna alichofanya

    Ndugu zangu Watanzania, Mbunge wa Zamani Wa Nkasi kaskazini Ally Keissy aliyekuwa na kila aina ya vituko na Mbwembwe ndani ya Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,amesema ya kuwa anajipanga tena kugombea ubunge hapo Mwakani na kwamba hajaondoa dhamira hiyo. Amesema mbunge aliyepo kwa sasa...
  13. Mbunge Florence Samizi Agawa Mitungi ya Gesi 200 kwa Maafisi Upishi 200 Muhambwe

    DKT. FLORENCE SAMIZI AGAWA MITUNGI YA GESI 200 KWA MAAFISA UPISHI 200 MUHAMBWE. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mhe. Dkt. Florence George Samizi amehamasisha wananchi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 27 Novemba, 2024. Katika kuuunga mkono kazi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  14. Mbunge Ndaisaba Ruhoro: Watanzania puuzeni migomo kwa kuwa haina mashiko

    Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. NDAISABA G RUHORO amewaomba watanzania kupuuza watu wachache wanaohamashisha maandamano nchini hasa wale wanaotumia mitandao kufanya vikao vya kichochezi Mbunge Ruhoro aliyasema haya alipokuwa kwenye mkutano wa hadhara, Kijiji cha Kumubuga, Kata ya Nyamagoma...
  15. Mbunge Cherehani: Walimu Tushikamane Kutokomeza Zero Ushetu

    MBUNGE CHEREHANI: WALIMU TUSHIKAMANE KUTOKOMEZA ZERO USHETU Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Emmanuel Cherehani amewataka walimu wa Shule za Sekondari katika Halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga kuongeza jitihada ufaulu kwa Wanafunzi wote ili kutokomeza alama sifuri. Rai hiyo ameitoa jana...
  16. Mbunge Martha Gwau Ahimiza Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia Wilaya ya Mkalama, Singida

    MBUNGE MARTHA GWAU AHIMIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA WILAYA YA MKALAMA, SINGIDA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Marha Nehemia Gwau amefanya ziara Wilaya ya Mkalama na kupokelewa kwa shangwe na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Jumuiya zake wa Wilaya ya Mkalama Mhe...
  17. Mbunge Aloyce Kwezi Azindua Shule Iliyojengwa kwa Tsh. Milioni 398

    Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Mhe. Aloyce Kwezi amezindua Shule ya Usimba Sekondari iliyopo katika Wilaya ya Kaliua ambapo aliambatana na Diwani wa Kata ya Usimba Ndugu Masanja E. Msonde. Wakazi wa Kata ya Usimba walijitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa Sekondari hii ambayo itawapa manufaa watoto...
  18. Mbunge wa Mtwara Mjini afichua jinsi CCM inavyolazimisha wanachama kugombea ubunge kinyume na matakwa yao

    Mbunge wa Mtwara mjini anatoa ushahidi mwingine juu ya uzalimu wa CCM, sikiriza hiyo toka Mtwara mjini.
  19. Mbunge Jafari Chege: Mimi ni Muombaji wa Fedha za Maendeleo, Anayetoa Fedha Hizo ni Rais Samia

    MBUNGE JAFARI WAMBURA CHEGE: MIMI NI MUOMBAJI, ANAYELETA FEDHA ZA MAENDELEO NI RAIS WA NCHI, DKT. SAMIA SULUHU HASSAN Mbunge wa Jimbo la Rorya, Mhe. Jafari Wambura Chege katika muendelezo wa ziara Jimboni amesema kuwa Yeye kazi yake ni kuomba fedha za Maendeleo lakini anayetoa hizo fedha ni...
  20. Mbunge Mavunde Azindua Ujenzi Jengo la Mapumziko Hospitali ya Mkoa wa Dodoma

    MBUNGE MAVUNDE AZINDUA UJENZI JENGO LA MAPUMZIKO HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA DODOMA MBUNGE wa Jimbo la Dodoma mjini, Mh. Anthony Mavunde amezindua ujenzi wa jengo la mapumziko la wananchi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma na kusema kuwa ujenzi huo ni sehemu ya utatuzi wa changamoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…