mbuga

Mbuga is an administrative ward in the Mpwapwa district of the Dodoma Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 8,253.

View More On Wikipedia.org
  1. Traxtion

    Gharama za kutalii peke yako for 3 days kwenye mbuga za taifa ni Tsh ngapi?

    Kwa mtu (raia wa Tanzania) ambaye anataka kwenda kutalii mbuga za wanyama kama Serengeti, Ngorongoro, Tarangire, Mikumi, Ruaha, Katavi, nk akiwa peke yake anapaswa kuandaa jumla Tsh ngapi for a 2-3 day trip Naona wanasema kiingilio kina vary kuanzia Tsh 10,000/= hadi 35000/= lakini swali langu...
  2. K

    Wanamitandao kuanzia 2026 ni kumaliza madini, gas, mbuga-

    Wanamitandao kuanzia 2026 ni kumaliza madini, gas, mbuga- . Hakuna biashara itapita bila Rostam kuhusika
  3. DuaZaMama

    Kifaa cha burudani katika mbuga ya starehe Saudi Arabia chagonga chini, watu zaidi ya 20 wajeruhiwa

    RIYADH, Saudi Arabia (AP) — Ajali ya kifaa cha burudani katika mbuga ya starehe ya Green Mountain iliyopo magharibi mwa Saudi Arabia imesababisha majeruhi zaidi ya watu 20 na kulazimu mamlaka kufunga mbuga hiyo pamoja na kuamuru uchunguzi, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali. Ajali...
  4. stakehigh

    Badala ya kutoa stress na pombe kila wiki, hio hela katembelee mbuga za wanyama

    kwa wale wapenda maji, nawashauri mjipe likizo mara moja mtumie izo hela kwenda mbugan ama kupanda mlima pia mnakuza vitambi sana
  5. K

    Kila mapigo wanayopigwa CHADEMA na Serikali ndiyo wanavyozidi kupendwa na kuchanja mbuga

    Kila Serikali inavyozidisha mateso dhidi ya Chadema kwanza watu wanazidi kuipenda,hii ndiyo necha ya mwanadamu alivyoumbiwa hukipenda kile kinachodhulumiwa, kuonewa, au kunyanyaswa Watateka watu, watauwa watawafunga watasitisha ruzuku huku wasijue wanazidi kujijenga chuki kwa wananchi Mfano...
  6. A

    PreGE2025 Wasira Kimya! Moto wa Heche wazidi kuchanja mbuga kuelekea Oktoba 2025

    Huyu mzee wetu Wasira alikuja kwa mbwembwe akitamba kwamba gari ni injini, lakini alisahau inategemea ni aina gani ya injini. Mzee wetu sasa ni takribani wiki 2 hasikiki wala kutetema popote. CCM mlikosea sana huyu hawezi kukabiliana na Heche. Heche kwa nyomi ya watu wanaojitokeza kwenye...
  7. The Mongolian Savage

    Bitcoin inazidi kuchanja Mbuga

    Chereko, nderemo, shangwe na vifijo. Bitcoin the world leading crypto inazidi kuchanja Mbuga. Navyoandika sasa hivi imeshafika 101 K USD. Tangu February ilikuwa under 100k. Wadau tunasubiri Kwa hamu kuona kama itavuja record ya all time high 109k. Buy, invest, hold and be patient! Senior...
  8. MamaSamia2025

    Serikali iongeze ada ya vibali vya kujenga mahoteli kwenye mbuga zetu

    Kwa sasa kibali kinatolewa kwa dola 20,000 ambacho wawekezaji wengi wanakimudu hivyo kufanya mbuga zetu kuzidi kuharibika na kuathiri asili yake. Kwa mujibu wa muongoza watalii Simon Sirikwa ni kuwa kwa sasa Serengeti imekuwa kama Ngarenaro. Majengo mengi na binadamu wa kutosha. Hii ina athari...
  9. B

    RPC Simiyu asema Pendo aliyedai kutumwa kumuu Luhaga Mpina hakuwa Askari wa JWTZ bali Mgambo

    KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Simiyu, amethibitisha kwamba Binti Pendo Paul aliyedai kupewa kazi ya kumuua Mbunge Mpina hakuwa Askari wa JWTZ kama alivyojitambulisha bali alikuwa amepitia mafunzo ya Mgambo zaidi sikiliza Video hii. https://youtu.be/gTzupuaYy7c?si=_wUYi4xRIAVxOMpi
  10. Magical power

    Leo kazini kwangu imekuja chuma ya mana,pisi Kali mbuga wanyama wanaluka Luka mbuga imenawili uoto wa asili inashawishi watalii kuja kutalii.

