mbowe

  1. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe nenda mahakamani kuonesha mshikamano na Tundu Lissu

    Freeman Mbowe, Tundu Lissu akiwa ni mwenyekiti aliyerithi uenyekiti kutoka kwako ni jambo la hekima na busara kama bado uko pamoja na CHADEMA kwenda mahakamani kumpa moyo mrithi wako na kutambua ujasiri wake wa kuendeleza kauli mbiu iliyoanza kipindi chako ukiwa mwenyekiti ya "No Reforms No...
  2. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mbowe kufanya mkutano na waandishi wa habari Mei 19, 2025

    Wakuu, Hiki kipeperushi ndio kimeanza kusambaa, yaani jamaa akaona katika siku zoteeeee leo ndio aje kufanya press, kwenye kesi ya Lissu? Kama ni kweli jamaa atakuwa na chuki iliyotukuka (kwa sauti ya GENTAMYCINE) na ameamua kweli kukibomoa chama.... ila ni kama vile vijana wa mama wapo kazini...
  3. M

    JamiiForums Tanzania MBOWE NI BABA NA MZEE NA MWANZILISHI WA CHADEMA ALIYEBAKI ATOE KAULI

    Nimemsikiliza kwa kina BONI YAI hoja zake ni za msingi sana na kwa kweli zimetufungua macho ila nilikuwa naomba Mbowe atoe kauli na kuwashauri walioondoka warejee Chadema. Awepo Lissu na Heche Mzee kwa heshima aliyebaki ndani ya chadema pamoja na wengine ni Mbowe. Huyu siyo wa kuondoka Chadema...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boni Yai: Kusema 'No reforms No election' tunatania ni kumdhalilisha Mbowe

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Kanda ya Pwani Boniface Jacob(Boni Yai) amekanusha kauli zilizokuwa zikisemwa na baadhi ya watu wanaojivua uanachama wa chama hicho akiwemo John Mrema kuwa ajenda ya 'no reform no election' sio halali na haikua na nia ya kuzuia uchaguzi bali...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Ni kweli CHADEMA ilikuwa Sacos na mali ya Mbowe?

    Kuna siku Musukuma alitishia kuweka wazi miamala ya fedha toka CCM kwenda kwa Mbowe ili aendeshe chama tukadharau. Mchungaji Msigwa, aliwahi kusema 'Chadema sio taasisi ni mali ya Mbowe' ni biashara ya familia, tukadharau. Kuna baadhi ya wana CCM walikuwa wakisema Chadema ni Sacos...
  6. JamiiForums Tanzania Huyu kweli alikuwa kibaraka (mercenary) wa mabeberu. Kwa Lipumba, Seif, Mbowe, Zitto nk mabeberu wailikuwa kimya

    Kukamatwa kwa huyu jamaa yetu kumethibitisha bila kuacha shaka kuwa kweli mtu huyu alikuwa ni kibaraka (mercenary aka puppet) wa mabeberu fulani wa huko ulaya. Hao ndiyo walikuwa wakimpa kiburi cha kufanya na kuogea machafu dhidi ya serikali yetu na viongozi wa juu wa serikali yetu. Kiburi hicho...
  7. JamiiForums Tanzania Kambi ya Mbowe kumeguka CHADEMA inaweza kuwa utakaso kwa dhambi ya Lowassa?

    Huwa inasemwa CHADEMA ilisaliti msimamo wake ilipomchukua Lowassa na kmfanya mgombea urais mwaka 2015 kama hii ni kweli basi kuondoka kwa kundi la Mbowe CHADEMA inaweza kuwa sawa na utakaso kwa dhambi hiyo. Ikumbukwe Mbowe na timu yake ndiye alikuwa kinara wa kumleta Lowassa CHADEMA mpaka...
  8. JamiiForums Tanzania Mbowe anapaswa kubeba lawama ndio chanzo cha yanayoendelea CHADEMA

    Bonjour wanabodi! MBOWE CHANZO CHA YANAYOENDELEA CHADEMA. Pamoja na miaka yote aliyoifumia kukijenga CHADEMA kwa jasho na damu ingawa si peke yake maana kuna ambao walipoteza maisha, wapo waliopotezwa mpaka sasa hawajulikani walipo, wapo walioumizwa sana na kuachiwa vilema vya kudumu hadi leo...
  9. JamiiForums Tanzania Kweli Mbowe ni gwiji wa siasa. Atabadili jina la chapa (brand name) ya chama hicho kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ya Umma (CHADEMAU)

    Freeman Mbowe ni mtoto wa mjini, ni mfanya biashara hodari na siasa ni biashara kama biashara zingine za utoaji huduma. Ndiyo maana kwenye nchi ka Marekani huwezi kuwa rais wa nchi hiyo kama wewe siyo mfanyabiashara mkubwa (billionea wa USD) na rais wa Marekani huchaguliwa na kikundi cha...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe unaonaje ufanye mapinduzi ya kiuongozi ili uinusuru CHADEMA?

