mbunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Kilombero Abubakar Ulega asema hatochukua fomu ya Ubunge endapo hatakamilisha miundombinu ya barabara mtaa wa Limemo

    Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mhe Abubakar Asenga amesema kuwa hawezi kuchukua fomu ya Kugombea ubunge wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 kama hatokamilisha ujenzi wa Barabara ya Kata ya Lumemo ambayo imekuwa kero Kwa wananchi wa eneo Hilo Mhe. Asenga ameyasema hayo Februari 2,2025 Wilayani...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Musukuma: SGR inawahudumu kama Ndege, tutapata hasara waondolewe

    Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku Musukuma amesema haina haja ya kuweka wahudumu wanaotoa huduma za ndani ya treni ya Mwendokasi (SGR) ili kuepuka shirika kupata hasara kwakuwa ndio kwanza mradi huo umeaanza hivyo haina haja ya kuweka gharama kubwa za uendeshaji. "Hakuna haja ya kuwa na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA HII ITAPATA MBUNGE ANGALAU MMOJA?

    Tuangalie safu ya vyama vyote Mwenyekiti wa ccm- amiri jeshi mkuu, Rais wa Tanzania. Mwenyekiti wa chadema- alikuwa mbunge, mwanasheria wa kujitegemea Makamo mwenyekiti wa ccm- waziri wa miaka mingi, mbunge wa miakq mingi Makamo mwenyekiti chadema- mbunge wa miaka 10. Makamo mwenyekiti...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Covid 19 Jessica Kishoa: Wanawake wote wa nchi hii tunamuunga mkono Rais. Vyombo vya ulinzi visicheke na yeyote atakayevuruga amani

    Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Jesca Kishoa, amesema anaunga mkono uteuzi wa Rais Samia Suluhu kuwa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akibainisha kuwa uongozi wake umeihakikishia nchi usalama na amani. Aidha, ameahidi kushirikiana naye ili kuhakikisha anapata ushindi katika uchaguzi...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mbunge ahoji kauli ya serikali kuhusu wanawake wanaokosa vifaa vya kujifungulia, Naibu waziri asema huduma kwanza na si kuulizwa pesa

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amesema kuwa hospitali zote za umma na binafsi zinapaswa kuwahudumia wajawazito na wagonjwa wa dharura bila masharti ya malipo ya awali. Ametoa kauli hiyo bungeni Ijumaa, Januari 31, 2025, akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu, Anatropia Theonest...
  6. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Mkinga hali tete jimboni

    NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Danstan Kitandula ana wakati mgumu kutetea jimbo lake la Mkinga, Tanga kwa kinachoelezwa ni kukwama utekelezaji wa miradi ya maendeleo aliyoahidi. Hali hiyo ilibainishwa mwishoni mwa wiki na baadhi ya wananchi waliosema hawaridhishwi na mwenendo wa mbunge...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Toufiq Turky awataka vijana na Wanahabari kuitangaza miradi mikubwa iliyotekelezwa na Serikali ya Rais Dkt. Mwinyi, Zanzibar

    "Mimi nimesoma Skuli ya Kajificheni darasa la kwanza na tulikuwa tunakaa kwenye boksi, darasa la pili tulipewa mabao tukakaa bao moja tunakaa watu watatu. Siyo mbali na miaka iliyopita lakini leo mtoto wa Skuli binafsi na mtoto wa Skuli ya Serikali wanakaa sawa na baadhi ya Skuli binafsi ziko...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Marekani: Mbunge apeleka muswada bungeni utakaomruhusu Donald Trump kugombania Urais kwa muhula wa 3

    Wakuu, Inaonekana huko nchi Marekani wameanza kufuata mienendo ya wanasiasa wa CCM. Mbunge mmoja huko nchini Marekani amepeleka muswada bungeni ambao una lengo wa kumuongezea muhula wa 3 Donald Trump. Muswada huo una lengo la kumpa Donald Trump miaka mingine 4 akishamaliza muda wake wa...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Responded Wananchi wa Vijiji viwili Jimbo la Namtumbo warudisha t-shirt na fedha za Mbunge wao Vita Kawawa!

    Nimeona hii clip, wenyeji wa huko tuambieni kama ishu ina ukweli hii? ====================================== Wakizungumza na Wawakilishi wa Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Vita Rashid Kawawa, Wananchi wa Kijiji cha Mlalamiwa na Matepwende wamedai hawawezi kupokea zawadi za Mbunge wao wakati...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Wanu Ameir Awasilisha Taarifa ya OACP/EU Kwenye Kamati ya Bunge la Tanzania

    MHE. WANU H. AMEIR AMEWASILISHA TAARIFA YA OACP/EU KWENYE KAMATI YA BUNGE Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Vita Kawawa wamepokea na kujadili Taarifa ya Wawakilishi wa Tanzania katika Umoja wa Mabunge ya Afrika, Carribeani...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Napata kigugumizi mtu anahonga pesa ili awe mbunge