    Leo kazini kwangu imekuja chuma ya mana,pisi Kali mbuga wanyama wanaluka Luka mbuga imenawili uoto wa asili inashawishi watalii kuja kutalii,imejitaidi kunichangamkia sana tokea asubui adi mda huu mchana inatoka inanichangamkia nn ila ikanambia niache kujifanya nipo buys eti nashindwa ata...
  11. B

    LGE2024 Mbunge Samizi achanja mbuga kunadi Wagombea wa CCM Muhambwe

    MBUNGE SAMIZI ACHANJA MBUGA KUNADI WAGOMBEA WA CCM MUHAMBWE. Apita mguu kwa mguu Kata za Mkabuye, Rugongwe, Busagara kuhakikisha CCM inashinda kwa kishindo. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Dkt. Florence George Samizi ameendelea kuchanja mbuga kuwaombea kura na kuwanadi wagombea wa...
  12. B

    Naomba kujuzwa gharama na utaratibu wa kutembelea hifadhi ya mbuga ya Serengeti

    Habari GTs, Naomba kujuzwa gharama na utaratibu wa kutembelea hifadhi ya mbuga ya Serengeti, kwa raia wa Tanzania wenye umri pungufu na zaidi ya miaka 18. Vile vile gharama za malazi kwa usiku mmoja for economy class, safari yangu itaanzia Mwanza. Naomba kuwasilisha.
  13. G

    Trump anazidi kuchanja mbuga, Mgombea maarufu wa kujitegemea Robert F Kennedy Jr amuunga mkono

    Mgombea wa kujitegemea katika uchaguzi wa urais Marekani Robert F Kennedy Jr ameungana na mgombea wa chama cha Republican, Donald Trump, jukwaani katika mkutano wa kampeni huko Arizona baada ya kujiondoa kwenye kinyang’anyiro hicho na kumuunga mkono rais huyo wa zamani wa Marekani. Kennedy ni...
  14. G

    Naomba kujua mgogoro wa Ngorongoro maana mbuga ni muhimu haiwezi kuhamishwa Ila ndugu zetu nao muhimu pia

    Mpaka Sasa naona wengi wengi wanachangia kimehemko kihisia na kisiasa zaidi Ngorongoro ni moja ya hifadhi muhimu kwa nchi yetu na mchango wake ni faida ya Taifa Zima . Mapato yanayotoka ngorongoro na Kodi zake yanaenda kulipa mishahara ya mwalimu Dr anayefanya kazi Arusha mjini Dodoma Mtwara...
  15. mheshimiwamtemi

    WIMBO: MBUGA ZA WANYAMA

    Wanafunzi wa kizazi hiki wanakosa mambo muhimu hususani kujifunza kuhusu uzalendo na utaifa wao. Miaka ya 90 kulikuwa na nyimbo nyingi ambazo wanafunzi waliimba shuleni. Mnakumbuka wimbo huu? Mbuga za wanyama Tanzania, ya Kwanza ni Serengeti, Ngorongoro na Manyara na Mikumi oooh Tanzania...
  16. Donnie Charlie

    Mbuga ya wanyama huko paris, 1905

    Mwishoni mwa miaka ya 1800 hadi miaka ya 1900, Wamarekani Weupe na Wazungu walitumia Waafrika kuunda "Zoo za Wanadamu" katika miji kama Paris, Hamburg, Antwerp, Barcelona, London, Milan, Warsaw, St Louis na New York City. Wazo la kijiji cha Negro lilikuwa maarufu zaidi nchini Ujerumani, ambapo...
  17. chiembe

    Nini kesho ya mbuga ya Selous?

    'The Rufiji Saga: Dunia inasubiri mafuriko ya kwanza kufagia wanyama wote mbugani? Nini kesho ya mbuga ya Selous?' Haya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni hifadhi ya dunia yenye viumbe adimu, je wote wafagiwe na maji ? Halafu? Tusiogope kuomba msaada kwa...
  18. chiembe

    Matunda ya Royal Tour yavutia watanzania kutembelea Mbuga za wanyama, Heche mbunge ya Tarime amaliza mwaka mbugani

    John Heche ametutakia watanzania heri ya mwaka mpya akiwa katika mbuga za wanyama akifanya utalii wa ndani. Hakika hii ni faraja kubwa sana kwamba sasa utalii wa ndani umevutia watu wengi, hasa baada ya Mh. Rais Samia kuhamasisha kupitia Royal Tour.
  19. Mpinzire

    Ndege yenye namba za usajili 5H-MZE imetoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, ilibeba nini?

    Ndege yenye usajili 5HMZE iliyofichwa taarifa muhimu imeonekana inatoka Selous Game Reserve na kwenda kutua Zanzibar, haijulikani kwanini ndege imezimwa Transponder na bado haijajulikana ndege hiyo kama imebeba watalii au lah! *********** ************** Update Ndege imetoka Zanzibar sasa...
  20. The Father of All

    Je ikitokea likaja wazo kuwa uchague kati ya kubinafsisha ardhi, bandari, mbuga, kwa uchukuaji uitwao uwekezaji na ikulu, utachagua kipi?

    Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Ujumbe kutoka Kampuni ya DP World uliongozwa na Mwenyekiti wa Kampuni hiyo kutoka Falme za Kiarabu (UAE)Bw. Sultan Ahmed Bin Sulayem, wakati Ujumbe huo ulipofika Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 17 Nov 2021 (pichani ikulu Dar). Tangu tuanze sheria za...
Back
Top Bottom