    Mapinduzi sehemu nyingine ni kitu cha kawaida kabisa. Angalia Kagame alivyoijenga Rwanda. Mbowe pindua uongozi uliopo uiponye CHADEMA na anguko kuu. Huoni hii hama hama ya wanachama na CHADEMA kutoshiriki uchaguzi 2025?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa haki na huru CHADEMA, Mbowe kukiri kushindwa kazi iliishia hapo

    Kitendo cha kuendesha uchaguzi wa haki na huru na Mbowe kukubali kiwa Lissu alishinda kazi iliishia hapo. Iwapo Mbowe asingeruhusu kufanyika uchaguzi wa haki huru na wazi chadema isingekuwepo. Kwa hili nampongeza Mbowe, Lissu na Wanachadema wote. Heshima na msingi wa uimara wa chadema uko hapo...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Uongozi wa Juu Chadema bado hamjachelewa muombeni radhi Mwenyekiti Mstaafu Mheshimiwa Mbowe vinginevyo Chama kitazidi kubomoka

    Wadau hamjamboni nyote? Wapo wataobeza na kukushfu lakini wenye hekima zetu hilo tumeliona ndiyo maana tukaamua kushaurikwa nia njema Uzoefu ni Mwalimu mzuri sana wapo waliodharau hilo huko nyumba wisho wao au taasisi walizoongoza haukuwa mzuri Niwatakie siku njema
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nakukemea Freeman Mbowe

    Umekuwa mwenyekiti wa Chadema kwa miaka 20 na ni mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA lakini hukuwahi kuipenda Chadema kabisa hili limegundulika. Haiwezekani mwenyekiti wa chama ulichokiongoza kwa zaidi ya miaka 20 Tundu Lisu anakamatwa na kuwekwa ndani lakini wewe unakaa kimya...
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ni kuwa Wachaga hawawezi kuachia CHADEMA kilaini kama mnavyoamini, Wachaga na maslahi ni kifo tu ndo kinaweza kuwatenganisha

    Ukweli mchungu ni kuwa Mbowe hawezi kuachia CHADEMA kilaini kama mnavyoamini, Wachaga na maslahi ni kifo tu ndo kinaweza kuwaachanisha Hivi mnawajua Wachaga vizuri kweli kwenye mambo ya maslahi?? Au bado hamuwajui?? Wale jamaa bana kwenye mambo ya maslahi akishakuwa king'ang'anizi hawezi kuacha...
  15. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kamwe usidhani kuwa wenye Akili Tanzania wamepungua au hawapo tena kabisa, bali jua ya kwamba wengine tupo na tumejaa tele tu

    Yote haya yanayoendelea sasa CHADEMA (hasa waliokuwa Viongozi Waandamizi na wale wa Kundi la G55) yana BARAKA zako kwa 100% na URATIBU wako kwa Kusaidiwa na Watu ambao WAMEKUTESA mno kwa Wao kukutumia na sasa KIMKAKATI zaidi umemua tena kuwa Kwao na wanakutumia katika hili. Freeman Mbowe wenye...
  16. JamiiForums Tanzania Inaelekea Mbowe hakuwa tatizo!

    Kabla ya kuachia Uwenyekiti wa Chama chake, ilikuwa siyo rahisi siku ipite bila kutupiwa dongo! 1. Mara Mwenyekiti wa maisha... 2. Mara CHADEMA ni SACCOS yake... 3. Mara CHADEMA ni Chama cha Wachaga... 4. ...n.k. Baada ya kuuachia Uwenyekiti, kibao kimegeuka. Mashambulizi yaliyokuwa...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Lissu akitoka gerezani atamkuta Heche kabaki peke yake kwenye Chama. Hapo ndipo watajua kuwa Mbowe alikuwa mwamba

    Sasa ndio mtajua kuwa Chadema ilijengwa na Mhe. Mbowe au Lissu. Gharika kubwa zaidi inakuja. hakuna atakaye salia, Katibu Mkuu, Kamati kuu, Bavicha, Bawacha, wazee wa CHADEMA wote watabwaga manyanga muda si mrefu. Atakaye enda gerezani kesho j.mosi 10/05/2025, asiache kumwambia ukweli chama...
  18. JamiiForums Tanzania Mbowe apewe heshima yake anayostahili!!

    Freeman Aikaeli Mbowe ni mwanasiasa ambaye huwezi kuzungumzia siasa za Tanzania bila ya kutaja jina lake. Lakini naona Baada ya uchaguzi wa Januari 21 mwaka 2025, Kuna baadhi ya watu wanapambana kwa kila Hali kuonesha kuwa Mbowe alikuwa mamluki ndani ya CHADEMA na alikitumia chama kwa faida...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Mbowe kuchagua Heshima au Tamaa?

    Mwalimu Nyerere aliwahi kumwambia Mzee Yusuf Makamba kuwa achague moja, Heshima au Tamaa maana hivyo vitu viwili havikai nyumba moja. Sasa hii critical moment iko kwa Freeman Mbowe leo, mtu ambaye ana heshima kubwa nchini kama mtu aliyepigania mageuzi, aliyeongoza harakati za kisiasa za kukuza...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Salum Mwalimu: Mbowe alitaka kupigania mifumo ili tuingie kwenye uchaguzi

    Naona bado Team Mbowe wanazidi kujikanyaga tu wao wenyewe hata hawajui hiyo 'No reforms no election' ni nini. So sad asee, === Salumu Mwalimu ambaye alikuwa ni miongoni mwa waliotangaza kujitoa CHADEMA amefanyiwa mahojiano na Wasafi Tv na kueleza kuwa lengo lwa Mbowe lilikuwa ni kupigania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…