Wanabodi,
Wanasiasa wameanza rasmi masuala ya kuomba kura lakini this time wanafanya indirectly.
Ummy anajua nguvu ya bodaboda katika ushawishi kwa hiyo ameamua kuchagna karata zake vizuri.
================================================================
Mbunge wa Jimbo la Tanga Mhe Ummy...
Eti wadau, hii itasaidia kupunguza matumizi kwa hizi third world countries kama Tanzania?? How does this sound..
Mfano: Kafa Magufuli, akaingia Philip Mpango bila gharama za uchaguzi..
~ SIPENDI SIASA ~
Inasikitisha sana kuona mbunge wa bunge la JMT akiibeza elimu kwa kudhani kuwa na pesa ni mbadala wa elimu. Hizi kauli za mtu kama Kasheku zinafifisha kabisa malengo ya watanzania kujikomboa kupitia elimu. Kasheku na baadhi ya watu hudhani kuwa na hela nyingi ndo tayari unakuwa umepata mbadala...
BUSOKELO: Kanisa la TAG Latoa Tuzo kwa Mbunge Mwakibete Kutambua Kazi Inayofanyika Jimboni Busokelo
KANISA LATAMBUA KAZI ZA MBUNGE MWAKIBETE, AKABIDHIWA TUZO IBADA YA MWAKA MPYA 2025
Katika Ibada ya Mwaka Mpya Iliyofanyika Katika Kanisa la Tanzania Assemblies of God JCC Lwangwa imetambua kazi...
Lissu anaweza kuwa mbunge mzuri sana kwenye jimbo lolote Tanzania lakini sio kuwa mwenyekiti wa CDM.
Kuongoza chama cha upinzani tena hapa Tanzania ni ujuzi mwigine kabisa. CDM inataka kiongozi mwenye hekima na busara kubwa. Kiongozi mwenye diplomacy ya hali ya juu. Lissu bado hajafikia huko.
Mbunge wa Jimbo la Busokelo, Mhe. Atupele Mwakibete, amechangia mchango wa shilingi Milioni 10 kw ajili ya ujenzi wa Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Busokelo.
"Hii ni kutokana na changamoto ambazo wanachama wanakutana nazo wanapohitaji huduma za Chama, ambapo walikuwa...
▪️Washiriki Bonanza la Michezo na Askari Magereza
▪️Watoa misaada mbalimbali kwa wafungwa
▪️Wafanya ukarabati wa Jiko lq
chakula kwa Wafungwa wanawake
▪️Jeshi la Magereza lapongezwa kwa matumizi ya Nishati Safi
📍Dodoma
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde, ametembelea Gereza...
Mbunge wa Jimbo la Kibiti Mkoa wa Pwani, Mhe. Twaha Mpembenwe ameongozana na Diwani wa Kata ya Kibiti, Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kibiti na Sekretarieti ya CCM kufanya mkutano na kutatua changamoto za Wananchi wa Kata ya Kibiti.
"Nilifanya Ziara ya Kusikiliza Kero na Changamoto za Wananchi...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia Gwau amekabidhi majiko ya Gesi 60 kwa wanawake wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida na Wilaya ya Ikungi Disemba 21,2024 Ikiwa ni mwendelezo wake wa kumuunga Mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika...
Mda unavyoenda CHADEMA inazidi kuwa mahututi,ingawa Mbowe atashinda kwa kura za kutosha kutoka kwa wajumbe lakini wanachama ambao ndo wengi hawana imani tena na CHADEMA chini ya Mbowe.
CCM wameshajua madhaifu ya Mbowe ndo maana wanapambana ili ashinde kwenye uchaguzi ndani ya chama. Chadema...
MBUNGE WA JIMBO APONGEZA VIJANA 32 WA MUSOMA VIJIJINI WALIOTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA BUTIAMA HADI MWANZA
Leo ilikuwa siku ya Kikao cha Baraza la Vijana wa CCM (UVCCM) wa Wilaya ya Musoma Vijijini. Kikao kimefanyika Kijijini Murangi, Makao Makuu ya Chama Wilaya
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini...
MBUNGE BYABATO AWAFARIJI WATOTO YATIMA 200 KUPITIA TAMASHA LA BUKOBA MJINI MPYA 2024
📌 Lengo ni kuwapa faraja katika msimu wa sikukuu
📌 Vitabu, Madawati, Vitanda vyatolewa
📌Wananchi wajitolea kuchangia Damu
Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Wakili Stephen Byabato, kwa kushirikiana na wadau...
Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Wakili Stephen Byabato, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, wamewakutanisha watoto yatima 200 wanaoishi katika vituo vya watoto yatima Manispaa ya Bukoba.
Lengo kuu ni kuwapa faraja kwa kuwapa mahitaji muhimu ya shule, vyakula na mahitaji binafsi ikiwa ni...
Wanafunzi wa Shule ya msingi Nduweni Kata ya Tarakea motamburu wilaya Rombo wamemshukuru Mbunge wa jimbo la Rombo Prof Adolf Mkenda ambae pia ni Waziri wa elimu sayansi na Teknojia nchini kwa zawadi za fedha kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo kwa mwaka 2024
Akizungumza kwa niaba ya...
Mbunge wa Morogoro Mjini, Dkt. Abdulaziz Abood, amejitolea kwa dhati katika kuboresha maisha ya wananchi wa jimbo lake kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo.
Miongoni mwa mafanikio yake ni pamoja na👇
1. Dkt. Abood alikabidhi gari la kubebea wagonjwa (ambulance) hatua iliyosaidia kuboresha...
Hii ni kauli isiyosahaulika toka Kwa Mwenyekiti wa 4 wa CCM na Rais wa awamu ya 4 wa Tanzania Dr Jakaya Mwisho Kikwete aliyoitoa mwaka 2010 kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huo.
Alitoa kauli hiyo kuonyesha Jinsi ilivyo ngumu kudeal na Tundu Lissu kama kiongozi mpinzani kuliko yeyote akiwemo Dr...
▪️Ni watoto walioachwa na Mama Mzazi aliyefariki kwa kufunikwa na kifusi
▪️Viongozi wa Dini wamshukuru kwa upendo na moyo wa kujitolea
▪️Aahidi kuwasomesha na kuendelea kuwahudumia watoto hao
Mbabala, Dodoma
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde leo amekabidhi nyumba kwa watoto...
"Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe Freeman Mbowe amezungukwa na kundi la watu ambao wamejijengea umangi meza.
Bahati mbaya ni kwamba Mweyekiti ni mwepesi wa kupokea fitina na majungu na wakati mwingine anayapokea kwenye vikao visivyo rasmi. Na akishaamua kukushughulikia lazima atakushinda.
Hawa...
Wapiga kura katika Jimbo la Ablekuma West lililopo Mkoa wa Greater Accra, Ghana, walikataa chakula kilichodaiwa kutolewa na Mbunge wao Ursula Owusu-Ekuful siku ya uchaguzi.
Tukio hili limetokea leo Disemba 7 katika kituo cha kupigia kura, ambapo wapiga kura walimzomea dereva wa gari la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.