    CCM HUYU MTU HAFAI KABLA HATA HAJAJADILIWA KWA FOMU YAKE YA KUTAKA KUWA MBUNGE... RUSHWA kwenye chaguzi ni mbaya sana! Hatuwezi kukalia kimya matendo machafu sana anayoyafanya huyu mtu anajiita Fred Vunjabei huko Iringa. Anatoa wapi hela ya kulipa madiwani 1,000,000/= TZS ,wenyeviti wa mitaa...
  12. milele amina

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini aweka historia Mitaa ya Kata ya Miembeni

    MBUNGE WA MOSHI AWA GUMZO MITAA YA MIEMBENI UTANGULIZI Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Moshi Mjini Mhe. Priscus Tarimo amekuwa gumzo katika mitaa mbalimbali ya Miembeni na Njoro baada ya kuhudhuria misiba miwili iliyokuwa jirani na kufanya jambo lililotafsiriwa kuwa sio la kiungwana...
  13. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diwani Arusha: Mbunge Mrisho Gambo ni matatizo tunayotembea nayo, hafai

    Diwani wa kata ya Themi Labora Mkoani Arusha kwa tiketi ya CCM Ampiga Spana Mbunge Mrisho Gambo, amuomba msamaha Rc Paul Makonda
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maringo Mia Moja ya Rais Samia na Mbunge wa Bukoba Mjini, Stephen Byabato 2020 - 2025

    MARINGO MIA YA MHE. DKT. SAMIA NA MBUNGE WA JIMBO LA BUKOBA MJINI WAKILI STEPHEN BYABATO 2020 - 2025 Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wakili Stephen Byabato anamshukuru sana Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwezesha Miradi Mikubwa na ya kimkakati...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wetu Segerea chenga sana, yaani mpaka afiwe ndo tuchongewe barabara!

    Salama wananzengo, Kwa sisi wakazi wa Segerea kata ya Bonyokwa kunapitia adha kubwa sana ya miundombinu ya barabara inayoelekea Kanisa Katoliki na kwa mbunge wetu Bonnah Kamoli. Hii barabara ni mbaya kuanzia Bonyokwa Stand mpaka geti la Kanisa katoliki, kwa wenye magari ya chini wanapata tabu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jimbo la Ilala mnamtaka Haji Manara awe mbunge wenu? Kuna ujumbe wenu hapa

    Haji Manara akihojiwa na Manara TV amesema kwa sasa hawezi kugombea jimbo la Ilala na mbunge Zungu kutokana na misingi ya heshima waliojiwekea baina yao. Ameongeza kuwa Zungu ni kama kaka yake kwani wanashirikiana vitu vingi sana na hata akienda Dodoma huwa anafikia kwake. Manara anasema ikiwa...
  17. Chanazi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Matatizo ya Morogoro Mjini hayataisha kama Mbunge ni Abood na Madiwani hawa wa kila kitu NDIO

    Kwa utafiti hafifu Mji wa Morogoro una shindwa kupiga hatua kwasababu za KIUONGOZI WA JIMBO! Matatizo makubwa ya Mii huu haya semewi na kusimamiwa ipasavyo na Mbunge na Madiwani sababu hawana Uchungu na wanaoneana Aibu kuambiana Ukweli! Ukimsema kwa nia ya Kumkosoa Mbunge kwa wema kabisa...
  18. Toga

    JamiiForums Tanzania KERO Mbunge wa Mbarali, Bahati Ndigo hii barabara ya Igawa - Rujewa hauioni ilivyo mbovu?

    Kichwa Cha habari kinajieleza hapo juu jamani ukweli acha usemwe tu barabara ya Rujewa - Igawa ni mbovu mbovu sana mashimo kila shemu Jamani tunaumiza vyombo vyetu da hii barabara ni KERO jamani hebu iangalieni kwa jicho la huruma mbona nikipande kifupi sana Pia soma - Barabara ya Igawa-Mbeya...
  19. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Mbunge ana mamlaka ya kumwagiza Rais ila mkuu wa mkoa haruhusiwi na hana mamlaka hayo

    Elimu ya uongozi ni muhimu sana, separation of power wengi inawapiga chenga, Muhimu tujue. Nchi yoyote ya kidemokrasia bunge ndo lenye nguvu ndio mana Rais anaweza kutolewa na bunge kama watapiga vote of no confidence. Sasa inakuwaje mkuu wa mkoa ambae kimsingi ni mdogo kwa mbunge aanze...
  20. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilya na Mbunge nani ni nani katii yao?

    Kiungozi nani mkubwa kati ya Mbunge na Mkuu wa Mkoa? Mbunge na Mkuu wa Wilaya? Nani ana ukuu kati yao. Uki refer kwa kilichotokea kwa Makonda dhidi ya Gambo. Je nani yupo sahihi na kwa nini. Je Waziri akiwa katikati yao nani ana sauti au mkubwa kati yake na Mkuu wa Mkoa, bahati mbaya sikusoma...
Back
Top Bottom